Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

bashe-png.493575

Duuuh haya bana, Asili yake wapi??
 
Najua atataiwa ataje hao mawaziri na akiwataja na uwaziri huenda ukaota mbawa.

Hapana, spika na naibu spika na waendesha vikao vyote wa bunge na kamati ya maadili wamuite na atoe ushahidi na awataje majina.

Hizi issues zingekuwa zimetajwa na watu wa UKAWA bungeni sasa hivi lingekuwa hapatoshi
 
Bashe kapata taarifa kuwa yu miongoni ya wanaotakiwa kutekwa. Swali ni hili je kachukua hatua gani ametoa taarifa kituo chochote cha polisi? au ndio kubwabwaja bungeni na kutafuta kiki?
Kwani hao waliotoa taarifa polisi baada ya kutekwa ni mtekaji gani amekamatwa mpaka leo ? Bashe is very clever na sio muoga
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
wewe hebu wacha kuongea upupu!hapa uchama unatoka wapi?watu wengine mna mahaba ya kipumbavu kabisa,mtu akisema ukweli hamtaki kisa mpinzani unasaport kila kitu hata ccm wakikuambia kula mavi utakula,Yaani watanzania hatujielewi kabisa,siku ikatokea ndugu yako wa karibu au wewe mwenyewe kufanyiwa jambo baya kama hayo wanayofanyiwa wengine ndiyo utaacha kutetea upupu.Kwa hiyo wewe unafurahia ukatili unaofanyika kwa watanzania wenzako kwa kutekwa na kupotezwa?tena tunatakiwa tupaze sauti watanzania wote kukemea hii tabia chafu.
 
WEWE NI MUONGO NA LENGO LENU NI KUIFANYA NCHI ISITAWALIKE KWA KUVIPAKA MATOPE VYOMBO VYA USALAMA - TUHUMA HIZO NI NZITO NA NI LAZIMA UZITHIBITISHE. TUHUMA HIZO ZINA KILA DALILI ZA UHAINI MAANA UNAMHUSISHA RAIS KATIKA JAMBO AMBALO HUNA USHAHIDI NALO NA LENGO LAKO NI KUMFANYA RAIS ACHUKIWE NA NCHI ISITAWALIKE - HUU NI UHAINI (TREASON - Kifungu cha 39 Penal Code) NA NI VYEMA KUJIANGALIA NA KUTAFAKARI KABLA YA KU POST MAMBO SENSITIVE KAMA HAYA: TUNAOMBA UTHIBITISHE PASIPO NA SHAKA KWAMBA TUHUMA HIZO.

Wapuuzi hawa wanafikiri watamdanganya kila mtu nchi hii

chuki zao kwa rais wa nchi hazitafanikiwa, watashindwa
 
Bashe kwa nini unajishtukia? nani ambaye hajui msemo wa "the guilty are always..." wewe kama unajiamin kwamba huna mawaa kwa nini usitulizane akili ukaendelea na shughuli zako za kila siku in peace, kuliko kujaribu kutumia cowboy tactics kuharibu sifa za Taifa letu na uongozi wa awamu ya tano.

Unapo toa tamko ndani ya Bunge kwamba umepata habari/taarifa kwamba hivi sasa Tanzania kuna a Flying Squad ya kuteka Viongozi/Wabunge/Raia habari zenyewe kazipata wapi - kupitia facebook, are you serious! Binafsi sina hakika kama Bashe kama Bashe unajua vizuri statement za namna hiyo zina implication gani hapa kwetu na nchi za nje.

Hivi huyu jamaa anataka kuileza nini Dunia kwamba siku hizi Tanzania kumehibuka leaders wenye sifa kama za akina Augusto José Ramón Pinochet au Papa Doc na kundi lake la Tonton Macoute - kuna ukweli gani katika madai yake? Namshauri Bashe kwamba wakati mwingine ajaribu kutumia busara kidogo hasa hasa linapo kuja suala ambalo linaweza ku-tarnish sifa za Taifa letu beyond ..., kila Mtanzania mwenye akili timamu anajua Bashe alikuwa una msupport nani, akumbuke hivi sasa tunaingia mwaka wa pili tangu chaguzi za Urais zifikie tatamti yake, mlishauriwa na watu weledi na wenye busara zilizo tukuka kwamba chaguzi zimekwisha vunjeni vikundi vyenu ndani ya CCM, lakini inavyo onekana bado kuna remnat ya vikundi hivyo ndani na nje ya CHAMA - hao ndio wanaleta mambo ya uzushi na taharuki zisizo na substance - lengo hasa ni kutaka approval rating ya Dk.Magufuli na Uongozi wake u-decay exponentially - kama mnafikiri atakuwa a single term President mtasubiri SANA.
mkuu wala usiumize kichwa kiivyo! huyu kwanza alishinda kwa bao la mkono halafu analeta ujuaji.
 
Kwa hiyo,Mwiguru Nchembe (Waziri mambo ya ndani) na Rashidi yule wa Tiss kazi wamemkabidhi Bashite?
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Ungezungumzia kidogo sual la watu kutekwa. je wanasema sababu wamebanwa? je watu hawatekwi?
 
