EeenHeee! "Smart" kama ulivyo wewe au siyo? Birds of a feather floak together!aniUnaambiwa taja dini yake, unazunguuuukaaa,
Jamaa yuko very smart huwezi kumshinda kwa hoja,
Kwa kweli hakuna sehemu ameonesha nibwa dini gani though amebezi kotekote, nilichogundua jamaa ni muadilifu sana haijalishi yuko wapi anasema ukweli
Wewe na yeye ni sampuli ileile ninayoielezea humu. Mnafikiri hadaa na ulaghai utaficha uhalisia wenu mnaotaka kuuficha usionekane na watu.
Mnaiga hizi tamaduni za kigeni na kujidanganya kwamba watu hawawezi kutambua mnacho kitetea kwa hizo lugha mnazozitumia.