Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

😂😂😂😂😂😂😂 kwahiyo hayo ndo muhimu kuliko wakulima tuliokuwepo kabla?

Kwamba sisi tupeleke mazao ghalani halafu hela mnakaa nazo, serikali inafanya udalali bila haya
 
Waziri Bashe tahadhari sana na huu mtego wa mbegu za GMO. Tahadhari sana na kampuni za kikoloni kama Monsanto na Bill Gates. Tutakuja kuwarubuni wakulima wetu na kilimo chetu !!!
 
Back
Top Bottom