Singida Referral HospitalWewe utakuwa umeenda kwenye hospital ya wakatoliki kama unabisha leta ushahidi
Singida Referral HospitalWewe utakuwa umeenda kwenye hospital ya wakatoliki kama unabisha leta ushahidi
Mkuu Ban-CN, you're in denial. Hali yako hiyo haina maana kwamba huoni kilichopo, bali unafanya yale ya mbuni, kuficha kichwa akidhani hawezi kuonekana.Umesoma na kuelewa au tayari ulikuwa na jibu lako ambalo halikuhitaji kuelewa nilichoandika?! Utetezi hafifu upi na wa kutetea nini?! Hivi ukisoma nilichoandika, hoja yangu imejikita kwenye ulichoita joto au ilijikita kwenye kuelezea uhalali wa hilo vazi kama ambavyo mteja mada ameita?! Na kwenye suala la joto nimesema wazi kwamba "linakuzwa na watu aina yenu", kwahiyo kama Kiswahili unakielewa sawasawa, tunaposema kitu kinakuzwa manake hakipo; na kama kipo sio kwa ukubwa huo ambao watu wanajaribu kuaminisha wengine! Hivi kweli kuna mwenye akili timamu anayeweza kuhusisha mgogoro wa CHADEMA na Serikali ya CCM una uhusiano wowote na masuala ya dini?! Kama upo huo uhusiano basi nielimishe na kama haupo, sasa how come tena suala la Bashe kuvaa kanzu lihusishwe na hicho ulichoita joto kama sio kutaka kuingiza elements za kidini pasipo stahili?
😂😅👍Suti ni vazi la kimataifa
Sielewi unacho eleza hapa..., "Hakuacha dini yoyote", ni nini? 'Judaism', haikuwa dini? 'Christianity' ilitoka wapi na ilianza lini; baada ya uwepo wa Islam?hilo ni vazi la Kiarabu,Baada ya Ibahim kumzaa Ismail na Isaka,Isaka akamzaa Yakobo,Waisraeli walihamia utumwani Misri walikokaa miaka 400!,mavazi ndio hayo!。 Yesu baada ya kuzaliwa Bethlehemu,alikulia Misri maisha yake yote,mavazi ndio hayo。 Hadi aliporudi Israel na umri wa miaka 30, japo hakuacha dini yoyote,lakini dress code ndio hiyo!。
P
That's the point. Ni vazi rasmi kwenye tukio hilo ambalo ni la kidini.Hapa mbona kama walikuwa kwenye futari au shughuli ya kidini?!
Kuna Kaunda suti zinazovaliwa sana na watu wa system,.hizo ni kutoka Mashariki kwa Wachina.MKuu leo nakupa respect (tofauti na kwenye mambo ya sisiemu)
Kanzu ni vazi asili ya arabuni -- kama ilivyo suti ulaya kwa wazungu
Jambo hili halihitaji hata elimu ya form 4
mkuu kama umeweza kuitaja baibui kwenye hoja yako--- bashe hakuna haja ya kumlaumu kwa lolote maana raisi wake anavaa mavazi ya namna hiyo sana---Sielewi unacho eleza hapa..., "Hakuacha dini yoyote", ni nini? 'Judaism', haikuwa dini? 'Christianity' ilitoka wapi na ilianza lini; baada ya uwepo wa Islam?
Vazi lilikuwaje la waarabu. Eneo hilo waliishi waarabu peke yao?
Vazi hilo hilo unaloliita la waarabu, leo hii siyo "dress code" ya kutambulisha uislam,(hasa hapa Tanzania)? Unapokwenda msikitini siku za Eid na nyinginezo, hiyo siyo 'dress code' ya kutambulisha dini? Mwanamke anapovaa baibui hapa kwetu hajitambulishi imani yake hata kama ilikuwa dresscode ya waarabu?
Watoto wa kiTanzania (wasichana) wanapolazimika kuwa na 'uniform' zinazowatambulisha wao dhidi ya wengine, lengo lake ni lipi? Kwa nini watoto wote wasichana wasitakiwe kuvaa 'uniform' hiyo hiyo ya kufunika vichwa?
Tunapofanya mambo ya kututambulisha kuwa tupo tofauti na wengine , maana yake ni nini?
haya ni maswala ambayo sote tunatakiwa kujiuliza kama taifa la waTanzania. Kama ni swala la 'dress code' pekee (honestly), bila ajenda nyingine nyuma yake; basi tusiitumie 'dress code' hiyo kama utambulisho wa chochote.
