Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Ni Bashite wakishirikiana na lile kundi la nyumba nyeupe.
 
Kinachoendelea nchini kinamtia UNAJISI Rais, kinamtia UNAJISi WN. Naona future ya Mwigulu katika duru za siasa nchini ikizidi kufifizwa na matukio haya ambapo vyombo vilivyo chini yake vinashindwa kuyadhibiti ili hali yy kama waziri Mwenye dhamana akikaa kimya!!
He lack leadership legitimacy
 
Una Maana Gani Kusema Rais "atapotezwa"??? Jamani Muwe Mnajiangalia na Kutafakari Kila Neno Mnaloandika Hasa Likimhusu Rais. Nikujulishe Tu Kwamba, Rais Akisha Chaguliwa na Kuapishwa ANAKUA TASWIRA NA ALAMA YA TANZANIA: UMPENDE AU USIMPENDE UNAPASWA KUCHUNGA KAULI ZAKO DHIDI YAKE MAANA KUNA CONSEQUENCES
Acha kuwa na fikra mgando kama tope.
 
Hapa hakuna utekaji wala nchi kuingia katika hali ya hatari. Hapa kuna hatua ya pili ya mkakati wa Lowasa kutafuta venue ya negotiation na JPM. Mkakati wa kwanza ulikuwa mikutano ya hadhara ambayo serikali (JPM) baada ya kung'amua janja yao aliipiga marufuku. Hizi calculated move za Lowasa (Chadema) kutengeneza hoja zenye lengo la ku-destabilize nchi ili apate fursa ya ku-negotiate na serikali. Bila kujali ukweli nionao hebu jaribu kuunganisha dots hizi:
  1. Gwajima ____________ Lowasa henchman
  2. Msukuma____________ Lowasa henchman
  3. Bashe_______________ Lowasa henchman
  4. Lissu, Mbowe & Co.____ Lowasa nest henchmen
  5. Ben Saanane_________ Lowasa social media political defamatory scheme team leader
  6. Tathmini disinterest attitude ya Mbowe & Co. juu ya kinachoitwa kutekwa kwa Ben Saanane
  7. Identify Mwandishi wa mashairi ya nyimbo za kashifa zinazotungwa na Wasanii dhidi ya Rais JPM
  8. Identify anayelipa gharama za kisheria katika kesi zinazowakabili vijana wanaomtukana Rais JPM mitandaoni.
  9. Identify assigner wa mkalimani/tour guide fake kwa sardonic interpretation.
  10. Ukiisha unganisha dots hizo angalia political leaning orientation ya commentators wa thread zinazowekwa humu zenye lengo la ku-promote null hypothesis kuwa serikali inateka wananchi.
  11. Establish political leaning orientation ya hao wasanii wanaodaiwa kutekwa.
  12. Chunguza punctuality na agility ya Lissu & Co. kufuatilia Wasanii wanaodaiwa kutekwa
  13. Observe political leaning orientation ya sources na news breakers wa habari za kutekwa kwa Wasanii na wengineo (B.8hrs)

Ukifanya uchambuzi vizuri utaona kuwepo kwa uhusiano wa moja kwa moja baina ya wanaoitwa watekaji _____ wanaoitwa watekwaji ______ Lowasa & Co. ________ na Lowasa nest actors. Aidha pengine utabaini kuwa kinachoitwa kutekwa kwa wasanii ni mere political survival scheme ya Lowasa & Co, na actors wa Lowasa nest, na kwamba Ben Saanane hakuwahi kutekwa na mtu ila ame-undergo temporary sublime ikiwa ni kuzinduliwakwa mkakati # 2 baada ya mkakati # 1 kutofanikiwa.
Huna akili hata kidogo, nnamashaka na Cheti chako cha kidato cha NNE. Yaani hizo theory ulizoandika do not exist. Watanzania wa Leo sio wale wa miaka 10 iliyopita.
 
Huyo dikteta uchwara kishapoteza sifa ya kuendelea kwa kiongozi wa Watanzania. Ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu. Ni bora tu ajiuzulu mapema kabla nchi haijafikia mahali pabaya zaidi ya ilipo sasa.

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea.
Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya Mawaziri kuwa ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa kuna kikundi ambacho kinahusika na utekaji wa watu. Amedai kuwa kuna Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa na kuondolewa uhai. Mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie

"Kuna watu wamenitumia ujumbe kwamba mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie. Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana".

​


Kwa hapa tulipofika, ni wazi kuwa JPM ajitafakari na baadhi ya watu wanaomzunguka.Kuna hali ya tahayari katika Taifa.

Jana nimeongea na Askofu mmoja wa Kikatoliki, nimeona dalili ya uhusiano wa JPM na Kanisa kudorora kwa namna anavyoendesha mambo ya Nchi.

Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana'

Wasalaam
 
Eti Dr. mshauli wake ni Bashite. Kama siyo ujinga ni nn?
 
