Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Udini utakufikisha wp halafu anaesema hvyo utakuta ni msomi
Dini ya kiislam haimlazimishi muumini kuvaa kanzu.
Uislam unalazimisha kuvaa kwa stara.
Na kanzu inavaliwa na kila mmoja bila kujali dini yake.
Kwahiyo hakuna udini kwenye vazi hilo.
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Sawa uliyosema ndio maana kule Malawi walitutambulisha kama Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania
 
Misri ya wakati wote sio nchi ya Kiarabu, Misri hadi karne ya 6AD bado haikuwa na Waarabu na wala walikuwa hawazungumzi kiarabu, Waarabu walivamia karne ya saba.
Kudanganyana na kujipa ujuaji kumekuwa kwingi sana siku hizi humu JF. Sijui hiyo "Misri kuwa ya kiarabu wakati wote" huyo kalipata wapi hilo!
 
Sio kweli, katika maeneo ya mashariki ya kati ambapo kanzu inavaliwa kwa uchache sana ni pamoja na Syria na Lebanon. Ukitaka kujua hilo angalia hata viongozi wao wakina Saddam, Nawaf Salam, Hariri, Assad na hata huyu mtawala wa sasa wa Syria, vazi lao katika shughuli rasmi za serikali mara nyingi ni suti zaidi.
Ni maagizo ndio maana huo uvaaji, hivi unadhani mzungu anafrahi kuona mwarabu (mwislam anatawala?)

Ni kwamba No way out, "wakiwepo hatuwataki na kuwakosa hatuwezi"
Hii ndio shida mkuu, binadamu hutegemeana, kuna nyakati unaweza kumuhitajia hata chizi tena kichaa kabisaa

So tusiendekeze udini
 
twende kwa hoja mkuu, soma swali la yoda ,, soma jibu langu---- hatua kwa hatua

mimi naendelea simamia my ground:: nimepresent hoja zangu bila hata chembe yeyote ya kuonyesha mimi ni dini gani ---

and incase hata kama ukihisi mimi naweza kua upande gani-- you are free to do so --- twende hoja kwa hoja usikimbie.

and mimi sioni kama haya ni majibishano -- mi naona ni mjadala tu kama mjadala mwingine ndani ya jf ..


na ukiweza prove udini niliuonesha -- unlike mtoa mada na watu wanaomsapoti--- i give you a challenge kunionesha
Duh!
Hivi kweli bado unajitetea kuwa hujulikani wewe ni wa dini gani?
Haijalishi wewe ni wa dini gani; kinacho kutenganisha wewe na wengine katika dini yako hiyo ni huko kujifanya huhusiki kabisa katika hadaa zinazofanywa na baadhi ya waumini wa dini hiyo, ili kuficha udini wenyewe; na mwepesi katika kunyoshea wengine kidole kwa udini, hata kama haupo.

Hilo ndilo tatizo kubwa tunalohangaishwa nalo sasa ndani ya nchi hii. Maneno yanakuwa ni tofauti kabisa na matendo.Udanganyifu na upole mwingi zikitumika kuhadaa; huku mwelekeo ukiwa ni sumu kwa wengine.

Ajabu. Kwani mjadala ni kitu gani kama siyo majibishano?
 
Duh!
Hivi kweli bado unajitetea kuwa hujulikani wewe ni wa dini gani?
Haijalishi wewe ni wa dini gani; kinacho kutenganisha wewe na wengine katika dini yako hiyo ni huko kujifanya huhusiki kabisa katika hadaa zinazofanywa na baadhi ya waumini wa dini hiyo, ili kuficha udini wenyewe.
Hilo ndilo tatizo kubwa tunalohangaishwa nalo sasa ndani ya nchi hii. Maneno yanakuwa ni tofauti kabisa na matendo.

Ajabu. Kwani mjadala ni kitu gani kama siyo majibishano?
Unaambiwa taja dini yake, unazunguuuukaaa,
Jamaa yuko very smart huwezi kumshinda kwa hoja,
Kwa kweli hakuna sehemu ameonesha nibwa dini gani though amebezi kotekote, nilichogundua jamaa ni muadilifu sana haijalishi yuko wapi anasema ukweli
 
