MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,413
- 4,889
Kamuulize ukweli wote BashiteAkiambiwa athibitishe atakuwa tayari? Kick zingine ni za hatari sana
Kamuulize ukweli wote BashiteAkiambiwa athibitishe atakuwa tayari? Kick zingine ni za hatari sana
soma msg na uielewe- mbunge anatuhumu vyombo vya dola hadharani tena tuhuma nzito hivyo anapaswa atoe ushahidi tena kwa umma - awataje wahusika. Kila Mtu Atawajibika kwa Kauli na Matendo yake- ATHIBITISHE TUHUMA HIZOhaya! kama ana ushahidi akuletee wewe? na kama ametumiwa msg akae kimya!!!
Lakini huyu ni CCM mwenzenu cocochanel?Ha ha ha haaaaaa
Ameambiwa eeeeh
Na hakwenda polisi kuripoti!!!
Asa bungeni ndio pa kutafuta kuichafua serikali, hawa wabunge wengin njaa inawauma kweli kweli.
Watanyooka tu
Wachafuzi wa serikali hii
Inabidi huyo akamatwe aojiwe zaidi, mchochezi tu
weka akiba ya manenoBashe naona umeota Mapembe
Hiyo chuki yako yakijinga haita penya
tunasema hauta penya
Kaambiwa na waziri mmoja kuwa ajiangalie sana wako 11.Bashe anajuaje mambo ya TISS
kivipi wanawarudisha nyuma, endeleeni kukamata tu na nyongeni hasa, lakini siku akina pangu pakavu tia mchuzi tukiamka, eeh, wacha nikae kimyaTeam Lowassa na Team Membe wanaturudisha nyuma sana. Magu akomae nao mpaka kieleweke.
Mmh! Una uhakika kwamba suala la utekaji utawala uliopita alikuwepo?jamani haya mambo ya utekaji tusijapuuze wala kuyachukulia kiutani ni very serious hali si shwari hata kidogo. mbona kipindi cha Kikwete mambo haya hayakuwepo kwanini sasa? nimeshangazwa sana wiki iliyopita wakati Lema akichangia na kuhoji suala la kupotea kwa Ben Saanane kuna baadhi ya wabunge walikuwa wakicheka kwa kebehi utadhani huyo aliyepotea ni mbuzi au mende. Mungu awalaani wote mnaokebehi mambo haya hasa baadhi ya wabunge waliokuwa wakicheka. Bunge unganeni tupate solution ya suala la utekaji lililoibuka nchini. Yuko wapi BEN SAANANE? Mtanzania mwenyenzetu, ni binaadamu kama walivyo wengine ana haki ya kuishi!
Dalili zote zinaonyesha kuwa wewe ni miongoni mwa watekaji🙂🙂🙂Akiambiwa athibitishe atakuwa tayari? Kick zingine ni za hatari sana
Nani kakudanganya kuwa pesa za walipa kodi zipo salama!! Hizi pesa zetu anazojengea uwanja wake wa ndege Chato!!Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?
Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.
Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.
Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Ndio wameanza kumgeuka sasa . .Nchi imemshinda huo ndo ukweli alidhani kuwa Rais ni kama kuwa waziri eeh hao anaowatuma kunyanyasa watu iko siku watamgeuka tu
Nani asiyeongea nchi hii ? Kama babu kidevu mwenyewe anaongea utadhani kameza betri nadhani unawazungumzia baadhi ya mawaziri walioamua kujinyamazia.Narudia kusema kuwa ni mbaya sana kwa mtu kuamua kupambana na mtu asiyeongea
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?
Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.
Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.
Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Kwani mkuu mpaka sasa hujaona tatizo?Siamini kama anaweza kutoa shutuma nzito hivyo
Kama ni kweli, basi kuna tatizo mahala
Kwahiyo yeyote atasimamia ukweli yuko kinyume na Rais na Chama chake? Ubashite unakusumbuaHuyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?