Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Ben saanane ali ripoti polisi saiv yuko wap sasa au mpaka babako au ndugu zako watekwe ndo itakuuma

Nenda polisi na mabosi wenu walilia kiki za kipuuzi mkafungue kesi iende hadi mahakamani.

Mie nipitie huko
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Mkuu soma signature yangu hapo chini inakuhusu
 
Hebu rudia kusoma ulichoandika halafu naomba ujibu maswali haya;
Je unakubaliana na mimi kuwa kuna matukio ya utekaji watu yanaendelea hivi sasa?, Na kama yapo serikali iliwahi kutoa kauli gani kuhusu matukio haya (wakati unajibu swali hili ukumbuke kamanda Sirro alikata simu alipoulizwa swali hili)?, Hatua gani iliyochukuliwa na serikali mpaka hivi sasa? Ukiweza kujibu haya nataka nikuulize na jingine naomba usikimbie ili tukuonyeshe jinsi Tiss na Bashite wanavyoshiriki kwenye matukio haya
 
Sasa kma watekaji ni watu wa usalama, na polisi ndo hao hao wana usalama, utakuwa unafanya nini sasa..??

Alichofanyiwa Nape kilifanywa na mtu wa usalama, ila tukaambiwa HAKUWA POLISI, na wala hajakamatwa mpk sasa na hakuna chochote kinachoendelea. So who was that..??

Nways, tufanye alikuw anaongea na familia yake kama Gwajima. Tatizo liko wapi..??

Nia yke ni kutoa angalizo tu. Isije ikatokea mkasema kwamba kwanini hukusema..??

Umeniandikia nini!?

Usiniandikie vitu vya kusikia huyu kasema huyu kaandika. Kama hauna facts pita huko, usinijaze udaku mimi na uongo wenu uliokubuhu kwa sababu mnasaga meno yenu.

Mtanyooka tu
 
Bashe anapata taarifa za utekeji lakini badala ya kuripoti polisi anapeleka hoja bungeni. Kwanini watu wasiamini kuna mchezo unachezwa na mtandao wa wakina Bashe ili kudhoofisha utawala wa Magufuli?
Pamoja na aliyemshikia pistol Nape kutokukamatwa?pamoja na makirikiri waliovamia Clouds kutokumatwa?
 
Tatzo LA bashe wanataka kujiona kile kimobu Chao Cha CCM Timu lowasa wanaanza kujidai wanatupa makombora kama unaushaidi ungetaja hicho kikundi au hao mawaziri wawataje waeke mambo bayana msitufanye wapumbavu nyie wanasiasa ambao akili zenu ni Za kijinga kama unauchungu na uzalendo taja na utaje wahusika msituletee Kiki Za kisiasa nyie
 
kwani kapinda au kisa kukosolewa, kumbuka hajateuliwa yule kachaguliwa na wananchi wake, na hata hivyo hana njaa kama wewe

Ha ha ha haaaaaaa

Njoo unipatie chakula basi nina njaa kweli kweli.

Halafu naona unazidi kunizoea na kuniquote kuniandikia majanga, utachoka tu.
 
HORACE KOLIMBA ALIPOSEMA CCM HAINA DIRA ALIITWA KUJIELEZA HALMASHAURI KUU. SASA HUYU BASHE SI AITWE KWENYE KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CHAMA KUHOJIWA
 
tanzania ni ya ajabu. wa ajabu kila kitu ajabu.

nimemkumbuka tundu lissu aliposema sio sisi tutafatwa tukimalizwa ataguswa kila mwanachi.

manina hii nchi itafika kipindi uoga utaisha nd hapo utaona hasira za wananchi but siombei
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Akunyooshe akili zikae vizuri, kumbe pindi hajawa rais ulikuw baladhuli au unamanisha nn
 
HUWEZI KUTUHUMU VYOMBO VYA DOLA KIENYEJI ENYEJI BILA UHAKIKA. YEYE KAMA KIONGOZI MKUBWA KATIKA TAIFA ANA FURSA KUBWA TU YA KUKUTANA NA KIONGOZI YEYOTE KATIKA NCHI HII BILA MIPAKA. KWANINI ANASHINDWA KUTUMIA FURSA HIYO?

