ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #401
Vizuri kabisaIle BBT inaendeleaje?
Mlivuna tani ngapi?Vizuri kabisa
Kila wakivina wawe wanakwambia? ππMlivuna tani ngapi?
Kwahiyo unafikiri kwanini wameweka hiyo taarifa public?Kila wakivina wawe wanakwambia? ππ
View: https://www.instagram.com/p/DEXwvZFNMxT/?igsh=cDlyamNvNWt6NHVm
Mapato ni individuals issue ,kungekuwa hakuna Tija Vijana wasingekuwa wanajiunga Kila siku ππKwahiyo unafikiri kwanini wameweka hiyo taarifa public?
Unafikiri huo ni mradi wa Bashe na mkewe?
Hayo mapato yanapelekwa wapi kama individual?Mapato ni individuals issue ,kungekuwa hakuna Tija Vijana wasingekuwa wanajiunga Kila siku ππ
View: https://www.instagram.com/p/DDwLmaXN9yK/?igsh=MTdqNzV4am4yZGJvMg==
Wewe Mapato Yako unapelekaga wapi? ππHayo mapato yanapelekwa wapi kama individual?
Mimi sio mtumishi wa serikali mapato yangu yananinufaisha mimi .Wewe Mapato Yako unapelekaga wapi? ππ
View: https://www.instagram.com/p/DDBgbHAo-Ri/?igsh=eTRscjZoMzBicTdh
Kwani BBT ni mradi wa Serikali au watu binafsi wanaowezeshwa na Serikali?Mimi sio mtumishi wa serikali mapato yangu yananinufaisha mimi .
Huo ni mradi uliojengwa kupitia pesa za walipakodi.
Umejengwa kwa pesa za nani?Kwani BBT ni mradi wa Serikali au watu binafsi wanaowezeshwa na Serikali?
Vijana wanakopeshwa in terms of infrastructures then walianza Kuzalisha watarudisha mdogo mdogo.Umejengwa kwa pesa za nani?
Unaelewa kitu kinaitwa public scrutiny?Vijana wanakopeshwa in terms of infrastructures then walianza Kuzalisha watarudisha mdogo mdogo.
So wakwambie Mapato Yao Ili ufanye nini?
View: https://www.instagram.com/p/DA6YOBrIRVT/?igsh=ODlsZ2thZWprbXVn
Audit office kazi yake ni ipi? ππUnaelewa kitu kinaitwa public scrutiny?
Sioni kama unaelewa nilichokuuliza nakuuliza tena unaelewa chochote kuhusu public scrutiny?Audit office kazi yake ni ipi? ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAyhID9o1Md/?igsh=cDU0NHZzaWFpOThy
Si ukitaka kujua kama BBT inaendelea?Sioni kama unaelewa nilichokuuliza nakuuliza tena unaelewa chochote kuhusu public scrutiny?