Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Sasa hao mawaziri wanawatumikia Watanzania ama wanayatumikia matumbo yao? Kama wana akili wajiuzulu, vinginevyo wanazitia aibu familia na koo zao kuendelea kufanya kazi chini ya boss ambaye hawezi kusikiliza na kufanyia kazi mawazo yao. Kantasundwa............
Hivi wewe huoni kama mawaziri wengi "wameishajiuzulu"? Kusoma hujui hata picha huoni? wengi "wameishajiuzulu" kiroho! wanaogopa wakitangaza "watakolimbwa"!
 
Baada ya kauli kama hii dikteta uchwara ataendelea kukaa kimya!? Kwanini hataki kuzungumzia hii taharuki kubwa iliyotanda nchini!? Huyu kaambiwa na Mawaziri kwamba uhai wake upo kwenye hati hati. KULIKONI watu mbali mbali wenye uwezo wa kuzungumzia hii taharuki wameamua nao kuwa kimya!?



Akiongea Bungeni leo mbunge wa Nzega alitaka shughuli za bunge ziahirishwe kwa ajili ya dharura ya kujadili watu kutekwa
Anadai yeye mwenyewe pamoja na wabunge akiwepo Msukuma, Malima, kwenye mkutano wa CCM
Pia amegusia Roma kutekwa na Ben Saanane na hawa ni watu wanaofahamika tu
Pia amepokea taarifa kutokakwa mawaziri wakimuonya kuwa akikaa vibaya barabarani anaweza kupoteza maisha
Anadai kikundi hicho kipo usalama wa taifa na kinaharibu sifa ya CCM pamoja na taifa, ameomba iundwe kamati na bunge kushughulikia tatizo hilo kwani limejadiliwa sana na hakuna statement serikalini
 
Hii hofu iko huku mitandaoni tu au na kwenye jamii?? Mbona sielewi maswala ya kuuana hivi hao watekaji na watesaji wanajua kuwa siku za mwisho na wao watateswa tena zaidi ya wanavyowatesa wenzao???


Akiongea Bungeni leo mbunge wa Nzega alitaka shughuli za bunge ziahirishwe kwa ajili ya dharura ya kujadili watu kutekwa
Anadai yeye mwenyewe pamoja na wabunge akiwepo Msukuma, Malima, kwenye mkutano wa CCM
Pia amegusia Roma kutekwa na Ben Saanane na hawa ni watu wanaofahamika tu
Pia amepokea taarifa kutokakwa mawaziri wakimuonya kuwa akikaa vibaya barabarani anaweza kupoteza maisha
Anadai kikundi hicho kipo usalama wa taifa na kinaharibu sifa ya CCM pamoja na taifa, ameomba iundwe kamati na bunge kushughulikia tatizo hilo kwani limejadiliwa sana na hakuna statement serikalini
 
Ukiona familia inayumba ujue baba hayuko imara...
.
Hii mizengwe ndan ya ccm inaletwa na mwenyeket wake kwan hayuko imara amekosa confidence kila akigeuka anahis mzmu wa lowassa bado unamng'ong'a hana usawa kwny maamuz yake wapo wanaoonekana bora hata wakikosea wao wanatetewa na wengine hata wakitoa ushaur mzur wanaonekana wasaliti ili mrad kutokujielewa tu...
.
Na hali hii imeletwa na kumpa usukan dereva asiejua tulikotoka wala tunapokwenda matokeo yake anatumia hisia na ghadhabu zake kufanya maamuz...
.
Anaeivuruga ccm sio nape sio bashe wala sio msukuma et al... Ni huyu mwenyekit na maamuz yake ya kise*****
 
This is crazy kabisa!!afukuzwe CCM hamna namna!!anasema eti uhusiano na kabisa katoliki na serikali umedorola???anataka kutuambia kuwa serikali inaendeshwa na kabisa!!dash!!
 
This is crazy kabisa!!afukuzwe CCM hamna namna!!anasema eti uhusiano na kanisa katoliki na serikali umedorola???anataka kutuambia kuwa serikali inaendeshwa na kanisa!!dash!!
 
Bado nalia na tanzania yangu....lakini yule governor wa mkoa ule aliwapigia simu wabunge akawaambia watashughulikiwa sasa nahisi wabunge waajiri walinzi kutoka M23,ALSHABAAB ili watekaji wakija kuwateka wapambane na watekaji
 
Sana atuambie waziri gani kamwambia na hapo ndo tunapoanzia na uchunguzi kujua hawa niwakina nani na inakuwaje waziri kaijua hii je kaijuaje... Je waziri list kaitoa wapi that's easy Bashe mtaje huyo waziri watu waanze na uchunguzi
Na hawa mawaziri duuh nawaonea huruma???

Kwanini watu wasiamini kuwa Bashe ni mmoja wa watu wanaocheza hii Kombolela ya kuteka watu? Na kama hana hatia awataje hao mawaziri.
 
Hofu ya mitandao. Sisi uraiani tupo shwari tu.

Haya mambo ya hofu yapo huko Somaliland tu.
 
Sana atuambie waziri gani kamwambia na hapo ndo tunapoanzia na uchunguzi kujua hawa niwakina nani na inakuwaje waziri kaijua hii je kaijuaje... Je waziri list kaitoa wapi that's easy Bashe mtaje huyo waziri watu waanze na uchunguzi
Na hawa mawaziri duuh nawaonea huruma???
Utakuwa kiwembe kama wa kina wako maana hii siyo akili ya kawaida. Nonsense!
 
Atanue Tu wigo Ccm ndio nn?jilipue Tu bashe! Unagwaya nn? Tafsiri ni kwamba nchi hii zaid ya Syria! Mtakoma
 
Bado nalia na tanzania yangu....lakini yule governor wa mkoa ule aliwapigia simu wabunge akawaambia watashughulikiwa sasa nahisi wabunge waajiri walinzi kutoka M23,ALSHABAAB ili watekaji wakija kuwateka wapambane na watekaji
Naiona ccm ikijikata kichwa taratibu!! Mtaalamu wa kuchuna gamba kanyan'ganywa kisu!! Aliiyepewa kisu ni mchinjaji asiye na ujuzi!!sasa ccm inachinjwa bila kujua,ikidhani inavuliwa gamba chafu la zamani!imenyoosha shingo huku imefumba macho!! Tumeshaandaa vyombo kwa ajili ya kukinga damu,na mbwa wako tayari kugawana nyama!! Eh! Au nnaota?
 
Kwani lazine aunge mkono, japokuwa mimi siungi mkono mambo yanayotendeka , LAKINI kama mtu unasema uko hatarini na unao ushahidi ama umepewa habari na kiongozi ni lazima umtaje japo uwape habari idara muhimu, ama angepeleka haho majina kwa spika.
Amtaj??hatar
 
Hayo ni mambo ambayo kisheria angelikwenda moja kwa moja police afungue kesi Ile sheria ifanye kazi Mara moja kwani haina maana kulihadithia bunge wakati tayari keshapata ushahidi wa kuambiwa sasa anataka atumiwe na barua ndio aende kushtaki polisi?
 
Back
Top Bottom