HAPO ALIPO BUNGENI KUNA MAWAZIRI, KUNA JESHI LA POLISI, KWANINI ASIOMBE KUKUTANA NA MMOJAWAPO ILI KUELEZA JAMBO HILI? PIA KUNA IGP AMBAYE ANAWEZA KUMPATIA ULINZI, KWANINI ASIRIPOTI POLISI HALAFU WAONE NAMNA BORA YA KUSHUGHULIKIA JAMBO HILO? HIVI BASHE AWINDWE KWA MADHARA GANI ALIYONAYO KWA TAIFA HILI?

YEYE NI RAIA KAMA RAIA WENGINE. ANA HAKI NA UHURU WA KUSHAKIA USALAMA WA MAISHA YAKE NA HIVYO KUJILINDA AU KUYALINDA LAKINI SIO KWA NAMNA ALIYOKUJA NAYO. MBINU HIZI NI ZA KIZAMANI.

AJISAHIHISHE.

TEAM CHEAP POPULARITY.
Acha kujiweka mtupu hadharani..
Huna hata chembe ya aibu kubwa zima..!!??
 
Mkuu Usalama wa Taifa ni taasisi pana sana.Na unaweza usijue ni nani amehusika iwapo kazi imefanyika "kitaaluma" sawasawa.Maana haiwezekani jambo limetendeka la kuhatarisha au ku-defame hadhi ya nchi halafu mtu wa idara anayehusika eneo Hilo akae kimya tu.Atashughulika tu kwa vyovyote Maana Ndio kazi yake.Na wa kujua labda atakuwa ni immediate boss wake tu. Sasa hao wengine wanachezea hadi "sharubu" za nchi.Mintarafu Hilo la uhusiano mbaya wa JPM Na Kanisa Katoliki, maoni ya huyo Askofu yanabakia tu Ni maoni yake binafsi Na sio lazima uwe Ndio msimamo wa Kanisa.Msimamo wa Kanisa hutolewa Na Baraza la Maaskofu kupitia Idara husika .
Acha kudanganya watu!!
 
Nchi ikikushinda lazima utengeneze kikundi cha kuwamaliza wanaokupinga!!!
 
Bashe kwa nini unajishtukia? nani ambaye hajui msemo wa "the guilty are always..." wewe kama unajiamin kwamba huna mawaa kwa nini usitulizane akili ukaendelea na shughuli zako za kila siku in peace, kuliko kujaribu kutumia cowboy tactics kuharibu sifa za Taifa letu na uongozi wa awamu ya tano.

Unapo toa tamko ndani ya Bunge kwamba umepata habari/taarifa kwamba hivi sasa Tanzania kuna a Flying Squad ya kuteka Viongozi/Wabunge/Raia habari zenyewe kazipata wapi - kupitia facebook, are you serious! Binafsi sina hakika kama Bashe kama Bashe unajua vizuri statement za namna hiyo zina implication gani hapa kwetu na nchi za nje.

Hivi huyu jamaa anataka kuileza nini Dunia kwamba siku hizi Tanzania kumehibuka leaders wenye sifa kama za akina Augusto José Ramón Pinochet au Papa Doc na kundi lake la Tonton Macoute - kuna ukweli gani katika madai yake? Namshauri Bashe kwamba wakati mwingine ajaribu kutumia busara kidogo hasa hasa linapo kuja suala ambalo linaweza ku-tarnish sifa za Taifa letu beyond ..., kila Mtanzania mwenye akili timamu anajua Bashe alikuwa una msupport nani, akumbuke hivi sasa tunaingia mwaka wa pili tangu chaguzi za Urais zifikie tatamti yake, mlishauriwa na watu weledi na wenye busara zilizo tukuka kwamba chaguzi zimekwisha vunjeni vikundi vyenu ndani ya CCM, lakini inavyo onekana bado kuna remnat ya vikundi hivyo ndani na nje ya CHAMA - hao ndio wanaleta mambo ya uzushi na taharuki zisizo na substance - lengo hasa ni kutaka approval rating ya Dk.Magufuli na Uongozi wake u-decay exponentially - kama mnafikiri atakuwa a single term President mtasubiri SANA.
 
Back
Top Bottom