Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Mi nakubaliana na hoja za bashe ingawa Kuna shida kwenye transit goods, huwezi zuia.

Pili kuhusu mavazi, ni kweli Bashe hakupaswa kutoa statement akiwa kwenye vali like. Imagine Makamu wa Rais atoe tamko akiwa amevaa mavazi ya ibada ya kikristo ingali tamko ni la kiserikali.

Kwa kuwa serikali yetu Haina dini basi na government business Haina dini hivyo ni hatari kufanya shughuli za serikali huku ukiwa na mavazi ya kidini.

Kuvaa nguo hizo kwenye occasions zingine sio shida.

Implication yake yaweza kutafsiriwa hivi: waislamu wameinfluence serikali kufungua mipaka(refer. Mama na Bashe wote waislamu) na kuaffirm stand Yao Bashe kavaa mavazi ya kidini. Kumbe lile ni Tangazo la kitaifa.

Ushauri: serikali iepuke kutoa matangazo ilhali mtoa Tangazo akiwa kwenye mavazi ya kidini kuepuka mkanganyiko.

Note: Je Kuna kiongozi mwingine yeyote wa Tanzania aliwahi kutoa Tangazo kubwa kama Hilo akiwa kwenye vazi kidini? Kama yupo tuambie
 
Kanzu sio vazi la ibada wala dini mkuu-- hii haiwezi kua kweli
 
Kanzu sio vazi la ibada wala dini mkuu-- hii haiwezi kua kweli
Ukivaa kanzu na barakshia ni vazi la kidini. Tusibishane ndio maana wakati wa sherehe za idd wageni wote hupendelea kuvaa hivyo na viongozi wote wa dini huvaa hivyo.
 
Hapa mbona kama walikuwa kwenye futari au shughuli ya kidini?!
Mkapa sijui ila Magu alikua akivaa mara kibao kupokea Viongozi wa MENA.
Picha nyengine hii hapa akiwa na waziri wa Saudia, you can see there ni official attire.
img_2_1745574724283.jpg
 
Labda nikubaliane na wewe kwamba Nguruvi3 na sote tuliokukosoa ni wajinga; sasa wewe ulie mwerevu hebu tuelimishe suala la mavazi lilikuwa na umuhimu gani kwenye mada yako zaidi ya kui-divert attention?!
Kwa vile naenda Mecca kutalii nikiwa na suti na tai yangu.
Nikirudi nitakujibu.
 
Ukivaa kanzu na barakshia ni vazi la kidini. Tusibishane ndio maana wakati wa sherehe za idd wageni wote hupendelea kuvaa hivyo na viongozi wote wa dini huvaa hivyo.
Kanzu sio vazi la kidini mkuu ---jambo hili lipo wazi--- wewe umejifunza wapi kwamba kanzu ni vazi la kidini?
 
Kuna kitu Bashe amekitangaza kuhusu transit goods, nadhani amechemka!, nchi haina uwezo kuzuia goods on transit unless ni illegal goods!. Wanasheria wake wamemdanganya, kwenye trade embargo, huwezi kuzuia mzigo usio kuhusu!.

Mengine sawa!,
Bashe anazungumza with authoritative voice utadhani yeye ndie CinC!.
P
Tamko la Bashe kuhusu kuzuia Transit goods za Malawi na South Africa linaonesha wazi wazi jinsi serikali ya Samia ilivyokuwa dysfunctional!!
Inawezekanaje suala linalohusu biashara ya kimataifa likatolewa uamuzi kama alivyotangaza Bashe na hakuna mtu hata mmoja serikalini aliyeshtuka kuwa uamuzi ule ulikiuka protocols za SADC na World Trade Organization? Yaani serikali imejaa ma zombie tu!!
 
Waislamu wote Tanzania NI asilimia 15 .mkuu weka data vizuri.

Kuna SEHEMU ukienda unaweza husiamini Kama wewe NI muislam kuupata msikiti NI changamoto kubwa Sana

Nakutajia SEHEMU moja .manyovu
Hata roma hakuna msikiti lakini waislam kibao bwashee
 
Kwenye hiyo asilimia 75% waliosoma hata kufika form six tu ni asilimia 2.5 hao wooote ni ilmu ubwabwa na kuunga unga maisha kujenga hoja empty kabisa wakati huo huo katika hizo asilimia zilizobaki wamewekeza kwenye elimu dunia na elimu akhera
We jamaa unaonekana ni mdini uliyepitiliza,Mbona kanzu ni vazi la kawaida sana,Hata viongozi wakristo kuna wakati wanavaa?
 
Thread kweli nayo Ina maajabu kabisa kabisa kabisa 🤣 🤣 🤣 🤣 i
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Unamsifia mtu aliyetoa kauli ya kihuni tena akionesha kiburi usoni!?

Mtu katoka msikitini na kanzu halafu anapitiliza kwenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu marufuku dhidi ya nchi nyingine ana mamlaka gani?

Ukosefu wa washauri wa kisheria
 
Mihemuko?
 
Image yetu kama taifa.
Je, tunataka nchi zingine zituchukulie kama waarabu au waislamu kisa mavazi ya Bashe?
kwa hizi hoja---- hata hakuna haja ya """no reforms no election"""--- ccm waendelee kutuburuza kama punda tu.
 
kwa hizi hoja---- hata hakuna haja ya """no reforms no election"""--- ccm waendelee kutuburuza kama punda tu.
Huoni umuhimu wa viongozi kuwakilisha taifa kwa image sahihi? Mtu asiyeijua Tanzania akimuangalia Bashe, atajua ni msomalia anazungunza. Maana haiba na mavazi yake kwenye Ile video yanamuonesha hivyo.
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Rubbish!!! Watoto wa aina yako mtakuwa wakubwa lini??? Rubbish!!
 
Huoni umuhimu wa viongozi kuwakilisha taifa kwa image sahihi? Mtu asiyeijua Tanzania akimuangalia Bashe, atajua ni msomalia anazungunza. Maana haiba na mavazi yake kwenye Ile video yanamuonesha hivyo.
unaandika ujinga mkuu--- this is real talk--- no wonder ccm inatuburuza hivi inavyotuburuza -- shida ni maarifa ya sisi wananchi wake--- unaandika mambo ya ajabu sana mkuu

image sahihi ni kitu gani na kwa nani?-- na kitu gani kimekuonesha kwamba image sahihi imevujwa?
 
Back
Top Bottom