Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
SOurce ya taarifa ya dresscode? --- its important maana kuna clip zingine kama hizi zimesema alikua kwenye dresscodeIkusaidie kuelewa somo la standards.
View attachment 3319163
SOurce ya taarifa ya dresscode? --- its important maana kuna clip zingine kama hizi zimesema alikua kwenye dresscodeIkusaidie kuelewa somo la standards.
View attachment 3319163
Jadili hoja yake tuone mawazo yako🤣Usilazimishe vazi la kwenu kuswalia likawa vazi rasmi.
Nenda nalo kuswali hapo sina shida.
Hoja yake ni subservient kwa mada kuu iliyopo.Jadili hoja yake tuone mawazo yako🤣
KWenye hoja yake nini hakipo sawa?Hoja yake ni subservient kwa mada kuu iliyopo.
Sijadili kitu nje ya mada kuu, hilo jadili wewe.KWenye hoja yake nini hakipo sawa?
Mbona inaendana na mada mkuu -- au wewe upo kwenye kundi lilalosema lile ni vazi la kidini?Sijadili kitu nje ya mada kuu, hilo jadili wewe.
Proposition ya mada, toka mwanzo unauelewa, wewe fuatilia arguments.Mbona inaendana na mada mkuu -- au wewe upo kwenye kundi lilalosema lile ni vazi la kidini?
Kwanza jibu kanzu ni vazi la kidini au sio?Propsition ya ada, toka wanzo unaeewea, wewefuatilia argments.
ungekuwa una standard zako wala unsingedhihirisha chuki yako kwa mtu aliyevaa kusitiri uchi wake kwa vazi la heshima.....ulitaka avae pensi!?😅Ikusaidie kuelewa somo la standards.
View attachment 3319163
hawezi jibu...nimeshamuuliza suali lenye kufanana na hilo kabaki kuruka ruka tu....😅Kwanza jibu kanzu ni vazi la kidini au sio?
Ndo niangalie kama naweza soma upya mjadala mkuu
Hawezi jibuhawezi jibu...nimeshamuuliza suali lenye kufanana na hilo kabaki kuruka ruka tu....😅
Tupe kwa mfano, Waziri anayevaa kama Bashe katika shughuli za kiserikali zilizo nyeti.ungekuwa una standard zako wala unsingedhihirisha chuki yako kwa mtu aliyevaa kusitiri uchi wake kwa vazi la heshima.....ulitaka avae pensi!?😅
Wakati mwingine kuwajibu ninyi mlio na boga lililobebwa na shingo zenu ni mtihani.hawezi jibu...nimeshamuuliza suali lenye kufanana na hilo kabaki kuruka ruka tu....😅
Mkuu umeeleweka.Wakati mwingine kuwajibu ninyi mlio na boga lililobebwa na shingo zenu ni mtihani.
Chagua vazi la waziri Bashe hapo kwenye Govrnment Statement juu ya Dress Code.
Mnakuwa obstinate na wabishi mradi tu mna midomo ya kusemea.
View attachment 3320033
Mkuu umepigwa na kitu kizito?hawezi jibu...nimeshamuuliza suali lenye kufanana na hilo kabaki kuruka ruka tu....😅
kama wewe ulivyopigwa na kitu la Bashe😅Mkuu umepigwa na kitu kizito?
na kwenu ukute wanajivunia kuwa na wewe....sasa hapo kisa kanzu haina picha ama niaje!? umesoma maelekezo!? umeyaelewa!?😅🤣Wakati mwingine kuwajibu ninyi mlio na boga lililobebwa na shingo zenu ni mtihani.
Chagua vazi la waziri Bashe hapo kwenye Govrnment Statement juu ya Dress Code.
Mnakuwa obstinate na wabishi mradi tu mna midomo ya kusemea.
View attachment 3320033
Kwa Tanzania waislamu NI Asilima 35% - 40% tuu, wakristo NI wengi sana mkuuIla angevaa msalaba ingekuwa poa tu,
Hilo ni vazi tu acheni uwoga
Magari ya serikali yamejaa misalaba ndani, ofisi za serikali zimejaa misalaba ndani ila muislam akitenga tu nafasi amsujudie mola wake maneno kama yote
Ila leo mumepituka, yaani mnaogopa mpaka kanzu?
Waislam ni 75% tanzania
Jibu hilo tamko la Serikali na Bashe wako mzee!kama wewe ulivyopigwa na kitu la Bashe😅