Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Ndio ya kidini, zoroastrian Persia wanavaa Suruali mda sana wakati jamii zote Including waroma Ulaya wakiwa bado wanavaa kanzu.

Same kwa Egpty, T-shirt ya mwanzo kabisa kuwa hi kupatikana zimetoka kwenye pyramid,
Sijui hizi taarifa wako umezitoa wapi ila historia nyingine zinasema watu wa kwanza kuvaa suruali ni Wachina huko Turpan, Xinjiang, Tarmi Basin, nyingine zinasema Wagiriki, nyingine Scythians n.k Hata hivyo hilo sio suala la msingi sana, suala la msingi ni "muktadha". Kama tungekuwa na watu wa zoroastrian ambao wanakaribia nusu ya jamii ya Watanzania ingeweza kuwa mjadala, na zaidi sana kama wangekuwa wanavaa Suruali kwenye shughuli za dini yao zaidi huku wakati mwingine wakivaa mavazi mengine tofauti.
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Mimi najiuliza chanzo cha haya yote ni nini halafu huyu waziri wa malawi kipindi anafanya hvi kwa kaka yake Tanzania alitegemea nini?
 
Kutambulika na serikali hakulifanyi kutokuwa vazi la kidini, hata ushungi na baibui vinatambulika na serikali, je ushungi na baibui sio mavazi ya kidini??
Uisilamu unataka vazi liishie baada ya magoti na lisizidi fundo mbili za miguu kwa mwanaume, haijalishi umevaa kanzu ya milioni 100 nzuri kushinda zote ila ikizidi fundo za miguu basi sio vazi la kiisilamu, haijalishi mtu kavaa suti ya mtumba karume kama imekidhi hivyo vigezo basi ni vazi la kiisilamu.

Same kwa hijabu,
Umeona huyu nun wa kikristo?
images (48).jpeg

Hili ni vazi ambalo kiisilamu ni 100% halina shaka,

Ila huyu pia kavaa hijabu ila sio ya kiisilamu

images (49).jpeg

Picha ya kwanza ni Mkristo na ya pili ni muisilamu ila picha ya kwanza ni vazi la kiisilamu na picha ya pili sio vazi la kiisilamu.

Whatever make vazi la kiisilamu sio jina kanzu, Barakashia, hijabu, baibui, abaya etc bali ni kufuata sheria ya kiisilamu, we Vaa Suti, Vaa kitenge, Vaa lubega la kimasai etc ukifuata sheria ni ya kiisilamu.
 
Mimi nawashangaa hao wanaogombana kwa sababu ya kanzu wakati waarabu wenyewe hilo vazi wanalivaa hata wakiwa club kula bata
Nini kula bata, enzi za umaarufu wa porta potty tuliona wakiwanyea ma slay queen mdomoni huku wakiwa wamevaa kanzu zao.
Kwa kifupi kanzu kwa muarabu ni kama kinjunga wa winger wa iphone wa makumbusho.
 
Mimi nawashangaa hao wanaogombana kwa sababu ya kanzu wakati waarabu wenyewe hilo vazi wanalivaa hata wakiwa club kula bata
Nini kula bata, enzi za umaarufu wa porta potty tuliona wakiwanyea ma slay queen mdomoni huku wakiwa wamevaa kanzu zao.
Kwa kifupi kanzu kwa muarabu ni kama kinjunga wa winger wa iphone wa makumbusho.
 
Sijui hizi taarifa wako umezitoa wapi ila historia nyingine zinasema watu wa kwanza kuvaa suruali ni Wachina huko Turpan, Xinjiang, Tarmi Basin, nyingine zinasema Wagiriki, nyingine Scythians n.k Hata hivyo hilo sio suala la msingi sana, suala la msingi ni "muktadha". Kama tungekuwa na watu wa zoroastrian ambao wanakaribia nusu ya jamii ya Watanzania ingeweza kuwa mjadala, na zaidi sana kama wangekuwa wanavaa Suruali kwenye shughuli za dini yao zaidi huku wakati mwingine wakivaa mavazi mengine tofauti.
Persia ndio wame influence fashion za Royals wa Ulaya na Hilo Shati la Egpty lipo kwenye Museum kabisa scietificaly proved. Pengine kuna oral ama written evidence ila hapa nazungumzia Shati ambalo mpaka leo limekuwa preserved toka miaka 5000 iliopita unaweza ukalisoma hapa.

Pia hapa kwetu tunatumia
1. Tarehe za kikristo since kufa kwa Yesu
2. Miezi kama January, February, miungu ya kigiriki/Roma
3. Kupumzika Juma pili badala ya jmos ama ijumaa, etc

Je na yo hivyo vipigwe marufuku?

Wakristo wengi mpo insecure, mkiona tu kitu kinafanania tu na uisilamu haraka haraka mnaanza kukipinga japo Dini yenu ndio ina influence kubwa ambayo hamtaki ipingwe.
 
Mwisho wao umefika, wanatapatapa
 
Waislamu bila msikiti? Inamzungumzia watalii wanaoenda Roma?

((Ardhi yote imefanywa kwangu na kwa umati wangu kuwa sehemu ya kuswalia na kitwaharisho, na popote itakapomkuta Swalaah yeyote katika umma wangu, basi hapo ndipo sehemu yake ya kuswalia, na hapo ndipo kitwaharisho chake)). [Hadiyth Hasan]

bado una suali..!?
 
Sawa linavaliwa popote na yeyote lakini siyo vazi linalotumika kwenye ofisi za umma. Dress code ya mtumishi wa umma kanzu haimo.
hutaki kupata maarifa inaonekana......kanzu na koti ni dresscode na hautazuiwa! na watingaji wanapendeza kweli kweli!😎
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
KILICHOKUKERA NI HIZO CHUKI ZAKO TU ILA SIDHANI KAMA NI VAZI....😅 nikupe faida tu kidogo, Vazi la dini ya kiislam ni vazi lolote la stara, stara kwa maana ya kuficha Uchi, na uchi kw amujibu wa mafundisho ya kiislam upo wazi, nikupe faida tena zaidi unaweza vaa vazi la stara na likastiri uchi lakini kiserikali likawa uchi na la kihuni,mfano uivaa pensi ikavuka magoti na singlet kwa mwanaume hili tayari ni vazi la stara na la kiislam,ila huwezi enda nalo hata ukweni 😅🥴 , kanzu na koti ni vazi la stara na heshima na pia,popote unapoweza kuvaa vaa tu, hata kanisaniiii😎
 
Unaongelea zUislamu ambao sina ugomvi nao.
NAONGELEA VAZI lenye kutaka kupotray nchi kimataifa kama nchi ya kiislamu. Thats my point.
Imani yako ni wewe na nyumbani kwako, ukiingia serikalini, serikali tuliyoiweka madarakani sisi wote, lazima hata vazi lsko lionyeshe picha ya nchi, si dini yako.
Ukipenda sana dini yako achia ngazi kaifanye kazi ya dini yako.
Kuna watu wengi tu wa kujaza hiyo nafasi.
 
Back
Top Bottom