Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Every leader who tries to fight injustices like corruption and illegal drugs businesses has to suffer though media and politicians, regardless in Africa , Asia or America..creation of fake images to the public initiates anger and chaos . Poor Tanzanians who can't delineate the facts from fictions will get into trouble! Let's criticise constructively without allegations and accusations which mere citizens have no proof of it.
 
Ndio wameanza kumgeuka sasa . .

Tatizo liko hivi . . , watu wa USALAMA sio foreigners . . , ni watanzania wenzetu . . , wenye ndugu, wajomba, wakwe, watoto, marafiki ktk jamii hii hii ya kitanzania . . Ikulu ikifanya kosa kunyamazisha kila MTU, wapinzani, kuteka au kuua . . , ndio hapo pia inagusa ndugu wa wana USALAMA vilevile . .

Mambo haya ya ulinzi na USALAMA yanataka haki izingatiwe sana . . , sio kukurupuka na uonevu . .

Asante sana, umeongea vizuri kabisa. Mungu akuzidishie Busara na hekima mda ukifika uje kuwa kiongozi muhimu ktk nchi yetu Tanzania.
 
Kama wananchi hatuwezi kumvumilia huyu bashite,
Lazima aweke vyeti
 
Akawateke na wasouth afrika waliosema jamaa kasifiwa sasa kawa jidikteta!! Anajidai kuongoza nchi kijeshi-jeshi kumbe hamna lolote hajuiwatu dhaifu ndiyo hutumia miguvu Sana huku strong leaders wakitumia akili zaidi.
Nshasema,tutabana matumizi na kuteseka kwiingi alafu mwisho wa mudawake tutajikuta hamna chakujivunia. Na hii ndiyo shida ya irresponsible and unvissionary leadership. Vijana wanaojitambua wa karne hii hatuwezi kuunga mkono mambo ya hovyohovyo!!
 
HUWEZI KUTUHUMU VYOMBO VYA DOLA KIENYEJI ENYEJI BILA UHAKIKA. YEYE KAMA KIONGOZI MKUBWA KATIKA TAIFA ANA FURSA KUBWA TU YA KUKUTANA NA KIONGOZI YEYOTE KATIKA NCHI HII BILA MIPAKA. KWANINI ANASHINDWA KUTUMIA FURSA HIYO?

HAPO ALIPO BUNGENI KUNA MAWAZIRI, KUNA JESHI LA POLISI, KWANINI ASIOMBE KUKUTANA NA MMOJAWAPO ILI KUELEZA JAMBO HILI? PIA KUNA IGP AMBAYE ANAWEZA KUMPATIA ULINZI, KWANINI ASIRIPOTI POLISI HALAFU WAONE NAMNA BORA YA KUSHUGHULIKIA JAMBO HILO? HIVI BASHE AWINDWE KWA MADHARA GANI ALIYONAYO KWA TAIFA HILI?

YEYE NI RAIA KAMA RAIA WENGINE. ANA HAKI NA UHURU WA KUSHAKIA USALAMA WA MAISHA YAKE NA HIVYO KUJILINDA AU KUYALINDA LAKINI SIO KWA NAMNA ALIYOKUJA NAYO. MBINU HIZI NI ZA KIZAMANI.

AJISAHIHISHE.

TEAM CHEAP POPULARITY.
 
kuna watanzania wapuuzi sana wanaleta maneno ya kipuuzi kwenye mambo ya msingi
 
Bashe ni mtu smart kuliko wabunge wote CCM, asikilizwe
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......

Inamaana wewe hukubali kuwa watu wanatekwa? Unakataa sio usalama, unajua ni nani?
 
Akiambiwa athibitishe atakuwa tayari? Kick zingine ni za hatari sana
Mambo mengine huhitaji kuthibitisha ......... alichofanya ni kupeleka message ya kujihami. And the msg is sent!!

Tusubiri tu mapigo ya JPM kenye Ground Breaking ya Reli ya Dar - Moro. Naamini atayatoa yote ya moyoni wanayomzushia!! Kuanzia SABC na hawa akina Bashe!!
 
Hujitambui wewe! Wewe ndiye unayestahili kupuuzwa kwa kutetea ujinga unaondelea nchini kwenye himaya ya dikteta uchwara.

