Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Kweli akili mali basi tuambie wewe anayetaka watu ni nani???Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?
Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.
Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.
Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Alafu sijui kama akili zako zinafanya kazi,hivi utasemaje eti bora magufuli nchi imemushinda lakini hela za walipa kodi zipo salama??? Hivi unajua uchumi hata robo kweli sasa kama hela za walipa kodi zipo salama inakuwaje nchi imushinde???
Rais yyte duniani ukisikia kuwa nchi imemshinda maana yake ni kuwa ameshindwa katika swala la uchumi wa nchi husika! Matatizo yote nchini huanzia kwenye mambo ya uchumi ndugu kama watu wangekuwa na hali nzari kiuchumi-watu wana ajira,watu wana fedha mifukoni utitiri wawatu kuikosa na kuiponda serikali usingesikia na hata hayo maswaa ya utekaji usingeyasikia,maswala ya utekaji yanatokana na watu kuikosoa sana serikali.
Next time think first kabla ya kuandika tumia elimu uliyonayo katika kufikiria mambo sio kuandika kishabiki