Kuna jambo ambalo unatakiwa ujue kwa upana wake. Uislamu ni mfumo mzima wa maisha either kwa muongozo wa quran na hadithi au sunnah. Kuna kundi kubwa tu la Waislamu wanaamini kuvaa kama mtume ni sunnah japo kuna wengine wanaweza kuwa na mawazo tofauti. Wagalatia wao hawaamini mavazi ya Yesu yana maana yoyote kiimani kwao.
Umeshajua maana ya sunnah? 😇😇😇🤣🤣🤣🤣
Wagalatia mna shida sana
 
lini wamedeclare kwamba hayo ndo mavazi ya kuashiria imani yao --- nifunze mkuu --- mimi naamini ujinga ndo unafanya watu wakiona mavazi hayo waone ni dini --- kama si hivyo basi mjinga ntakua mimi na nipo tayari kutoa ujinga -- naomba nielimishe

ni lini mavazi hayo ya kanzu yametambulika rasmi au kutangazwa rasmi ni ya kiislamu?
Hawawezi kujibu hili, ni lini mavazi ya kanzu yametambulika ni mavazi rasmi ya kiislamu?
Basi chuki na woga tu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Duh!
Hivi kweli bado unajitetea kuwa hujulikani wewe ni wa dini gani?
Haijalishi wewe ni wa dini gani; kinacho kutenganisha wewe na wengine katika dini yako hiyo ni huko kujifanya huhusiki kabisa katika hadaa zinazofanywa na baadhi ya waumini wa dini hiyo, ili kuficha udini wenyewe.
Hilo ndilo tatizo kubwa tunalohangaishwa nalo sasa ndani ya nchi hii. Maneno yanakuwa ni tofauti kabisa na matendo.

Ajabu. Kwani mjadala ni kitu gani kama siyo majibishano?
i have been consistent katika social medias huwezi ona mimi nipo pande gani.

WEwe huwezi kulazimisha mimi nipo upande fulani - ikiwa mimi sijadeclare nipo upande fulani.

Hapa nimekumbuka comment ya adriz kwenye uzi mmoja alilalamika watu hawasomi hoja ya mtu wanaangalia kwanza yupo dini gani --- ningekumbuka uzi tajwa ninge quote ( natumai kumbukumbu zangu zipo sawa)

MFano mzuri ni kama vita ya huko israel na palestina -- watu wa aina yako mnaconclude anayetete palestina ni muislamu na anayetetea israel ni mkristo --- mlinganisho huu ndo unataka kuuleta kwenye mada hii


Mimi bado nimesimamia ground yangu--- kwenye hoja zangu -- maswali niyouliza kama unajiamini siyo wewe unayeleta udini- basi yape majibu maswali yangu.

Nimekuomba weka uthibitisho kwamba kanzu ni vazi la ibada, au kama kanzu ni sehemu ya dini --- bado hujanijibu swali hili zaidi ya kuniuliza maswali na kuweka assumptions


Mimi lugha ya kwamba haya ni majibishano naikataa - lugha nayoweza kuikubali ni majadiliano-- hii ni mtizamo wangu mimi.



Mwisho reply yako inayofata kama haitaweka jibu la swali langu na uthibitosho wake --- itakua ni busara ya kawaida very basic mimi kutoreply comment yako incase kama ukireply.


I repeat i challenge you to answer and put evidence of your claims --- nakazia
 
Malawi ni landlocked country wanasafirisha bidhaa muhimu kama madawa ya hospitali, vifaa tiba n.k kupitia bandari ya Salama. Kuzuia transit good ni ukatili na uonevu kwa wananchi wa Malawi wasio na hatia.
Mzazi wako akirikoroga huko unataka wakuchagulie adhabu mwanaye?
 
Siwezi kuamini hivyo: kwamba "ila waumini wa imani fulani wameyapenda sana na kuyathamini..." Ninachosema mimi ni kuwa hawa "waumini wa imani fulani" wameamua kuyatumia kuwa ishara ya kutambulisha imani yao. Hilo ndilo linalofanya mavazi hayo yawe ya kidini.
basi mkayatoe kwenye sheria za serikali/bunge

ninachofahamu mimi ni kosa tu kuvaa kanzu bila kofia, ila ukivaa kanzu na kofia hilo ni vazi ambalo linatambulika na serikali na wabunge wake wanaweza kulivaa. picha kibao nimeweka huko nyuma Mbowe, Magufuli, Mkapa etc wakiwa wamevaa sehemu kama Bungeni na Ikulu.
 
Chama Cha Mashetani

 
Suti ni vazi lilioanza kuvaliwa huko Uingereza karne ya 17 baada ya Ukristo kuwepo tangu karne ya 1, Waroma waliousambaza Ukristo kuanzia karne ya 3 hata hawakuwa na suti.
tshirt na Suruali ni mavazi ya kale ya Egpty na Iran nayo tuyapige marufuku maana yanatoka kule kule,
 
Back
Top Bottom