Bashe ni Waziri mzuri na mchapakazi

Mtu amezaliwa Tanzania anakuwa msomali Tena? 😂😂, ametokea tabora hapo


Au kuna kitu wengine hatujui ? Sisi tunataka watu serious, tumeshachoka na viongozi vilaza.
Marekani wangekuwa wanaangalia asili ya mtu badala ya kuangalia kichwani kuna madini ya thamani kiasi gani, leo hii wangekuwa maskini kama mataifa ya dunia ya tatu.
 
Wewe ukiwa mzaramo mtoto wako akizaliwa Moshi anakuwa mchaga?
Wajawazito wengi hupanda ndege kwenda kuzalia USA ili mtoto awe raia, kama hiyo falsafa yako ya kibaguzi ingekuwa inafanya kazi wasingejisumbua.
 
Reactions: Tui
anaweza kuwa mzuri, we need time to assess him before we conclude, so far he is doing fine. sio tunamuona mzuri leo halafu kesho tunakuja kuambiwa ndiye yupo nyuma ya mgogoro wa wamasai na serkali kumbe anataka kuweka huko waarabu na wasomali
 
Kweli kabisa. Ni mapema mno kwa Bashe na matokeo hayapimwi kwa matamko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…