Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Ila angevaa msalaba ingekuwa poa tu,
Hilo ni vazi tu acheni uwoga

Magari ya serikali yamejaa misalaba ndani, ofisi za serikali zimejaa misalaba ndani ila muislam akitenga tu nafasi amsujudie mola wake maneno kama yote

Ila leo mumepituka, yaani mnaogopa mpaka kanzu?

Waislam ni 75% tanzania
75%? hata nusu hawafiki
 
Mkuu Kalamu
Nilichukua muda kufikiri kuhusu mada nikajikuta nalazimika kuchangia 'upuuzi'' kwasababu upuuzi ukiachwa utamalaki sote tutakuwa wapuuzi na wapuuzi wataendelea na uvumbuzi wa upuuzi.

Tumeuliza, Bashe kwa kuvaa kofia na Kanzu amekiuka dressing code ipi!

Pili, nani amesema kanzu na kofia ni mavazi ya dini fulani?

Vitabu vitakatifu havijaeleza dini gani ina vazi gani. Ni upuuzi tu wa Watanzania

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Malawi ni landlocked country wanasafirisha bidhaa muhimu kama madawa ya hospitali, vifaa tiba n.k kupitia bandari ya Salama. Kuzuia transit good ni ukatili na uonevu kwa wananchi wa Malawi wasio na hatia.
Kabisa,
Halafu hii inaweza kusababisha Malawi wakatafuta mbadala wa kupitishia mizigo yao kwingine kama Afrika Kusini au Msumbiji, Tanzania tukapoteza in the long term
 
Kanzu vazi la ibada -- kwa kigezo gani? --support hoja yako kwa uthibitisho mkuu-- kama utaupata, nitajifunza

Vazi la ibada ni vazi maalumu livaliwalo wakati wa kufanya ibada. Linaweza kuvaliwa na viongozi wa dini na waamini wake. Mfano: Kanzu wavaazo viongozi wa kikikristo au uislamu, kofia wavaazo maaskofu au mashekhe n.k. hii nimetoka Kwa uchache

Vilevile watu kama waganga wa kienyeji watoapo kafara au watekelezapo ibada zao huvaa kaniki maalumu(nyeusi, nyekundu, nyeupe n.k) haya yote yanavaliwa Kwa lengo la kufanya ibada/shirki.

Note: mavazi hayo ni adhimu sana kukuta mtu Kaenda nayo kwenye starehe kama Bar, Club, n.k. lakini pia mavazi hayo hayatumiki kwenye matukio rasmi ya kiitifaki.

Sasa kama hujaelewa mavazi ya ibada
 
Nimesoma comment yako --- kanzu ya bashe ni vazi tu --- mtu yeyote anavaa

Hata mtu avae aende nayo bar --- yes kuna watu wanaweza kulalamika --- ila hawana uhalali wowote wa kulalamika.

Mkuu ukweli ndo huu

Hizo kanzu na kofia unazosema wanavaa maaskofu --- haziwezi ingia kwenye mjadala huu mkuu--- hata wewe umesema wanazovaa "MAASKOFU"
 
Kabisa,
Halafu hii inaweza kusababisha Malawi wakatafuta mbadala wa kupitishia mizigo yao kwingine kama Afrika Kusini au Msumbiji, Tanzania tukapoteza in the long term
Wizara ya kilimo imetoa tangazo:
Wamelift ban, na wamepanga tarehe za majadiliano

1745646352627.jpeg
 
Mkuu Kalamu
Nilichukua muda kufikiri kuhusu mada nikajikuta nalazimika kuchangia 'upuuzi'' kwasababu upuuzi ukiachwa utamalaki sote tutakuwa wapuuzi na wapuuzi wataendelea na uvumbuzi wa upuuzi.

Tumeuliza, Bashe kwa kuvaa kofia na Kanzu amekiuka dressing code ipi!

Pili, nani amesema kanzu na kofia ni mavazi ya dini fulani?
Wale Makadinali pale Vatican si wamevaa Kanzu na Kofia.
Wazee wa Kagera huvaa Kanzu na Kofia. Kilimanjaro Wazee wengi huvaa kofia.
Wanawake wa Pwani hujitanda nguo vichwani! n.k.

Nyerere alipohutubia Taifa kuhusu ugonjwa wa Kipindu pindu alivaa Baraghashia
Mkapa, Kikwete, Mwinyi na Magufuli wamevaa Kanzu na kofia kwa nyakati tofauti.
Bungeni Dodoma, Kanzu na Kofia ni sehemu ya dressing code

RC Chalamila mara ngapi amezungumzia mambo ya siasa akiwa na Kanzu na Kofia
Leo ni kipi cha ajabu! Bashe aliongelea Kilimo hakuwa na mada ya siasa ambayo ingeamsha hisia hasa kwa wapuuzi. Mbona alipotoa kauli Bungeni hatukusikia haya

Hoja ni kwamba, ukiitwa Hassan haikufanyi Mwislam. Ukiitwa John haiukufanyi Mkristo.