Bashe ni mbunge wa ccm!
Kwa JK walisema nchi imemshinda lakini juzi tuliwaskia wakisema tumekumisi. Kwa kelele hizi tena zimeanza mapema tena kwa watu walewale ni dhahiri nchi iko ok.

Kawashika pabaya. Aishangazi kumbukumbu tunazo
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Aisee hii kaz yakujipendekeza ni ngum Sana, ivi mtu anapo toa maoni yake why are you translating in negatively only , Kwan Roma hukutaka, ben sanane yupo wapi,
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Pesa za walipa kodi ni muhim kuliko amani yao
 
Si vibaya Mwananchi wa kawaida kuhoji,ndio maana wewe kama Mwananchi unaanza kunihoji.
Kunitakaza kuhoji eti mpaka bunge limuhoji ni kuninyima Uhuru wa kutoa mawazo.
Umenielewa vibaya ndugu yangu. Mimi nilichohoji ni yule aliyedakia kwamba Bashe hana ushaidi. Mimi nilisema hasiwe na kauri ya mwisho kusema Bashe hana ushauri bali asubiri ahojiwe na atoe ushaidi huo na ukikosa basi Lizaboni ndiyo ndio aseme kwa nini Bashe alitoa kauri bila ushaidi
 
Kama Bunge letu lingekuwa bunge kweli kweli haya yasingekuwepo, tatizo wabunge wengi ni wale wale wa ndioooo hata ktk upuuzi
 
Ha ha ha haaaaaa

Ameambiwa eeeeh

Na hakwenda polisi kuripoti!!!

Asa bungeni ndio pa kutafuta kuichafua serikali, hawa wabunge wengin njaa inawauma kweli kweli.

Watanyooka tu

Wachafuzi wa serikali hii

Inabidi huyo akamatwe aojiwe zaidi, mchochezi tu
ben saanane alienda polisi akatoa mpaka namba za simu za wanaomtishia hao polisi wako walifanya nn tumia akili wakati mwingine
 
si ni mtanzania nisiyetaka hata kusikia sauti yake sina habari naye ni wenu mm sikumchagua umeelewa ?


sina habari naye
Mkuu kumbe mtanzania lakini nina wasiwasi na jibu lako naomba ninukuu ulivyonijibu " si ni mtanzania " kwa kutumia " si na ni "pamoja nina wasi wasi na uraia wako.

Nimeelewa ukumchagua na utaki kusikia hata sauti yake,je mbona unamjadili sana na uachi kumtaja mdomoni kwako wakati upendi ata kusikia sauti yake?
 
Siamini kama nchi yangu imefikia hapo aliposema Bashe!Huu ukora unaoendelea mtaani ni ukora kama ukora mwingine ila kuna watu wawili wamefanya makosa ya kiusalama kwa dhamana zao yule aliyevamia studio usiku na aliyemtolea bastola aliyewahi kuwa Katibu mwenezi wa chama chetu tawala.Kila litakalotokea la kiusalama lazima watahusianisha na matukio hayo.Wananchi tumehamishwa kwenye reli tumesahau kuna bajeti mjengoni kama tulivyosahaulishwa kuwa mkoa wa DSM ulikuwa Wa mwisho kwenye matokeo ya kidato cha nne tukajikita kuwajadili skins TID na ishu zao za madawa ya kulevya.
 
Una Maana Gani Kusema Rais "atapotezwa"??? Jamani Muwe Mnajiangalia na Kutafakari Kila Neno Mnaloandika Hasa Likimhusu Rais. Nikujulishe Tu Kwamba, Rais Akisha Chaguliwa na Kuapishwa ANAKUA TASWIRA NA ALAMA YA TANZANIA: UMPENDE AU USIMPENDE UNAPASWA KUCHUNGA KAULI ZAKO DHIDI YAKE MAANA KUNA CONSEQUENCES
Acha kutisha watu mkuu
Hali inayoendelea inampoteza magufuli ktk siasa.
Angalia zile sifa magu alizokuwa anazopewa kimataifa sasa hivi zipo wapi?
Acheni kushauri ujinga, sie tunayempenda lazima tumwambie aangalie ni wapi alipokosea ili heshima yake irudi kama mwamnzo
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Kweli Bashe,Msukuma na Malima...Nape nae ni timu Lowasa? Issue zingine yatupasa tuwe sensitive kidogo hata kuzitolea maelezo. Utekwaji kiukweli hata mimi binafsi siwezi kusema ni TISS au serikali kwa ujumla inahusika. Tatizo ni huu ushahidi wa kimazingira wa utekwaji wa kina Roma,watu wilizunguka vituo vya polisi vyote hawakuwepo, kamanda Siro nae kathibitisha kuwa hawakuwa kwenye kituo chochote cha polisi. Mara wako kituo cha polisi....
Maswali baada ya hapo ni mengi zaidi ya majibu.
Waziri wa mambo ya ndani kama ingelikuwa ni nchi za wenzetu tungemsikia akiongea kitu ama tayari angekuwa tu mbunge kawaida mpaka tunavyochangia mada hii.
 
Back
Top Bottom