Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Nimefika mpaka talagwe na mpanda mulowoka.Nenda Mwanza, Shinyanga na Tabora, utelewa.
Nimefika mpaka talagwe na mpanda mulowoka.Nenda Mwanza, Shinyanga na Tabora, utelewa.
bado unazidi kudhihirisha chuki kwenye kichaka mapenzi ya nchi.....hivi unajua hata jina pia linaweza kutambulisha imani ya mtu kwa baadhi ya mataifa!? unasemaje kuhusu hilo!?🤔 unamaanisha tuwe na wafanyakazi wa serikali wenye majina kama ya Kingunge Ngombale Mwiru tu!? narudia tena KANZU KUICHUKULIA KAMA VAZI LA KIISLAMU ni kosa lako la tafakari tu, WASIO WAISLAM WANAVAA TU MBONA HAYO....😅Unaongelea zUislamu ambao sina ugomvi nao.
NAONGELEA VAZI lenye kutaka kupotray nchi kimataifa kama nchi ya kiislamu. Thats my point.
Imani yako ni wewe na nyumbani kwako, ukiingia serikalini, serikali tuliyoiweka madarakani sisi wote, lazima hata vazi lsko lionyeshe picha ya nchi, si dini yako.
Ukipenda sana dini yako achia ngazi kaifanye kazi ya dini yako.
Kuna watu wengi tu wa kujaza hiyo nafasi.
Hakuna ubishi, Bashe kaingiza Taifa katika mzozo unaoelekea kuwa na udini ndani yake.bado unazidi kudhihirisha chuki kwenye kichaka mapenzi ya nchi.....hivi unajua hata jina pia linaweza kutambulisha imani ya mtu kwa baadhi ya mataifa!? unasemaje kuhusu hilo!?🤔 unamaanisha tuwe na wafanyakazi wa serikali wenye majina kama ya Kingunge Ngombale Mwiru tu!? narudia tena KANZU KUICHUKULIA KAMA VAZI LA KIISLAMU ni kosa lako la tafakari tu, WASIO WAISLAM WANAVAA TU MBONA HAYO....😅
unazidi kupuyanga na hueleweki....unashida na kanzu yake!? tamko lakel? ama dini yake!?Hakuna ubishi, Bashe kaingiza Taifa katika mzozo unaoelekea kuwa na udini ndani yake.
Haoni mifano hai ya waislamu safi kama Waziri Mkuu Majaliwa, ambaye kiuongozi hajawahi kufanya uozo wa kishabiki wa kidini, katika kutoa tamko zito la kiserikali.
Bahati nzuri kesha situkiwa.
Usipokuwa mtu wa viwango, au standards, huwezi elewa.unazidi kupuyanga na hueleweki....unashida na kanzu yake!? tamko lakel? ama dini yake!?
Swali lipo .nipo hapa Kwa zizi la nguruwe je naweza kuswali?((Ardhi yote imefanywa kwangu na kwa umati wangu kuwa sehemu ya kuswalia na kitwaharisho, na popote itakapomkuta Swalaah yeyote katika umma wangu, basi hapo ndipo sehemu yake ya kuswalia, na hapo ndipo kitwaharisho chake)). [Hadiyth Hasan]
bado una suali..!?
umesoma kwa makini kilichoandukwa haoo...mbona suali lako halina mantiki "blaza" ..!?" ila nitakujibu NDIO UNAWEZA KAMA HAPANA BUDI ILA USWALI HAPO HAPOSwali lipo .nipo hapa Kwa zizi la nguruwe je naweza kuswali?
unashindwa kujianisha shida yako nini na unajihisi wewe ni mtu wa standards..!?Usipokuwa mtu wa viwango, au standards, huwezi elewa.
Naweza swali au kutaja Jina la Allah Kwa SEHEMU najisi.?umesoma kwa makini kilichoandukwa haoo...mbona suali lako halina mantiki "blaza" ..!?" ila nitakujibu NDIO UNAWEZA KAMA HAPANA BUDI ILA USWALI HAPO HAPO
Standards siyo hisia, ni kanuni na utaratibu wa kistaarabu tu kwa uvaaji na muonekano wa afisa wa serikali.unashindwa kujianisha shida yako nini na unajihisi wewe ni mtu wa standards..!?
Kwani wanavaa hispitali za serikali au shule za umaIla masista wa Katoliki kuvaa wakiwa kazini mashuleni na hospitalini haikukeri eee!
kama hapana sahemu safi itakupasa uswali hapo hapo kwenye najisi.....hoja yako dhaifu sana! ila wacha nikupe faida ili usiendelee kujiona kama unanitega na tumaswali twako twa hovyo😅, kwa mujibu wa mafundisho ASILI YA ARDHI YOTE NI TWAHARA KWA KUSALIA NA KUJISAFISHIA...hiyo ndio asili yake! sasa we unaleta hoja za zizi, mwisho useme chooni unajiona una hoja kweli!? huoni kwa kuweka zizi ama choo utakuwa umeondoa asili ya usafi ambao umebainishwa kabla!? unataka kusema Ardhi yote ni ZIZI LA NGURUWE!?😅Naweza swali au kutaja Jina la Allah Kwa SEHEMU najisi.?
kama umeshindwa kuanisha tabu yako nini basi hu a haki ya kuongelea hizo standards...😅Standards siyo hisia, ni kanuni na utaratibu wa kistaarabu tu kwa uvaaji na muonekano wa afisa wa serikali.
Ikusaidie kuelewa somo la standards.kama umeshindwa kuanisha tabu yako nini basi hu a haki ya kuongelea hizo standards...😅
Kama huelewi wanaokutawala safari hii, huwa hawajifichi. Udini wao wanazaliwa nao. Mwarabu ndio mwenye nchi. Shauri lako.View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Kwani Kanzu ni Vazi la Dini?View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Usilazimishe vazi la kwenu kuswalia likawa vazi rasmi.Kwangu mimi, kanzu ni vazi kama ilivyo tu Suti. Tofauti ni kuwa kanzu ina asiri ya Uarabuni na Suti ina asili ya Ulaya ila yote ni mavazi ya kawaida kabisa na haya ashirii chochote.