Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010

Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.

Hawa jamaa wanatuchezea.

Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.

Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.

Msimamizi wa Baraza la Mawaziri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?

Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.

Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Ila masista wa Katoliki kuvaa wakiwa kazini mashuleni na hospitalini haikukeri eee!
 
Ila angevaa msalaba ingekuwa poa tu,
Hilo ni vazi tu acheni uwoga

Magari ya serikali yamejaa misalaba ndani, ofisi za serikali zimejaa misalaba ndani ila muislam akitenga tu nafasi amsujudie mola wake maneno kama yote

Ila leo mumepituka, yaani mnaogopa mpaka kanzu?

Waislam ni 75% tanzania
 
Kwenye hiyo asilimia 75% waliosoma hata kufika form six tu ni asilimia 2.5 hao wooote ni ilmu ubwabwa na kuunga unga maisha kujenga hoja empty kabisa wakati huo huo katika hizo asilimia zilizobaki wamewekeza kwenye elimu dunia na elimu akhera
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Kuna kitu Bashe amekitangaza kuhusu transit goods, nadhani amechemka!, nchi haina uwezo kuzuia goods on transit unless ni illegal goods!. Wanasheria wake wamemdanganya, kwenye trade embargo, huwezi kuzuia mzigo usio kuhusu!.

Mengine sawa!,
Bashe anazungumza with authoritative voice utadhani yeye ndie CinC!.
P
 
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Usikereke kwa vazi la Kiislamu, hivi ndivyo Masiha alivyokuwa anavaa na Wanawake kina Bikira Maria walivaa hijab na nikab!.

Wazungu ndio walibadili hizi nguo zinazovaliwa sasa, ili zisionekane ni za Kiislamu. Yesu amekulia Misri!.
P
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Wewe ni Mpumbavu na nimekugundua wewe ni Muislamu na sio Mkristo, Ila umekuja kwa GIA ya Ukristo ili uchonganishe watu. Kwani ilo VAZI linashida gani ? Mbona halina shida. Wewe unasikiliza madini yanayotoka mdomoni au unasikiliza Vazi ? Kwa hiyo, ulitaka avae suti za Mkoloni Muingereza ili ujue ni mzungu na si mswahili ? Shogaaaa wa Mavazi wee.
 
Bashe ametoa msimamo wake kama waziri wa kilimo kwa staili inayoonyesha kuwa na mamlaka na kujiamini kwa tamko linalogusa maisha ya watu wa nchi ambazo mojawapo inaitegemea Tanzania katika uhai wake. Nina wasi wasi na tamko hili kama kweli ndio msimamo wa Serikali.

Malawi hawajatoa tamko zaidi ya lile la awali lakini naamini ndani ya masaa au siku zijazo watajibu na majibu yake naamini hayatakuwa na mwelekeo mwema.
Vipi Malawi wakitujibu kwa kuzuia shughuli za uvuvi katika ziwa lao tunaloliita Nyasa wakati wao wanalitambua kama Ziwa Malawi?
Vipi kama watapiga marufuku kwa uwepo wa vyombo vyetu vya usafiri katika ziwa lao tutafanya nini? Tujikumbushe kwamba Tanzania hatuna haki ya ziwa Nyasa maana mpaka wetu unaishia pwani ya mashariki ya ziwa, kutoka hapo hadi pwani ya magharibi ya ziwa ni eneo halali la Malawi hadi siku ya leo.

Bashe haoni kuwa kwa matamko ya kibabe hivi yanaweza kutuiingiza kwenye mgogoro kama ule uliozua vita kati yetu na Uganda, chanzo kikiwa ni Idd Amin Dadah kuvamia eneo la kaskazini ya mto Kagera na kuliteka? Bashe anafahamu kuwa mgogoro ulioamuliwa na vita vya Kagera ulianza kimchezo mchezo hivi kwa matamko ya kishabiki? Kama suala bado linashughulikiwa kidiplomasia na wizara ya mambo ya nje, kwa nini Bashe asisubiri matokeo ya mazungumzo kwanza badala ya kuharakisha kutoa tangazo la vita?
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Kila ijumaa bashe huvaa kanzu na vazi hilo linakubalika,na siyo vazi la kiislamu tu,hata wakristu huvaa.Hata bungeni vazi hilo hukubalika.Na kwa upande wa ukoo wao na kina bashe udini hakuna ndio maana mdogo wake mmoja wa kike aliolewa na mcheza mpira mmoja amewahi kucheza simba na sasa ni pastor kule marekani,kanitoka jina tu lakini jina lake la tatu ni Lungu,akitumia guu la kushoto
 
Back
Top Bottom