Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Mkuu hili hapo ni sahihi kabisa, ila kwa nyakati zetu hizi mavazi haya yamegeuzwa kuwa ishara ya imani ya baadhi yetu hapa Tanzania. Hiyo ndiyo hoja yangu.
kama kweli kidhati mkuu unakubali kua haya si mavazi ya dini -- ila waumini wa imani fulani wameyapenda sana na kuyathamini--- basoi tuungane kuelimisha jamii kwamba haya mavazi si ya kidini -- hii ndo key concept mkuu.

kuruhusu kua na hofu kwamba kanzu, baibui ni vazi la waislamu ni jambo hatari -- kwa sababu sio la dini.. kwanini tulazimishe ni la dini.

emu angalia malumbano ya kwenye uzi huu, ya kazi gani wakati jambo halipo kama lilivyokua presented mkuu. tunaanza kujifunga own goals --- migororo ya kiimani isiyokua na tija yeyote.
 
okay yeah-- so watu wetu wa system inawafanya wawe-wachina??? hizi ni aina gani ya reasoning mkuu
Nafikiri ukakasi kwa wadau wengi humu ni vazi husika kunasibishwa na udini, kama angevaa hata kimasai huenda kusingekuwa na hizi kelele, faida ya Suti na tai na kaunda suti huwa hazinasibishwi na ukristo au ubudha.
 
Uislamu ndio dini ya aadam, nuh, Idris, ibrahim, Ilyas, alyasa'a, yuunus, musa, harun, issa na wote unaowajua na usiowajua
.
Kwa hiyo, kwa maoni yako ndiyo dini ya mwanzo kabisa ya binaadam tokea dunia kuumbwa?
Kwa maana hiyo, kila binaadam anayezaliwa hadi hii leo, anazaliwa akiwa mwislam! Binaadam wote humu duniani ni waislam; kwa vile wote ni kizazi toka Adam!
 
Nafikiri ukakasi kwa wadau wengi humu ni vazi husika kunasibishwa na udini, kama angevaa hata kimasai huenda kusingekuwa na hizi kelele, faida ya Suti na tai na kaunda suti huwa hazinasibishwi na ukristo au ubudha.
Big NO
Suti ni vazi la kikristo, ila waislam hawaamini katika hilo na ndio wakapotezea na kulitumia

Uislam unaruhisu vazi lolote muhimu ni vigezo vilivyowekwa vya kusitiri mwili kwa mwanamke ana vyake na mwanaume ana vyake
So vazi lolote linaruhusiwa maadamu limekidhi vigezo
 
kama kweli kidhati mkuu unakubali kua haya si mavazi ya dini -- ila waumini wa imani fulani wameyapenda sana na kuyathamini--- basoi tuungane kuelimisha jamii kwamba haya mavazi si ya kidini -- hii ndo key concept mkuu.
Siwezi kuamini hivyo: kwamba "ila waumini wa imani fulani wameyapenda sana na kuyathamini..." Ninachosema mimi ni kuwa hawa "waumini wa imani fulani" wameamua kuyatumia kuwa ishara ya kutambulisha imani yao. Hilo ndilo linalofanya mavazi hayo yawe ya kidini.
 
Waarabu kibao pale iraq, syria, lebanon na kwengine wanavaa kanzu na misalaba juu na bar wanaingia na sio waislam ni wakristo na hakuna anaeshangaa

Tatizo hawa wenzetu wakisema neno mwarabu basi ni wanakusudia uislam kuwa sana makini nao, wanajifanya kuuchukia waarabu kumbe ni wanachukia waislam

Ndio nikawaambia alishindwa firauni mtaweza nyie?

Hizi dini zilikuwepo, zipo na zitaendelea kuwepo na hakuna awezaye kuiondoa moja ni mpaka Mungu mwenyewe atake
Kwahiyo kujitia chuki ni kujiumiza mwenyewe moyo wako na afya yako
yeah, mkuu--- sema nawe naona unataka kunibana katika angle tata sana mkuu 🤣.

paragraphs zako zina hoja mbalimbali sana -- i respect that-- but i worry that you have assumed my religion -- this is not good

naam nahitihimisha mkuu chuki za kidini ni kupungukiwa maarifa tu -- regardless mtu yuko pande gani. wewe wasome walioshtuka kwenye uzi huu hoja zao ni baseless
 
Big NO
Suti ni vazi la kikristo, ila waislam hawaamini katika hilo na ndio wakapotezea na kulitumia

Uislam unaruhisu vazi lolote muhimu ni vigezo vilivyowekwa vya kusitiri mwili kwa mwanamke ana vyake na mwanaume ana vyake
So vazi lolote linaruhusiwa maadamu limekidhi vigezo
Suti ni vazi lilioanza kuvaliwa huko Uingereza karne ya 17 baada ya Ukristo kuwepo tangu karne ya 1, Waroma waliousambaza Ukristo kuanzia karne ya 3 hata hawakuwa na suti.
 
