Mushtaq mdogo wake bashe mbona kaolewa na msomali mwenzieKila ijumaa bashe huvaa kanzu na vazi hilo linakubalika,na siyo vazi la kiislamu tu,hata wakristu huvaa.Hata bungeni vazi hilo hukubalika.Na kwa upande wa ukoo wao na kina bashe udini hakuna ndio mawna mdogo wake mmoja wa kike aliolewa na mcheza mpira mmoja amewahi kucheza simba na sasa ni pastor kule marekani,kanitoka jina tu lakini jina lake la tatu ni rungu
Hivi ulikuwa hujui Bashe ni CinC.Kuna kitu Bashe amekitangaza kuhusu transit goods, nadhani amechemka!, nchi haina uwezo kuzuia goods on transit unless ni illegal goods!. Wanasheria wake wamemdanganya, kwenye trade embargo, huwezi kuzuia mzigo usio kuhusu!.
Mengine sawa!,
Bashe anazungumza with authoritative voice utadhani yeye ndie CinC!.
P
Wamesha saini mikataba ya access to Indian Ocean na Mozambique. Wamepewa eneo la kujenga bandari yao katika pwani ya MsumbijiMalawi ni landlocked country wanasafirisha bidhaa muhimu kama madawa ya hospitali, vifaa tiba n.k kupitia bandari ya Salama. Kuzuia transit good ni ukatili na uonevu kwa wananchi wa Malawi wasio na hatua.
Malawi ni landlocked country wanasafirisha bidhaa muhimu kama madawa ya hospitali, vifaa tiba n.k kupitia bandari ya Salama. Kuzuia transit good ni ukatili na uonevu kwa wananchi wa Malawi wasio na hatua.
We jamaa unawaza kwa kutumia nini?Ila masista wa Katoliki kuvaa wakiwa kazini mashuleni na hospitalini haikukeri eee!
sawa but mdogo wake mwengine aliolewa na mkristo na hapakuwa na shida yoyote,kule nzega bashe ana uhusiano na dini zote,bashe sio mdini kabisaMushtaq mdogo wake bashe mbona kaolewa na msomali mwenzie
Aliyeolewa ni mushtaq na nteze alibadili dini,mdogo wa kike mwingine ni kauthar,hajaolewa na mkristo, marehemu mzee bashe alikua sheikh mkuu nzega, hawezi ruhusu hilosawa but mdogo wake mwengine aliolewa na mkristo na hapakuwa na shida youote,kule nzega bashe ana uhusiano na dini zote,bashe sio mdini kabisa
Ushasema Masister wa kikatoliki, huyo naye ni nani?Ila masista wa Katoliki kuvaa wakiwa kazini mashuleni na hospitalini haikukeri eee!
Nimeipenda hii paskaliUsikereke kwa vazi la Kiislamu, hivi ndivyo Masiha alivyokuwa anavaa na Wanawake kina Bikira Maria walivaa hijab na nikab!.
Wazungu ndio walibadili hizi nguo zinazovaliwa sasa, ili zisionekane ni za Kiislamu. Yesu amekulia Misri!.
P
Na nyie wenye maisha ya kujenga hoja, mnatumwa na hao hao. kuna faida gani ya kujisifia kuwa unajenga hoja kisa tu dini yako ilhali unaabudu mtu?Kwenye hiyo asilimia 75% waliosoma hata kufika form six tu ni asilimia 2.5 hao wooote ni ilmu ubwabwa na kuunga unga maisha kujenga hoja empty kabisa wakati huo huo katika hizo asilimia zilizobaki wamewekeza kwenye elimu dunia na elimu akhera
Kwa hiyo Bashe ni Sister wa Waislamu?Ila masista wa Katoliki kuvaa wakiwa kazini mashuleni na hospitalini haikukeri eee!
Sawa,hiyo nzega unayoisema wewe mimi nimezaliwa hapo,huyo baba yake the shehe mohamed namjua vyema,pia asante kunikumbusha jina la nteze john,ukoo wa akina bashe haunanusini kabisa japo wao waislamuAliyeolewa ni mushtaq na nteze alibadili dini,mdogo wa kike mwingine ni kauthar,hajaolewa na mkristo, marehemu mzee bashe alikua sheikh mkuu nzega, hawezi ruhusu hilo,japo mushtaq waluwalu mapepe,mi mwenyewe nshapiga
Awe sister awe brother ndo keshavaa na huna la kufanyaKwa hiyo Bashe ni Sister wa Waislamu?
Siku hizi kufanya kazi kuna vazi rasmi? Serikali itoe uniforms kwa wafanyakazi wake?View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Brother wa kiislam.Ushasema Masister wa kikatoliki, huyo naye ni nani?
mkuu vazi hilo halina shida mkuu. na kwa kusisitiza halihusiani na dini.View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Kama huna habari, serikali ina dress code.Siku hizi kufanya kazi kuna vazi rasmi? Serikali itoe uniforms kwa wafanyakazi wake?
Umechemka.
Leo hii, hata mmasai akiingia na lubega ofisini atakuwa ameikosea dress code ya nchi.Usikereke kwa vazi la Kiislamu, hivi ndivyo Masiha alivyokuwa anavaa na Wanawake kina Bikira Maria walivaa hijab na nikab!.
Wazungu ndio walibadili hizi nguo zinazovaliwa sasa, ili zisionekane ni za Kiislamu. Yesu amekulia Misri!.
P