Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
Sunna mkuuu--- unataka twende huku kweli 𤣠-- mkuu yoda mimi nilidhani una maarifa makubwa mkuu -- kumbe wewe ni kama mimi tu na unaweza hata ukawa chini yangu---Sunnah ni nini?
ukitaja sunna kwamba ?/?
vipi mkuu kila anayekula na mkono wa kulia -- kwahiyo anakua anaashiria yeye ni muislamu sasa???
maana Mtume amesisitiza hilo mkuu?
vipi kuomba kabla ya kulala--- kila anayeomba anakua musilamu
LABDA MIMI NDO SIELEWI LAKINI SIDHANI KAMA MIMI NDO SIELEWI š¤£