Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Misri ya wakati huo haikuwa ya Kiislamu na hivyo kuthibitisha kwamba Kanzu sio Vazi la Kiislam bali asili yake ni Mashariki ya Kati ambako Wakristo na Wafuasi wa Mwamedi huwa wanavaa kanzu!
wazungu wametufanya vibaya sana Wakristu mpaka tumekuwa。majinga!,hayo ndio mavazi Yesu hijab walivaa wanawake, ni mavazi ya Kiarabu,wazungu washenzi sana wakayageuza ni ya Kiiislamu, Warumi wakavamia lile hekalu la Costantinopole,waka loot kila kitu,wakasomba,wakapeleka kwenda kujengea kanisa la Roma,wakabadili mavazi na kupindua sheria ya Mussa!。

Na kutokana na uwezo wao mdogo kwenye yale mengine,“kamoja tuu”, na vitoto viwili tuu! wakaweka sheria ya mke mmoja lakini hakuna popote kwenye Bible mambo ya mke mmoja!。 Wako Wakristu kibao tunaojitambua,tumeisoma Bible na kuielewa,hatufuati huu ujinga wa wazungu!,mfano mimi watoto 9, kumzalisha mwanamke mmoja watoto 9 kama mababu na mabibi zetu ni kumtesa,lazima wasaidiane!,nilishauri "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"

P
 
Misri ya wakati huo ilikuwa ni ya kiislamu?
hilo ni vazi la Kiarabu,Baada ya Ibahim kumzaa Ismail na Isaka,Isaka akamzaa Yakobo,Waisraeli walihamia utumwani Misri walikokaa miaka 400!,mavazi ndio hayo!。 Yesu baada ya kuzaliwa Bethlehemu,alikulia Misri maisha yake yote,mavazi ndio hayo。 Hadi aliporudi Israel na umri wa miaka 30, japo hakuacha dini yoyote,lakini dress code ndio hiyo!。
P
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Ujinga katika bora wake
 
Waziri wa Tanzania, mwenye asili ya Somalia anatoa matamko rasmi ya kiserikali akiwa kavaa vazi la kiarabu?
Ndiyo tuseme mwarabu anatake over kwa mlango wa nyuma?
 
Wanafanya kazi vituo vya serikali ni walimu, wauguzi nk
UONGO hakuna masista wa kanisa walioajiriwa shule au hospitali za serikali, labda kama wanajitolea tu.
 
Ila angevaa msalaba ingekuwa poa tu,
Hilo ni vazi tu acheni uwoga

Magari ya serikali yamejaa misalaba ndani, ofisi za serikali zimejaa misalaba ndani ila muislam akitenga tu nafasi amsujudie mola wake maneno kama yote

Ila leo mumepituka, yaani mnaogopa mpaka kanzu?

Waislam ni 75% tanzania
Sijawahi kuona Ofisi za serikali zilizotundikwa misalaba, kama zipo ni makosa pia na inatakiwa kuondolewa haraka sana. Wakatoliki ambao huwa wanavaa rozari angalu wanazivaa ndani ya nguo zao kasoro mabishoo wachache wasanii.
 
Ifike wakati muache ulimbukeni wa kuamini kanzu, kofia na mabaibui ni mavazi ya kiislam. Hayo ni mavi ya asili ya kiarabu. Kuna nchi za kiarabu zenye wakristo kama Misri, watu wote wanavaa hizo kanzu pasi kujali dini.
Sijawahi kumuona Al-Sisi amevaa kanzu.
 
lubega halijapitishwa mkuu, ila vazi alilovaa bashe kwa nchii hii halina shida kabisa,,, japo bungeni nadhani lile koti aliloweka nyuma ya kitu alitakiwa awe amelivaa -- kumbukumbu yangu inasema hivyo
Hembu avae tu suti kuepusha hii milolongo yote, suti na vazi la kimataifa linakubalia kote duniani bila mbambamba, halina kipengele.
 
Hilo siyo vazi la kiislamu,namfahamu mzee mmoja wa Kihaya anaingia Kanisani amevaa kanzu huku hahusiki chochote na mambo ya Kanisa ni muumini kama walivyo waumini wengine.

Kinanisikitisha mimi ni mtanzania kuzungumza habari za mavazi ya dini fulani yasionekane kwenye media viongozi wakizungumza karne hii,Tanzania ya Leo uhuru zaidi ya 60 years tunajadili kitu kama “KANZU”?tumefeli vibaya sana.
Wahaya wana ukaribu na Buganda Kingdom ambao walikubali vazi la kanzu waliloletwa na Mwarabu huko zamani karne ya 19 kuwa vazi lao la kitamaduni.
 
Ila masista wa Katoliki kuvaa wakiwa kazini mashuleni na hospitalini haikukeri eee!
Tumia akili yako vizuri kilaza wewe. Huyo ni kiongozi wa serikali, huwezi kutoa press ya namna hiyo ukiwa na vazi la namna hiyo....tuacheni udini wa kipumbavu.

Mwisho; Serikali haina dini.
 
Aliyeolewa ni mushtaq na nteze alibadili dini,mdogo wa kike mwingine ni kauthar,hajaolewa na mkristo, marehemu mzee bashe alikua sheikh mkuu nzega, hawezi ruhusu hilo,japo mushtaq waluwalu mapepe,mi mwenyewe nshapiga
Weeee wachia namba na sisi tuweke recoding vzr
 
Back
Top Bottom