Kwahiyo angekaa uchi?Image yetu kama taifa.
Je, tunataka nchi zingine zituchukulie kama waarabu au waislamu kisa mavazi ya Bashe?
okay yeah-- so watu wetu wa system inawafanya wawe-wachina??? hizi ni aina gani ya reasoning mkuuKuna Kaunda suti zinazovaliwa sana na watu wa system,.hizo ni kutoka Mashariki kwa Wachina.
mkuu akikujibu naomba nitagKwahiyo angekaa uchi?
Kwasababu angevaa suti na sisi tungesema kwanini amevaa kizungu? (Kikristo) kwa mujibu wa mawazo yenu)
Ukweli haunin'ginii bwashee
Swali lilikuwa hivi: "Misri ya wakati huo ilikuwa ya Kiislam"?hilo ni vazi la Kiarabu,Baada ya Ibahim kumzaa Ismail na Isaka,Isaka akamzaa Yakobo,Waisraeli walihamia utumwani Misri walikokaa miaka 400!,mavazi ndio hayo!。 Yesu baada ya kuzaliwa Bethlehemu,alikulia Misri maisha yake yote,mavazi ndio hayo。 Hadi aliporudi Israel na umri wa miaka 30, japo hakuacha dini yoyote,lakini dress code ndio hiyo!。
P
Mkuu achana na wajinga hawa, waoga mpaka kwenye mavazi, ni chuki na udini tumkuu kama umeweza kuitaja baibui kwenye hoja yako--- bashe hakuna haja ya kumlaumu kwa lolote maana raisi wake anavaa mavazi ya namna hiyo sana---
and still tunarudi palepale--- baibui, kanzu sio dini wala ibada --- haijalishi wingi wake kuonekana yakivaliwa msikitini wala sikukuu wala matukio ya kidini fulani
jibu linabaki paleplae hayo mavazi sio dini
Mwenzenu huyo wala sio Chadema ila Udini ni Udini tu upo zaidi individually !Chadema kwa udini 😁
Hapa lazima ale konamkuu akikujibu naomba nitag
Mkuu kuna muktadha wa kuvaa hayo mavazi, kwa Bashe hayakuwa mazingira sahihi sana kuyavaa. Inapotokea anakuja kiongozi kutoka India mfano Modi inaweza kuwa muktadha mzuri viongozi wetu kuvaa Kurta au Pathani Suit, ikitokea amekuja Tinubu wa Nigeria inaweza kuwa vizuri kuvaa yale majoho yao ya Kinigeria kama kielelezo cha kuthamini utamaduni wao.Mkapa sijui ila Magu alikua akivaa mara kibao kupokea Viongozi wa MENA.
Picha nyengine hii hapa akiwa na waziri wa Saudia, you can see there ni official attire.
View attachment 3315109
Unakosea , unajua kila kitu kina wakati wake hata angevaa bukta pale tungesema pia , kuna maadili ya viongozi wa umma na mavazi pia ,We jamaa unaonekana ni mdini uliyepitiliza,Mbona kanzu ni vazi la kawaida sana,Hata viongozi wakristo kuna wakati wanavaa?
Mkuu hili hapo ni sahihi kabisa, ila kwa nyakati zetu hizi mavazi haya yamegeuzwa kuwa ishara ya imani ya baadhi yetu hapa Tanzania. Hiyo ndiyo hoja yangu.and still tunarudi palepale--- baibui, kanzu sio dini wala ibada --- haijalishi wingi wake kuonekana yakivaliwa msikitini wala sikukuu wala matukio ya kidini fulani
ni kukosa maarifa tu mkuu. hili jambo la wazi hata mufti hawezi claim hayo ni mavazi ya diniMkuu achana na wajinga hawa, waoga mpaka kwenye mavazi, ni chuki na udini tu
Halafu ukute sio wanasara wa kweli ni wale jamaa zetu wa..... Au basi tuache tu
Waarabu kibao pale iraq, syria, lebanon na kwengine wanavaa kanzu na misalaba juu na bar wanaingia na sio waislam ni wakristo na hakuna anaeshangaani kukosa maarifa tu mkuu. hili jambo la wazi hata mufti hawezi claim hayo ni mavazi ya dini