HUWEZI KUTUHUMU VYOMBO VYA DOLA KIENYEJI ENYEJI BILA UHAKIKA. YEYE KAMA KIONGOZI MKUBWA KATIKA TAIFA ANA FURSA KUBWA TU YA KUKUTANA NA KIONGOZI YEYOTE KATIKA NCHI HII BILA MIPAKA. KWANINI ANASHINDWA KUTUMIA FURSA HIYO?

HAPO ALIPO BUNGENI KUNA MAWAZIRI, KUNA JESHI LA POLISI, KWANINI ASIOMBE KUKUTANA NA MMOJAWAPO ILI KUELEZA JAMBO HILI? PIA KUNA IGP AMBAYE ANAWEZA KUMPATIA ULINZI, KWANINI ASIRIPOTI POLISI HALAFU WAONE NAMNA BORA YA KUSHUGHULIKIA JAMBO HILO? HIVI BASHE AWINDWE KWA MADHARA GANI ALIYONAYO KWA TAIFA HILI?

YEYE NI RAIA KAMA RAIA WENGINE. ANA HAKI NA UHURU WA KUSHAKIA USALAMA WA MAISHA YAKE NA HIVYO KUJILINDA AU KUYALINDA LAKINI SIO KWA NAMNA ALIYOKUJA NAYO. MBINU HIZI NI ZA KIZAMANI.

AJISAHIHISHE.

TEAM CHEAP POPULARITY.
 
HUWEZI KUTUHUMU VYOMBO VYA DOLA KIENYEJI ENYEJI BILA UHAKIKA. YEYE KAMA KIONGOZI MKUBWA KATIKA TAIFA ANA FURSA KUBWA TU YA KUKUTANA NA KIONGOZI YEYOTE KATIKA NCHI HII BILA MIPAKA. KWANINI ANASHINDWA KUTUMIA FURSA HIYO?

HAPO ALIPO BUNGENI KUNA MAWAZIRI, KUNA JESHI LA POLISI, KWANINI ASIOMBE KUKUTANA NA MMOJAWAPO ILI KUELEZA JAMBO HILI? PIA KUNA IGP AMBAYE ANAWEZA KUMPATIA ULINZI, KWANINI ASIRIPOTI POLISI HALAFU WAONE NAMNA BORA YA KUSHUGHULIKIA JAMBO HILO? HIVI BASHE AWINDWE KWA MADHARA GANI ALIYONAYO KWA TAIFA HILI?

YEYE NI RAIA KAMA RAIA WENGINE. ANA HAKI NA UHURU WA KUSHAKIA USALAMA WA MAISHA YAKE NA HIVYO KUJILINDA AU KUYALINDA LAKINI SIO KWA NAMNA ALIYOKUJA NAYO. MBINU HIZI NI ZA KIZAMANI.

AJISAHIHISHE.

TEAM CHEAP POPULARITY.
hapana mkuu asipuuzwe maana hata wewe huna hakika na taarifa,ila ila nadhan mamlaka husika ziliangalie kwa makini maana huwezi sema apuuzwe wakati anacho lalamikia tayari kuna mazingira yana husiana na lawama zake maana kama kutekwa watu wametekwa na wengine hawaonekan hadi leo hivyo kusema apuuzwe utakuwa hujatumia akili kabisa
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Pole boss, Msukuma naye team Lowasa! Alafu unataka vitu km vilivyomkuta Roma vitokee ndiyo useme au na wewe Mtekaji!!?
 
Sasa wewe utekwe na nani kama si wahasimu wa maslahi binafsi kwa ulivyonavyo???.....Kisiasa UKAWA hatuna hamu wala nia ya kazi za kijinga kuteka watu wanaosema ukweli maana nguvu yetu ndio huo ukweli unaosemwa na si vinginevyo!!.....Kama kuna watu watachukia ukweli basi uko nao sebuleni na pengine utakuwa unakiuka viapo vya kulindana na kuzuia kweli isitoke!!...hilo ulijitakia na ni bora utoke nje tukusaidie ila ukiwa ndani ...nani hubisha hodi kuingilia mambo ya kifamilia bila kualikwa??....labda aliyesadia kimada kuitwa mke msibani atakusaidia!
 
Back
Top Bottom