Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,560
- 33,764
ndo maana mi huwa nauliza hivi wanaume wa daslamu mmekutikana na masahibu gani,mbona mnapelekeshwa pelekeshwa tu..Kusipo chukuliwa hatua yoyote. Dawa ni kila mtu kujihami kwa chochote. Wenye uwezo milikini pisto, wasio kuwa na uwezo watu wasioeleweka wakikufuatilia piga yowe la majambazi, kwenye gari tubebe hata sime kama wamasai au majambia kama ISS. Tunaojua martial arts mpe mtu yokogel ya chembe au mfanyie rocking kabla hajatoa pisto. Kiufupi iwe timing kwa timing mpaka kama taifa tuachane kufanyiana unyama kama wanyama pori. Ni kweli wote tutakufa lakini sio kwa kutangulizana kipumbavu ivi.
Kule mwanza kuna mkulima mmoja anaitwa mabina,nae madaraka yalimlevya akawa ananyanyasa raia,huyu bwana kama sikosei alikuwa mwenyekiti wa chama wa mkoa wa mwanza,
mtu mkubwa kabisa huyu,
wanaume wa kanda ya ziwa wakaona huyu anataka kuleta madharau,
wakamdeepsix mchana kweupe