Itarudi tu baada ya zile hela euros million 80 mama alipewa ufaransa kwa ajili ya kilimo.Mwambie mbolea imefika 120,000
Huo uzuri wake wala hauhitajiki. Arudishe mbolea bei ya mwaka jana 50000
Ni mzuri wa sura au??
Naunga mkono hoja na asante kumspot Bashe leo, angalia sie wenzio tulimspot lini. Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote!Ni lazima tupongeze pale ambapo mtu anafanya vizuri. Bashe ameleta muonekano mpya wa kilimo, ubunifu na uwekezaji. Bashe akipewa muda kilimo cha Tanzania kitaenda mbali sana. Tatizo ni kwamba sehemu nyingine hakuna ubunifu wa kutosha. Huyu anajitahidi sana hasa ukizingatia ni kijana bado
Mwache aendelee kujifunika mtandio wa benderaSchoomate wangu @Mwigulu Nchemba naomba fanya juu chini riba za mikopo ziende chini. Fanya juu chini tuwe na fund ya mortgage ili kupunguza riba za mikopo ya nyumba… najua unanielewa. Nipe sababu ya kukusifia
Mwigulu Nchemba ni mzuri tu kwenye majigambo na ushabiki wa Yanga lakini sio kwenye utendaji wenye tija kwa taifaNi lazima tupongeze pale ambapo mtu anafanya vizuri. Bashe ameleta muonekano mpya wa kilimo, ubunifu na uwekezaji. Bashe akipewa muda kilimo cha Tanzania kitaenda mbali sana. Tatizo ni kwamba sehemu nyingine hakuna ubunifu wa kutosha. Huyu anajitahidi sana hasa ukizingatia ni kijana bado
Schoomate wangu Mwigulu Nchemba naomba fanya juu chini riba za mikopo ziende chini. Fanya juu chini tuwe na fund ya mortgage ili kupunguza riba za mikopo ya nyumba… najua unanielewa. Nipe sababu ya kukusifia
Naunga mkono hoja na asante kumspot Bashe leo, angalia sie wenzio tulimspot lini.
Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote!
Wanabodi, Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa politics of supremacy na politics of superiority complex kuwa wao ndio chama tawala, hivyo ndio pekee wenye haki miliki ya kuitawala...www.jamiiforums.com
P
Unajua madhira yanayowakuta wakulima kwenye bei kubwa ya pembejeo na bei mbovu ya mazao?
Ni lazima tupongeze pale ambapo mtu anafanya vizuri. Bashe ameleta muonekano mpya wa kilimo, ubunifu na uwekezaji. Bashe akipewa muda kilimo cha Tanzania kitaenda mbali sana. Tatizo ni kwamba sehemu nyingine hakuna ubunifu wa kutosha. Huyu anajitahidi sana hasa ukizingatia ni kijana bado
Schoomate wangu Mwigulu Nchemba naomba fanya juu chini riba za mikopo ziende chini. Fanya juu chini tuwe na fund ya mortgage ili kupunguza riba za mikopo ya nyumba… najua unanielewa. Nipe sababu ya kukusifia
Upo serious kweli na hili uliloandika hapa?Mwigulu likely anaweza kuwa waziri mzuri sana kwenye fedha
Ila madeni ya ndani aongeze kasi ya kulipa hapo atauona mwanga
Uchumi ni sisi sio vile
Mpe tuu sifa zake kwasababu hilo la bank interest kuwa 10%, tayari kwa baadhi ya banks, tena they did more, wako kwenye single digit!.P,
Kama unavyojua niko independent sana nachukuwa muda sana kumsifia mtu.Mfano huyu Jamaa yetu wa Ilboru Mwigulu bado sitampa sifa mpaka mikopo ya bank ifike <10%
Naomba mnisaidie kumuelewa
Ni lazima tupongeze pale ambapo mtu anafanya vizuri. Bashe ameleta muonekano mpya wa kilimo, ubunifu na uwekezaji.
Bashe akipewa muda kilimo cha Tanzania kitaenda mbali sana. Tatizo ni kwamba sehemu nyingine hakuna ubunifu wa kutosha. Huyu anajitahidi sana hasa ukizingatia ni kijana bado
Schoolmate wangu Mwigulu Nchemba naomba fanya juu chini riba za mikopo ziende chini. Fanya juu chini tuwe na fund ya mortgage ili kupunguza riba za mikopo ya nyumba… najua unanielewa. Nipe sababu ya kukusifia