pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
GoodKama suti na tai ni sahihi kuvaa japo ni vazi la Wazungu basi hata Kanzu ni sahihi maana ni vazi la Waswahili 🤣🤣😂 !
GoodKama suti na tai ni sahihi kuvaa japo ni vazi la Wazungu basi hata Kanzu ni sahihi maana ni vazi la Waswahili 🤣🤣😂 !
Mheshimiwa Bashe amejibu kauli ya nani iliyotolewa huko Malawi?Ni utovu wa nidhamu mkubwa sana kwa a mear waziri kutoa tamko la kuikaripia nchi huru yenye Rais wake na Jeshi lake .
Yaani waziri anathubutu kuifokea nchi huru kama Malawi ?
Yaani anaiona Malawi kama Wilaya ya Tanzania Bara maana hata Zanzibar hathubutu kuifokea serikali ya Zanzibar .
Hii nchi inaongozwa kiholela sana .
Huyu mama ameshindwa kabisa kuiongoza serikali yake na kuidhibiti kama Rais .
Rais alitakiwa awasiliane na Rais Mwenzake kutatua masuala ya nchi katika diplomasia ya kiuchumi na kijamii.
Kuhusu Vazi la Kidini . Bashe anacheza Msiki wa mpiga ngoma .
Wazanzibari na Wasomali hawatambui dini yoyote zaidi ya Usilama .
Mabeyo alitukosea sana . Labda Mungu aamue Mwenyewe lakini tumebugi.
Bashe anatuletea Sukari feki , Mambolea na madawa ya ajabu ya mazao , Mbegu bandia za nafaka . Yule Msomali hana habari na watamganyika zaidi ya kuwatumia kujinufaisha kupitia mgongo wa dini.
Tatizo la hizo dini huwezi kutofautisha Gaidi muuaji na Muumini ,wote wa maswali na kujipambanua kama waumini kweli kweli na kutoa zaka nyingi na kujenga nyumba za ibada lakini ndani yao ni watu waovu wakubwa na wauza unga maarufu duniani na wanaotorosha rasilimali na pesa za wananchi huku wakijinufaisha kwa kiwango cha juu sana .
Usilete ujinga usiokuwa na viwango.
Vaa kandambili kama mswahili na uende Umoja wa Mataifa, ofisi yoyote ya kibalozi au hata Ikulu yetu.
Hata ofisi za mlinzi huingii.
Miaka 63 ya Uhuru bado watu wanajadili nani anavaa nini! stop this nonsense
Hivi alitakiwa avae vazi gani! kwa sheria gani au kanuni ipi ya nchi.
Badala ya kujadili maudhui ya alichosema, watu wanajadili vazi. Tanzania tumefeli sana
I wish hii ingekuwa post ya mwisho! kwa wenye weledi ili Wajinga na Wapuuzi waendelee na mjadala
JokaKuu Pascal Mayalla
Duh!View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Argumentya Bashe ina mashiko.Duh!
Mkuu 'jidu', mbona umekazia kwenye jambo lisilokuwa na maana zaidi kuliko lilo na maana kubwai?
Mimi bado sijui sababu ya vita hii inayo tangazwa hasa sababu yake ni nini?
Nchi hizi wamezuia nini kutoka kwetu na kwa sababu zipi? Bashe kaelezea hilo, au siyo muhimu kujuwa! Sisi tunatakiwa tu kushangilia matamko ya serikali yetu bila maelezo ya kina kuhusu tatizo husika?
Mkuu 'Jidu' binafsi sijui kama 'argument' yake ina mashiko au laa. Hilo la mavazi ni 'subsidiary kwa sasa.Argumentya Bashe ina mashiko.
Lakini bodyblanguage si representative ya watanzania wote.
Problem.ni uswahili na ndio maana Munangagwa aliwahi kusema, The Islamic Republic of Tanzania.
Whichis not a truepicture.
Kuna kitu Bashe amekitangaza kuhusu transit goods, nadhani amechemka!, nchi haina uwezo kuzuia goods on transit unless ni illegal goods!. Wanasheria wake wamemdanganya, kwenye trade embargo, huwezi kuzuia mzigo usio kuhusu!.
Mengine sawa!,
Bashe anazungumza with authoritative voice utadhani yeye ndie CinC!.
P
Landlocked States, of which there are forty-three, cannot use the sea unless they have the right to grant their nationality to ships and the right to access the sea across the territory of adjoining States. This chapter begins by explaining that the former right has been guaranteed under international law for a century or more. The chapter goes on to explain that under the UN Convention on the Law of the Sea, landlocked States also have the right to exercise the freedoms of the high seas, to engage in activities in the Area and, to a limited degree, to exploit the living resources of the exclusive economic zones of States in the same region.
Hebu tuwekee hiyo picha
Safi. nafkiri ipo haja sasa JF waanze kukulipa posho kwa uchangiaji uliotukuka na usio na kikomo.Usikereke kwa vazi la Kiislamu, hivi ndivyo Masiha alivyokuwa anavaa na Wanawake kina Bikira Maria walivaa hijab na nikab!.
Wazungu ndio walibadili hizi nguo zinazovaliwa sasa, ili zisionekane ni za Kiislamu. Yesu amekulia Misri!.
P
Una uhakika kuna ma sister wanavaa mavazi yao wakiwa wanatoa kaulia Ambazo ni msimamo wa serikali? Au umekulipuka kuandika?Ila masista wa Katoliki kuvaa wakiwa kazini mashuleni na hospitalini haikukeri eee!
Mnamuonea bure huyu al shabab. Mbona aliyemuumba anavaa mishungi na hamlalamiki?View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Amekwambia kanzu ni vazi la kiislamu? Acha upumbavu wewe udini tu umekujaa mjinga weeeView attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Nyerere katoa kauli za serikali, amehutubia akiwa kavaa kanzu na balaghashia. Hilo vipi?Una uhakika kuna ma sister wanavaa mavazi yao wakiwa wanatoa kaulia Ambazo ni msimamo wa serikali? Au umekulipuka kuandika?
Waislamu wote Tanzania NI asilimia 15 .mkuu weka data vizuri.Waislam ni 75% tanzania
Ksa kukazia tu ndio maana Wayemen wanakandwa kila uchaoKuna kitu Bashe amekitangaza kuhusu transit goods, nadhani amechemka!, nchi haina uwezo kuzuia goods on transit unless ni illegal goods!. Wanasheria wake wamemdanganya, kwenye trade embargo, huwezi kuzuia mzigo usio kuhusu!.
Mengine sawa!,
Bashe anazungumza with authoritative voice utadhani yeye ndie CinC!.
P
'Symbolism' mkuu 'Nguruvi3' ina maana kubwa na hasa inapotokea nyakati za joto kali kama ilivyo sasa katika maswala mengine ndani ya nchi.Miaka 63 ya Uhuru bado watu wanajadili nani anavaa nini! stop this nonsense
Yuko Jokate huwa anavaa vazi la dini ya kikristo (kimini)Usifanganye umma.
Waislamu ni 99.999% huko Zenj.
Huku Tanganyike cheki facts zako ni kato ya 30-35%.
Na nchi hii haina dini.
Halafu tubandikie picha ya waziri aliyevaa msalaba.