Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Kwani hujui asili yake?
 
Safi. nafkiri ipo haja sasa JF waanze kukulipa posho kwa uchangiaji uliotukuka na usio na kikomo.

NB; Kuna watu watakasirika
Wacha Weee!
Uislam ulikuwepo enzi hizo anazo zungumzia huyo?
Itakuwa sahihi kusema kuwa hayo yalikuwa ni mavazi ya jadi katika eneo hilo kuliko kubainisha kuwa yalikuwa ni mavazi ya kidini.
Tuachane na upotoshaji.
 
Jikite kwenye mada, ndio maana mnafeli shuleni.
Ungetaka watu wajikite kwenye mada usingechomokea mambo yasiyo na kichwa wala miguu! Na hata ukisoma kanuni za bunge hilo haliitwi vazi la kiislamu bali Vazi la Mwambao na linaruhusiwa. Ambalo halijatajwa kwenye kanuni ni ile misuli yao.
 
Usilete ujinga usiokuwa na viwango.
Vaa kandambili kama mswahili na uende Umoja wa Mataifa, ofisi yoyote ya kibalozi au hata Ikulu yetu.
Hata ofisi za mlinzi huingii.
Labda nikubaliane na wewe kwamba Nguruvi3 na sote tuliokukosoa ni wajinga; sasa wewe ulie mwerevu hebu tuelimishe suala la mavazi lilikuwa na umuhimu gani kwenye mada yako zaidi ya kui-divert attention?!
 
'Symbolism' mkuu 'Nguruvi3' ina maana kubwa na hasa inapotokea nyakati za joto kali kama ilivyo sasa katika maswala mengine ndani ya nchi.
Kiongozi mwenye busara anajitahidi kuepusha tafsiri ya matendo isiyokuwa na lazima hasa nyakati kama hizi tulizomo.
Acheni kukuza mambo, na hilo joto unalodai linakuzwa na watu aina yenu! Kanzu zimekuwa zikivaliwa bungeni tangu enzi na enzi na ni sehemu ya mavazi rasmi bungeni! Ambacho hakiruhusiwi ni ile misuli yao! Na kama kiongozi mwenye busara atajitahidi kuepusha tafsiri ya matendo yasiyo na lazima, hata mwananchi mwenye busara nae ataepusha vilevile kutaka kuingiza elements za udini bila sababu za msingi. Kwa mfano mada yake jamaa ipo clear kabisa; sasa sijui kulikuwa na sababu gani ya kuingiza masuala ya mavazi wakati mada kuu aihusiani na mavazi! Matokeo yake watu wameacha mada wanajadili kanzu!
 
Mkuu 'Bon-CN', hivi huoni jinsi ulivyo jiingiza mwenyewe katika hilo "joto" unalodai halipo? kama halipo, kwa nini uweke utetezi hafifu kiasi hiki!

Umo humu humu JF; lakini bado huelewi kinacho endelea katika jamii yetu wakati huu kwa kuona tu migawanyiko inavyojitokeza ikituweka katika makundi ambayo wewe unafikiri unaweza kujificha usiyaone?

Mimi sina tatizo la kuyazungumzia, kwa sababu sina sabau ya kujificha ficha kwa kutumia hadaa kama unavyofanya wewe.
Nitasema ukweli ninaouona bila ya hofu ya kuwekwa ndani ya kundi lolote zaidi ya kundi la taifa langu.
 
Misri ya wakati huo haikuwa ya Kiislamu na hivyo kuthibitisha kwamba Kanzu sio Vazi la Kiislam bali asili yake ni Mashariki ya Kati ambako Wakristo na Wafuasi wa Mwamedi huwa wanavaa kanzu!
Hili nimekwisha lisemea humu humu, kwa taarifa yako. Lakini hili haizuii tafsiri potofu kama inayotengenezwa kwa maksudi katika jamii yetu.
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Mwambie kwanza yule Askofu wenu Mwamakula asiwe anapanda kwenye majukwaa ya CHADEMA na mavazi ya kiaskofu.
 
