Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Naona kuna mtu anataka kutawala kama Kagame.

Madaraka ya kulevya.........!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......

Mijitu mengine humu mapenzi yao ni mbele tu. Kazi waliojipa wao ni kutetea tu.
 
Nakuunga mkono kabisa wacha tu waseme tujue TABIA zao
 
Bashe anapata taarifa za utekeji lakini badala ya kuripoti polisi anapeleka hoja bungeni. Kwanini watu wasiamini kuna mchezo unachezwa na mtandao wa wakina Bashe ili kudhoofisha utawala wa Magufuli?

Kama ni mtandao wa akina Bashe kwanini vyombo vya usalama visiwachukulie hatua?

"Hata yule aliyemtolea Nape bastola nae atakuwa anatoka kwenye mtandao wa akina Bashe"
 
Hao wapuuzi wanalipwa kwa kodi zetu halafu wanataka kututeka tena? Hivi ni nani anaewatumia?
Ni nini kazi ya TISS kwa taifa hili kama ufisadi,wizi wa madini na nyara nyingine za serikali umekithiri?
Kwanini hii TISS isifutwe?

Wanaweka UCCM mbele.

Maslahi ya chama kwanza hayo mengine baadae.
​
 
TANZANIA BANA!
yani kuna muda inakuwa kama movie za mr bean!
SASA WATU WANATEKWA WANAACHIWA WANAKUTWA KITUO CHA POLISI HALAFU WANAKUWA HAWAJUI WALIKOTOKEA!
ndo kusema walikuwa nyumba ndogo au?

MI NI MKATOLIKI jamani!na tumeanza juma kuu!
MNIWACHE!
 
Akiambiwa athibitishe atakuwa tayari? Kick zingine ni za hatari sana
Mbona nawe ni walewale mara ngapi unakujaga na mastory yako yakichochezi na unakua hauna uthibitisho..tutoleeni unafiki wenu hapa!! endeleeni tu kukaangana. Alianza NAPE kulalamika saivi amefuata BASHE.. sijui nani atafuta baada ya huyu. Lisemwalo lipo.
 
ben saanane alienda polisi akatoa mpaka namba za simu za wanaomtishia hao polisi wako walifanya nn tumia akili wakati mwingine

Nitumie akili hayo yananihusu nini mimi, hata chakula mezani yananiongezea.

Huko huko Chadema mnajua lililomtokea kijana wa watu.

Nenda wewe polisi na hao viongozi wanaosaga meno kufatilia.

Mmekaa kimya miezi yote, now mnapata sababu ya kudakia kutaka kuchafua viongozi na serikali.

Na bado, mtanyooka tu
 
Kwa sasa anayemkosoa rais ni mpinzan hata kama anakosoa kwa maslahi ya taifa,hii sio sahihi
 
Hiyo list mtoeni Bashe mchukueni Mbunge wangu hana lolote afanyalo.
 
Back
Top Bottom