Ni lazima tupongeze pale ambapo mtu anafanya vizuri. Hussein Bashe ameleta muonekano mpya wa kilimo, ubunifu na uwekezaji.
Bashe akipewa muda kilimo cha Tanzania kitaenda mbali sana. Tatizo ni kwamba sehemu nyingine hakuna ubunifu wa kutosha. Huyu anajitahidi sana hasa ukizingatia ni kijana bado
Schoolmate wangu Mwigulu Nchemba naomba fanya juu chini riba za mikopo ziende chini. Fanya juu chini tuwe na fund ya mortgage ili kupunguza riba za mikopo ya nyumba… najua unanielewa. Nipe sababu ya kukusifia