Hili nimekwisha lisemea humu humu, kwa taarifa yako. Lakini hili haizuii tafsiri potofu kama inayotengenezwa kwa maksudi katika jamii yetu.
Hizo tafsiri potofu ndo udini wenyewe tunaozungumzia huo kwa sababu kama mtu haupo crowded na elements za kidini wala huwezi kufikiria suala kama hilo hasa kwavile kwa sie tunaoenda kanisani tunaona viongozi wetu wakiwa wakivaa hayo mavazi. Sasa kwanini tuyahusishe na Uislamu wakati hata kanisani tunayaona?!
 
Ndiyo. Na usisahau vilevile huyo Waziri alipojitokeza hivyo inawezekana alikuwa anafikisha ujumbe huo huo. Na zaidi ya yote; hata wanaokana wanaweza kuwa wanafanya hivyo kwa sababu hizo hizo za kutetea wanachokiamini hata kama hawakisemi waziwazi.
hali sasa imekuwa ni ya namna hiyo katika jamii yetu.
 
Mkuu 'Bon-CN', hivi huoni jinsi ulivyo jiingiza mwenyewe katika hilo "joto" unalodai halipo? kama halipo, kwa nini uweke utetezi hafifu kiasi hiki!

Umo humu humu JF; lakini bado huelewi kinacho endelea katika jamii yetu wakati huu kwa kuona tu migawanyiko inavyojitokeza ikituweka katika makundi ambayo wewe unafikiri unaweza kujificha usiyaone?

Mimi sina tatizo la kuyazungumzia, kwa sababu sina sabau ya kujificha ficha kwa kutumia hadaa kama unavyofanya wewe.
Nitasema ukweli ninaouona bila ya hofu ya kuwekwa ndani ya kundi lolote zaidi ya kundi la taifa langu.
Umesoma na kuelewa au tayari ulikuwa na jibu lako ambalo halikuhitaji kuelewa nilichoandika?! Utetezi hafifu upi na wa kutetea nini?! Hivi ukisoma nilichoandika, hoja yangu imejikita kwenye ulichoita joto au ilijikita kwenye kuelezea uhalali wa hilo vazi kama ambavyo mteja mada ameita?! Na kwenye suala la joto nimesema wazi kwamba "linakuzwa na watu aina yenu", kwahiyo kama Kiswahili unakielewa sawasawa, tunaposema kitu kinakuzwa manake hakipo; na kama kipo sio kwa ukubwa huo ambao watu wanajaribu kuaminisha wengine! Hivi kweli kuna mwenye akili timamu anayeweza kuhusisha mgogoro wa CHADEMA na Serikali ya CCM una uhusiano wowote na masuala ya dini?! Kama upo huo uhusiano basi nielimishe na kama haupo, sasa how come tena suala la Bashe kuvaa kanzu lihusishwe na hicho ulichoita joto kama sio kutaka kuingiza elements za kidini pasipo stahili?
 
Ndiyo. Na usisahau vilevile huyo Waziri alipojitokeza hivyo inawezekana alikuwa anafikisha ujumbe huo huo.
Sijadili hisia binafsi
Na zaidi ya yote; hata wanaokana wanaweza kuwa wanafanya hivyo kwa sababu hizo hizo za kutetea wanachokiamini hata kama hawakisemi waziwazi.
hali sasa imekuwa ni ya namna hiyo katika jamii yetu.
Uwazi upi kama sio tu mnataka kukuza mambo yasio na maana?! ID yako ni ya tangu 2006, kwahiyo huwezi kuwa mtoto mdogo wewe wa kwamba kuona kilichofanywa na Bashe ni kitu cha ajabu sana Tanzania wakati hili vazi limekuwa likivaliwa bungeni miaka na miaka kwa sababu hata kanuni za bunge zinaruhusu! Sasa hilo suala la "hali sasa imekuwa...." linatoka wapi kama sio ule ukuzaji wa mambo niliosema hapo kabla?
 
******** unataka avae kikanisa
Mama yake amekukosea nini ?,jf ya enzi zile,hii post nisinge ikuta na wewe ungekula ban ya siku。kadhaa! una bahati sana na jf hii ya kisasa ma mode wako busy na issues kubwa kubwa serious za msingi,hawana time na hivi viishu vidogo vidogo vya kumtukania mtu mama yake, as if wewe mama yako hana hiyo kitu na siku unazaliwa alikupitishia kule uani!。
stop this nonsence!。
P
 
Back
Top Bottom