Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
safi mkuu ---- basi hata uzi haukua na maana yeyote --- bashe waziri wa serikali kavaa kanzu --- Samia RAisi wa nchi anavaaje???Hiyo comment yako namba #246 ni common sense tu, sio kila anayekula na mkono au kuswali kabla ya kulala ni Muisalmu, sio kila anayevaa rozari au msalaba ni mkatoliki au mkristo, sio kila anayevaa ushungi ni muislamu. Hata hivyo mjadala mkubwa sio hapo, mjadala ni kwa Bashe kama waziri wa serikali(zingatia muktadha, tukio na wadhifa wa mtu).
hoja zenu mnaomuunga mkono mtoa mada ni dhaifu sana --- hazina afya ---- na vitu mnavyovilalanmikia , ni nyinyi ndo mnaovifanya ---