Nafikiri ukakasi kwa wadau wengi humu ni vazi husika kunasibishwa na udini, kama angevaa hata kimasai huenda kusingekuwa na hizi kelele, faida ya Suti na tai na kaunda suti huwa hazinasibishwi na ukristo au ubudha.
hakuna cha ukakasi mkuu -- lets call a spade , a spade mkuu.. ni ujinga tu , na maarifa yasiyo sahihi ya wote walioshtuka au kupata hofu yeyote ile.
 
Swali lilikuwa hivi: "Misri ya wakati huo ilikuwa ya Kiislam"?
Wewe ukaamua kujibu vingine kabisa!
Misri ya wakati wote ni nchi ya Kiarabu,hilo vazi ni vazi la Kiarabu,Yesu alikulia Misri na alivaa Kanzu, Bikira Maria alivaa hijab, mavazi haya yako kwenye sheria ya Mussa ambayo ndio sheria pekee ya Mungu wa Wakristo, Waislamu na Judaism regardless kulikuwa na dini gani!。
P
 
Siwezi kuamini hivyo: kwamba "ila waumini wa imani fulani wameyapenda sana na kuyathamini..." Ninachosema mimi ni kuwa hawa "waumini wa imani fulani" wameamua kuyatumia kuwa ishara ya kutambulisha imani yao. Hilo ndilo linalofanya mavazi hayo yawe ya kidini.
lini wamedeclare kwamba hayo ndo mavazi ya kuashiria imani yao --- nifunze mkuu --- mimi naamini ujinga ndo unafanya watu wakiona mavazi hayo waone ni dini --- kama si hivyo basi mjinga ntakua mimi na nipo tayari kutoa ujinga -- naomba nielimishe

ni lini mavazi hayo yametambulika rasmi ni ya kiislamu
 
Sunnah ni nini?
 
Kuna kitu Bashe amekitangaza kuhusu transit goods, nadhani amechemka!, nchi haina uwezo kuzuia goods on transit unless ni illegal goods!. Wanasheria wake wamemdanganya, kwenye trade embargo, huwezi kuzuia mzigo usio kuhusu!.

Mengine sawa!,
Bashe anazungumza with authoritative voice utadhani yeye ndie CinC!.
P
It is a trade war
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Ulitaka avae nguo gani?
Huku kwetu kwani unapo towa ujumbe lazima uwe na special dress.

Au wewe ndio wale walosema raisi kaka kama ............. kwa sababu ya hijabu yake.
Sisi tumejitawala tuna haki kuvaa vazi lolote lile la heshima na kwenda sehemu yoyote ile au kusema chochote alimradi huvunji katiba , sheria na kanuni.

Amani ya mungu na rehema zake iwe juuyako
 
Suti ni vazi lilioanza kuvaliwa huko Uingereza karne ya 17 baada ya Ukristo kuwepo tangu karne ya 1, Waroma waliousambaza Ukristo kuanzia karne ya 3 hata hawakuwa na suti.
Sawa nakubali, waroma walivaa kanzu, sasa kwanini tuseme kanzu ni za waislam na wala sio wakristo?
 
yeah, mkuu--- sema nawe naona unataka kunibana katika angle tata sana mkuu 🤣.

paragraphs zako zina hoja mbalimbali sana -- i respect that-- but i worry that you have assumed my religion -- this is not good

naam nahitihimisha mkuu chuki za kidini ni kupungukiwa maarifa tu -- regardless mtu yuko pande gani. wewe wasome walioshtuka kwenye uzi huu hoja zao ni baseless
Nimebahatisha vyema,
Wewe umwelevu, mjanja na muadilifu
Na hili ni jambo jema kuliko udini

Hongera sana
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Back
Top Bottom