Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tunyoshe jembe
 
Una Maana Gani Kusema Rais "atapotezwa"??? Jamani Muwe Mnajiangalia na Kutafakari Kila Neno Mnaloandika Hasa Likimhusu Rais. Nikujulishe Tu Kwamba, Rais Akisha Chaguliwa na Kuapishwa ANAKUA TASWIRA NA ALAMA YA TANZANIA: UMPENDE AU USIMPENDE UNAPASWA KUCHUNGA KAULI ZAKO DHIDI YAKE MAANA KUNA CONSEQUENCES
 
Every leader who tries to fight injustices like corruption and illegal drugs businesses has to suffer though media and politicians, regardless in Africa , Asia or America..creation of fake images to the public initiates anger and chaos . Poor Tanzanians who can't delineate the facts from fictions will get into trouble! Let's criticise constructively without allegations and accusations which mere citizens have no proof of it.

Do you think our president can fight corruption without transparency ?
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Watz wengi hatujielewi, hii issue sasa naona imevuka mipaka maana ni "vita ya wauza unga dhidi ya serikali". Baada ya kuona mwanzoni ile wamekosa support wakaanza kuingiza madai yasiyo na msingi na kuanza kuituhumu serikali kuwa ndo inahusika. Ni vyema wananchi wakajiepusha na hawa wapiga dili waliokuwa wamezoea kula wasichostahili na kujikita ktk shughuli za uzalishaji kwa sababu linapokuja suala la njaa, magonjwa hawa watafta Kiki kina Bashe hawatawajali. Tumuache Rais wetu na wasaidizi wake wamalize kipindi chake, kipindi cha kampeni /siasa bado.
 
Niliwaambia watu hawakutaka kunisikia, kwamba tumeletewa garasa!
 
Uzi wa kitoto we unafikiri ni waizi wanavamia studio! Unafikiri ni waizi walimteka Roma! Serikali ikiamua hakuna utekaji basi na ikiamua utekaji uendelee utaendelea.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Jama kama mmeshindwana na bado mko chumba kimoja ya nini kutuletea sisi nje??..Tena Bungeni....hayatuhusu kwa kweli...ni kutupotezea muda wa kujadili mambo muhimu ya taifa letu bila unafiki wa kujifanya safi ndani ya sewage upokee sympathy za waungwana!!!!....Toka nje tutakuelewa hupendagi mizengwe rafiki>> Kubaki ndani wakati mlango upo wazi ukaanza kulia unapigwa ni aibu tu!!
 
Chanzo cha hii habari ni wapi?

Kama ni Bashe mwenyewe haya,yetu macho ila tafadhali asihusishwe mtukufu JPM.
Umeshaweka hisia za muhusika. Dunia aina siri.
Siku ya mwisho mambo yote mema au mabaya yatawekwa hadharani.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Bashe anapata taarifa za utekeji lakini badala ya kuripoti polisi anapeleka hoja bungeni. Kwanini watu wasiamini kuna mchezo unachezwa na mtandao wa wakina Bashe ili kudhoofisha utawala wa Magufuli?
 
Back
Top Bottom