Vitabu vitakatifu havijaeleza dini gani ina vazi gani. Ni upuuzi tu wa Watanzania

Tukiwapa wapuuzi 'benefit of doubt' katika mada nonsense kama hizi hawataishia hapo.
Kesho watakuja na hoja ya kipuuzi zaidi, kwanini amevaa kanzu nyeupe.
Hawa ndio wanaleta joto kali unalosema na tunawajibu wa kuwakemea

Waulize waapuuzi hawa, nini 'impact' ya alichosema Bashe katika jamii yetu, mahusiano yetu na jirani, mahusiano yetu kimataifa n.k. hawana jibu kwasababu jicho lao ni katika 'trivial matters'

JokaKuu Pascal Mayalla
Nakazia mkuu
 
Wizara ya kilimo imetoa tangazo:
Wamelift ban, na wamepanga tarehe za majadiliano

View attachment 3316029
BAada ya kusoma ujumbe wa tibaijuka nilijua tu hii ngoma haitakesha

Waziri wa zamani wa Ardhi, Prof. Anna Tibaijuka amesema mzozo wa kibiashara kati ya Tanzania na Malawi licha ya Tanzania kuchokozwa na kujibu mapigo lakini kibao kitaigeukia Tanzania huku akisisitiza mazungumzo ya amani ni muhimu lasivyo Tanzania inaweza kupigwa faini kubwa kwasababu itaonekana imechukua sheria mkononi na kulipiza kisasi.

Prof. Tibaijuka kupitia ukurasa wake wa X amesema Malawi ni nchi isiyo na bahari kwa hiyo inalindwa na sheria za kimataifa kuhusu usafirishaji wa bidhaa kupitia nchi jirani kama Tanzania, mkataba wa WTO/GATT 1994: Ibara ya V – Uhuru wa Usafirishaji, inalinda haki ya nchi zisizo na bandari na kuzipa haki ya kupitisha bidhaa kupitia nchi jirani kwa njia bora zaidi na salama, bidhaa zinazopita hazipaswi kuzuiliwa au kucheleweshwa bila sababu ya msingi na bahati mbaya kulipiza hakuhesabiki hivo kama haukufuata utaratibu kisheria”

“Hairuhusiwi ubaguzi wowote unaopendelea bidhaa za nchi inayotoa njia ya kupita au nchi nyingine, hakuna ushuru au kodi ya forodha inayopaswa kutozwa bidhaa zilizoko njiani isipokuwa kwa gharama halali za kiutawala, maana Tanzania hairuhusiwi kisheria kuzuia au kuchelewesha bidhaa za Malawi kama njia ya kulipiza kisasi, ikiwa Tanzania ilikuwa na malalamiko, ilikuwa lazima ipitie utaratibu wa WTO, au SADC si hatua za upande mmoja, pili Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Sheria ya Bahari (UNCLOS), Sehemu ya X (Ibara 124–132) inalinda haki za nchi zisizo na bandari kwa nguvu”

“Pia Ibara ya 125, nchi zisizo na bandari zina haki ya kupitisha bidhaa zao kwa uhuru kupitia nchi jirani kwa kutumia aina yoyote ya usafiri, nchi jirani hazipaswi kuweka vizuizi visivyohitajika wala kudhoofisha usafirishaji huo, Malawi na Tanzania zote ni wanachama wa UNCLOS, hivyo haki hii ina nguvu ya kisheria ya kimataifa”

“Kabla ya kuhamia Nairobi kama Mkurugenzi wa UNHABITAT nilikuwa Mkurugenzi Mratibu wa maswala haya huko UNCTAD/WTO Geneva”

Kauli ya Tibaijuka inakuja siku moja tangi Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, itoe tamko la kupiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Nchi za Afrika Kusini na Malawi baada ya Nchi hizo mbili kuzuia mazao kutoka Tanzania.
#MillardAyoUPDATES
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Ni mavazi ya kidini??
Ndio ya kidini, zoroastrian Persia wanavaa Suruali mda sana wakati jamii zote Including waroma Ulaya wakiwa bado wanavaa kanzu.

Same kwa Egpty, T-shirt ya mwanzo kabisa kuwa hi kupatikana zimetoka kwenye pyramid,
 
Kuna kitu Bashe amekitangaza kuhusu transit goods, nadhani amechemka!, nchi haina uwezo kuzuia goods on transit unless ni illegal goods!. Wanasheria wake wamemdanganya, kwenye trade embargo, huwezi kuzuia mzigo usio kuhusu!.

Mengine sawa!,
Bashe anazungumza with authoritative voice utadhani yeye ndie CinC!.
P
hahhhaaaa mm pia nimeshangazwa yet nikacheka..alivyokaza uso utadhan anaelewa anachokisema😂😂😂😂😂😂😂.Kutumwa kubaya
 
Back
Top Bottom