Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
Sina swali. Mimi hapa ni mgeni japo mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wapiga dili, majangili, n.k n.k nimewakuta wamefungiwa nje!
Eti magufuli kashindwa kuendesha nchi au kaweka kufuli ambalo hata funguo za Malaya zimeshindwa kufungulia hao niliosema wako nje (samahani kwa kupayuka swali hili japo nilisema sina sali)?
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea.
Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya Mawaziri kuwa ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa kuna kikundi ambacho kinahusika na utekaji wa watu. Amedai kuwa kuna Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa na kuondolewa uhai. Mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie

"Kuna watu wamenitumia ujumbe kwamba mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie. Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana".

​

Kwa hapa tulipofika, ni wazi kuwa JPM ajitafakari na baadhi ya watu wanaomzunguka.Kuna hali ya tahayari katika Taifa.

Jana nimeongea na Askofu mmoja wa Kikatoliki, nimeona dalili ya uhusiano wa JPM na Kanisa kudorora kwa namna anavyoendesha mambo ya Nchi.

Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana'

Wasalaam

Bashe, new habari wanalia njaa wanakaa mpaka miezi 3 bila mishahara hebu shughurika na hilo kwanza. Achana na kuvua mambo kha!
 
Laiti ungalijua Magufuli alitokea wapi and why It had to be Magufuli! .
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Paskali
Na wewe mayalla "NJAA" umezidi, kila mara una-quote hiyo thread yako wakati uliahidi kutoa sababu ya kwanini awe yeye. Lakini tokea mwaka juzi mpaka leo hujatoa sababu na kila mara una-quote hiyo thread as if kuna hizo sababu ili mtu aelewe. Hiyo quoting ni useless as long as hiyo thread haitoi sababu ulizoambiwa.
Hilo linanifanya nisiamini kama ni kweli kuna sababu zozote zile unazozifahamu wether ni za msingi au dhaifu kama ulivodhania. Ni vyema ukaziweka wazi ili kila mtu achambue kwa utashi na akili yake binafsi kama ni za msingi au aungane na wewe kwamba ni sababu dhaifu. Vinginevyo sioni sababu ya wewe kuendelea ku-quote hiyo thread isiyo na msaada, ilikuwa na msaada kipindi kile cha mchakato wa uchaguzi.
 
eti tiss inakikundi cha watekaji!!?labda tiss ya drc.manyumbu mnatekana wenyewe ili kupunguza makali ya uuzaji unga.jpm komaa baba
 
Maccm hayana maana. Haiwezekani wao wawe watekaji binadamu wasio na hatia. CCM imejaa wezi wa mali ya umma
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
Bashe amekuwa mtu wa pili kusema uwepo wa kundi la kuteka watu, wa kwanza kusema alikuwa Lissu, mka mzodoa sasa kasema bashe mnamwita mwenyewe chuki. Subiri watasema na wengine.....(sasa mnaanza kuelewa udiktete si dhana bali ni halisi)
 
Kwani hamwoni hayo matukio? Bashe yupo sahihi kutaka suala hili lijadiliwe.
 
duniani hakuna mtu katiri ila ukatiri ni kuuzoea hao waliwekwa kwenye taget ya kutekwa inabidi nao wauvae ujasiri na waangalie ni namna gani ya kujilinda.

watu wanasema usitangaze amani wakati wa vita.
 
Wakuu Hussein Bashe anaiendesha sana Serikali ya Mkemia na Watekaji ninavyoona Jembe Bashe litapigwa chini Kama Easter Bulaya na Lina uwezo wa kushinda Uchaguzi kutokea chama chochote cha Siasa ila ajiandae kuanzia sasa Hali si nzuri.

Najua Mkemia ndo ataongoza jopo la mchujo mwaka 2020 lipo wazi atamtema.
 
Umeripoti polisi au ndo kutupoteza mwelekeo au ndo kiki zenyewe hizi?
 
Wakuu Hussein Bashe anaiendesha sana Serikali ya Mkemia na Watekaji ninavyoona Jembe Bashe litapigwa chini Kama Easter Bulaya na Lina uwezo wa kushinda Uchaguzi kutokea chama chochote cha Siasa ila ajiandae kuanzia sasa Hali si nzuri.

Najua Mkemia ndo atongoza jopo la mchujo mwaka 2020 lipo wazi atamtema.

Asimsahahu na Nape!
 
Back
Top Bottom