BONGE BONGE
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 3,722
- 2,110
Sana atuambie waziri gani kamwambia na hapo ndo tunapoanzia na uchunguzi kujua hawa niwakina nani na inakuwaje waziri kaijua hii je kaijuaje... Je waziri list kaitoa wapi that's easy Bashe mtaje huyo waziri watu waanze na uchunguzi
Na hawa mawaziri duuh nawaonea huruma???
Na wewe unajiita great tninker afu unatoa ushauri huo!! Heri uishie kusoma tu post za wenzio! Ni ushauri tu lakini!!!