TUNAOMBA WA-DHAMINI WA VITA WAJE WATU-DHAMINI WATANZANIA TUPEANE HESHIMA KIDOGO, KWA HAPA TULIPO FIKIA YATUPASA TUINGIE VITANI TU..
 
Akiambiwa athibitishe atakuwa tayari? Kick zingine ni za hatari sana
Uthibitisho gani mwingine unaoutaka?

Imevamiwa Clouds TV na askari kwenye silaha za moto, aliyeunda Tume kuchunguza tukio hilo kafukuzwa kazi na aliyeenda na hao maaskari kuwatisha watangazaji wa Clouds anaendelea kupeta huku akikingiwa kifua na Mkulu!

Nape alitishiwa na bastola na mtu 'asiyejulikana' pale Protea Hotel, pamoja na agizo la Waziri wa mambo ya ndani kwa IGP Mangu, kuwa MTU huyo asakwe na kukamatwa na kufunguliwa mashitaka,hadi leo mtu huyo ameshindikana kukamatika!

Roma na wenziwe wametekwa na watu wasiojulikana, lakini baadaye tulimsikia 'ring leader'. wa 'Bashite Police Force' kuwa akina Roma watapatikana before Sunday.......

Na hakika ilipofika Saturday akina Roma walirudi uraiani!

Sasa ni kwa nini huyo 'ring leader' wa group hilo hatari ambaye keshafahamika anashindikana kukamatwa na vyombo vya dola na kufunguliwa mashitaka ya jinai ya utekaji nyara watu wasio na hatia!?
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
MKUU NAKUBALIANA NA WEWE HIZO NI HASIRA ZA MKIZI,SASA HIVI WATU WALIOSHINDWA UCHAGUZI 2015 NA WALIOKATWA NDANI YA CCM AU MASWAIBA WAO WAMEKUA WANATAFUTA NJIA YA KUICHAFUA SERIKALI UKU WAKITUMIA VYOMBO VYA HABARI KUMSEMA VIBAYA JPM,MANA HATA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI WAO WANAVIMILIKI,TULIPOFIKIA RAIS WETU ATAKIWI KUCHEKACHEKA KWENYE MASLAHI YA TAIFA,HAIWEZEKANI WATU FLANI AU VIKUNDI FLANI VIWE VINAHUJUMU UCHUMI WETU MTAWALA ANACHEKACHEKA MRADI AMEWARIDHISHA KUNDI FLANI UKU WATU WA CHINI WAKIPATA SHIDA.TATIZO WATANZANIA WENGI HATUJAELEWA HOTUBA YA RAIS WETU JPM WAKATI ANAFUNGUA BUNGE,TULIKUWA TUNADHANI NI SIASA TU UTEKELEZAJI HAMNA,TUTAENDELEA KAMA KAWA KUPIGA DILI TU,ALIPOANZA KUIFANYIA KAZI KWA MATENDO HOTUBA YAKE TUMEANZA KULALAMIKA ASA WENZETU WALIOZOA KULA HELA YA SERIKALI BILA KUIFANYIA KAZI,ALIPOWASHUGHULIKIA MAFSADI NA WAUZA UNGA PAPA NDO VITA YA KUMPINGA RAIS ILIPOANZA MARA KATUBANA WENZANGU WAPINZANI WAMESHIKILIA JPM DIKTETA NYUMA YA PAZIA GENDA YAO KUBWA YA UFSADI IMEKUFA KIFO CHA MENDE SASA IVI WANADANDIA HOJA JUU KWA JUU AMBAZO HAZINA TIJA KWA WANANCHI.UCHAGUZI UMEISHA TUIACHE SERIKALI IFANYE KAZI.
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
wewe hebu wacha kuongea upupu!hapa uchama unatoka wapi?watu wengine mna mahaba ya kipumbavu kabisa,mtu akisema ukweli hamtaki kisa mpinzani unasaport kila kitu hata ccm wakikuambia kula mavi utakula,Yaani watanzania hatujielewi kabisa,siku ikatokea ndugu yako wa karibu au wewe mwenyewe kufanyiwa jambo baya kama hayo wanayofanyiwa wengine ndiyo utaacha kutetea upupu.Kwa hiyo wewe unafurahia ukatili unaofanyika kwa watanzania wenzako kwa kutekwa na kupotezwa?tena tunatakiwa tupaze sauti watanzania wote kukemea hii tabia chafu.
 
Haya sio mambo ya mzaha kwa nchi iliyozoea utulivu na amani(wengine wanaita woga).
Mambo yanayohusiana na kuhusisha idara za Serikali katika kuteka watu sio mambo ya kuyaandika na kufurahia tu.
Serikali lazima ijisafishe katika hili kama si kweli. Idara nyeti kuendelea kukaa kimya sio salama kwa nchi.
 
Bashe hatumii vzr bongo yake. Hivi mtu anayetaka kukuua atakutaarifu kweli?
 
mwendo wa kutekwa tu hii nchi ilipofikia aisee
 
Back
Top Bottom