Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Ila masista wa Katoliki kuvaa wakiwa kazini mashuleni na hospitalini haikukeri eee!View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Mimi kada, tena mtiifu.Chadema kwa udini 😁
Hivyo vitu ulivyovitaja ni vya serikali ama vinamilikiwa naoIla masista wa Katoliki kuvaa wakiwa kazini mashuleni na hospitalini haikukeri eee!
na lile vazi ambalo wanavalishwa hadi watoto wa chekechea je?Ila masista wa Katoliki kuvaa wakiwa kazini mashuleni na hospitalini haikukeri eee!
Wanafanya kazi vituo vya serikali ni walimu, wauguzi nkHivyo vitu ulivyovitaja ni vya serikali ama vinamilikiwa nao
Yawezekana nalo linawakera kama la Bashena lile vazi ambalo wanavalishwa hadi watoto wa chekechea je?
Kwenye hiyo asilimia 75% waliosoma hata kufika form six tu ni asilimia 2.5 hao wooote ni ilmu ubwabwa na kuunga unga maisha kujenga hoja empty kabisa wakati huo huo katika hizo asilimia zilizobaki wamewekeza kwenye elimu dunia na elimu akheraIla angevaa msalaba ingekuwa poa tu,
Hilo ni vazi tu acheni uwoga
Magari ya serikali yamejaa misalaba ndani, ofisi za serikali zimejaa misalaba ndani ila muislam akitenga tu nafasi amsujudie mola wake maneno kama yote
Ila leo mumepituka, yaani mnaogopa mpaka kanzu?
Waislam ni 75% tanzania
Kuna kitu Bashe amekitangaza kuhusu transit goods, nadhani amechemka!, nchi haina uwezo kuzuia goods on transit unless ni illegal goods!. Wanasheria wake wamemdanganya, kwenye trade embargo, huwezi kuzuia mzigo usio kuhusu!.View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Usikereke kwa vazi la Kiislamu, hivi ndivyo Masiha alivyokuwa anavaa na Wanawake kina Bikira Maria walivaa hijab na nikab!.Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Wewe ni Mpumbavu na nimekugundua wewe ni Muislamu na sio Mkristo, Ila umekuja kwa GIA ya Ukristo ili uchonganishe watu. Kwani ilo VAZI linashida gani ? Mbona halina shida. Wewe unasikiliza madini yanayotoka mdomoni au unasikiliza Vazi ? Kwa hiyo, ulitaka avae suti za Mkoloni Muingereza ili ujue ni mzungu na si mswahili ? Shogaaaa wa Mavazi wee.View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Ifike wakati muache ulimbukeni wa kuamini kanzu, kofia na mabaibui ni mavazi ya kiislam. Hayo ni mavi ya asili ya kiarabu. Kuna nchi za kiarabu zenye wakristo kama Misri, watu wote wanavaa hizo kanzu pasi kujali dini.Vazi linaashiria udini na uswahili
Kila ijumaa bashe huvaa kanzu na vazi hilo linakubalika,na siyo vazi la kiislamu tu,hata wakristu huvaa.Hata bungeni vazi hilo hukubalika.Na kwa upande wa ukoo wao na kina bashe udini hakuna ndio maana mdogo wake mmoja wa kike aliolewa na mcheza mpira mmoja amewahi kucheza simba na sasa ni pastor kule marekani,kanitoka jina tu lakini jina lake la tatu ni Lungu,akitumia guu la kushotoView attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Acha waisome wacenge haoMalawi ni landlocked country wanasafirisha bidhaa muhimu kama madawa ya hospitali, vifaa tiba n.k kupitia bandari ya Salama. Kuzuia transit good ni ukatili na uonevu kwa wananchi wa Malawi wasio na hatua.