Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Njoo na hoja Siyo matusi.wabunge hawakua punguani kumshangilia kikwete.
Ndiyo hawakuwa punguani!

Unafikiri zile laki 3 kila siku za bunge la katiba hewa watapata wapi tena?
 
Spika na naibu spika na viongozi wengine wa bunge wanoendesh vikao vya bunge , waaache unafiki wamuombe huyo jamaa ushahidi ,,,

Kwa sababu, Kama ingekuwa ni CDM amesema hayo, sasa hivi tungekuwa tanajadili mengine mazito na yasiyokuwa na hitimisho!!

Ataje wahusika na atoe vithibitisho, tusiende kwa kiki na unafiki wa wanasiasa kutaka kutugombanisha na kumchafua rais .
ushahidi gani zaidi ya huu, haya magwanda ya jeshi la marekani waliyatoa wapi?
_91499636_oromoprotests.jpg
 
Mzee Kipara mambo yashaanza kumlemea haraka hivi.

Kaanza kuishi kwa kuteka teka watu tena, so sad aseee
 
Namhurumia sana Bashe. Anatafuta ligi na watu wasioongea.
ujinga ni kumuabudu raisi wenu asiyetaka kuambiwa lolote nape kasema ukweli kavurumishwa ukiona hivyo ujue hao wanaoweza kumkabili wanaakili hao wanaoogopa kumwambia raisi ukweli ndo hao wanaolipelekea taifa kuwa hatarini wakati waziri wa mambo ya ndani yupo anayetoa taarifa za kina roma ni makonda ?

ina maana huyo waziri ni mzigo imekuja swala la uvamizi wa studio kimyaaaa
juzi katuambia kwamba aliyetoa pistol hadharani si askari bahati nzuri watanzania wa sasa sio vilaza ,wakamuumbua dakika hiyohiyo pambav kabisa hakuna haja ya kuwa na hao mawaziriri wanakula kodi raisi na makonda waachwe waiongoze hii nchi watakavyo
 
bashite anamwaribia jp. dunia nzima sasa inaona ujinga unaondelea na jp kamshika bashite mkono kutumia vyombo vya usalama kuvunja usalama ni hatari kwa taifa.
 
Kwa hyo kama Uhusiono wa JPM.na kanisa kudorola sisi unatusaidia nn? kwani magufuli amewekwa Ikulu na kanisa katoliki? mbona sikuelewi wewe? Kuhusu bashe nahisi kichaa maana mtu mzima utumiwe tu sms huna udhibitisho uanze kusema hayo labda tuseme anatafuta kick? kama kachukua mke wa mtu sasa anajihami hilo ni soo lake kuichafua TISS kisa umetumiwa sms ni upuuz je sisi tuna hakika gan na sms yako? bashe ni bosho
 
bashite anamwaribia jp. dunia nzima sasa inaona ujinga unaondelea na jp kamshika bashite mkono kutumia vyombo vya usalama kuvunja usalama ni hatari kwa taifa.
 
Kusipo chukuliwa hatua yoyote. Dawa ni kila mtu kujihami kwa chochote. Wenye uwezo milikini pisto, wasio kuwa na uwezo watu wasioeleweka wakikufuatilia piga yowe la majambazi, kwenye gari tubebe hata sime kama wamasai au majambia kama ISS. Tunaojua martial arts mpe mtu yokogel ya chembe au mfanyie rocking kabla hajatoa pisto. Kiufupi iwe timing kwa timing mpaka kama taifa tuachane kufanyiana unyama kama wanyama pori. Ni kweli wote tutakufa lakini sio kwa kutangulizana kipumbavu ivi.
 
Aliyekuwa mkuu wa tume ya uchaguzi ndie mkuu wa usalama wa taifa unatarajia nini?

Kanisa katoliki limeridhika watanzania kutekwa huku likiazimisha skk ya pasaka?
pengo kimyaaa,anakula pensheni tu baba wa watu mungu ampe nini zaidi,huku vijana wake wanatesa raia,watajijua
 
KWA USHAIDI UPI???????.....what if hiyo text katumiwa na MBUNGE WA UPINZANI???....kwa lengo tu la kuichafuia CCM maana anaJUA KABSA bashe ATAKURUPUKA KUJA ADHARANI KUISEMEA HIYO TEXT.....
Sisiem mbona chafu muda tu.Umesahau kuwa JUZI MBUNGE WA SISIEM ametolwwa bastola na MPUUZ wa serikali ya SISIEM mbele ya Polithithiem?
 
Back
Top Bottom