Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Sawa linavaliwa popote na yeyote lakini siyo vazi linalotumika kwenye ofisi za umma. Dress code ya mtumishi wa umma kanzu haimo.
una hakika? hata bungeni wanaruhusiwa kuvaa siku za ijumaa, lakini kuna code yake ya uvaaji.
 
Kwa Tanzania waislamu NI Asilima 35% - 40% tuu, wakristo NI wengi sana mkuu
Sasa waliogopa nini kuhesabiwa kwa kidini wakati wa sensa? Tena kanisa lilitumia nguvu nyingi kweli kupinga wakati waislam woote waliridhika?

Kama kweli muwengi basi sensa ijayo fanyeni kampeni tuhesabiwe kidini, na mkipinga mjuwe muwachache
 
Ki ungwana jf naomba ondoa andiko hili ,siku zimeenda lipo tu, mbona mengine hutoweka?
 
Sasa waliogopa nini kuhesabiwa kwa kidini wakati wa sensa? Tena kanisa lilitumia nguvu nyingi kweli kupinga wakati waislam woote waliridhika?

Kama kweli muwengi basi sensa ijayo fanyeni kampeni tuhesabiwe kidini, na mkipinga mjuwe muwachache
Taja MIKOA yenye waislamu wengi namimi nitaje MIKOA yenye wakristo wengi, kama waislamu Weng hujaishia PWANI na mikoa mingine michache
 
Vazi lile haliendani na matamko ya kiserikali ndio maana rais wa Zimbabwe alipotangaza amekutana na ujumbe toka jamhuri ya kiislamu ya Tanzania wengi hawakuelewa.
 
Vazi lile haliendani na matamko ya kiserikali ndio maana rais wa Zimbabwe alipotangaza amekutana na ujumbe toka jamhuri ya kiislamu ya Tanzania wengi hawakuelewa.
Kuna watu wanajiondoa ufahamu kwa ushabiki wa kidini.
Bashe aambiwe, hapa siyo Somalia walikotoka watangulizi wake.
 
Back
Top Bottom