Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Mushtaq mdogo wake bashe mbona kaolewa na msomali mwenzie
 
Hivi ulikuwa hujui Bashe ni CinC.
 
Malawi ni landlocked country wanasafirisha bidhaa muhimu kama madawa ya hospitali, vifaa tiba n.k kupitia bandari ya Salama. Kuzuia transit good ni ukatili na uonevu kwa wananchi wa Malawi wasio na hatua.
Wamesha saini mikataba ya access to Indian Ocean na Mozambique. Wamepewa eneo la kujenga bandari yao katika pwani ya Msumbiji
 
Malawi ni landlocked country wanasafirisha bidhaa muhimu kama madawa ya hospitali, vifaa tiba n.k kupitia bandari ya Salama. Kuzuia transit good ni ukatili na uonevu kwa wananchi wa Malawi wasio na hatua.

Kwani Malawi kuna wasomali wangapi hadi roho imuume ?.
 
sawa but mdogo wake mwengine aliolewa na mkristo na hapakuwa na shida youote,kule nzega bashe ana uhusiano na dini zote,bashe sio mdini kabisa
Aliyeolewa ni mushtaq na nteze alibadili dini,mdogo wa kike mwingine ni kauthar,hajaolewa na mkristo, marehemu mzee bashe alikua sheikh mkuu nzega, hawezi ruhusu hilo
 
Kwenye hiyo asilimia 75% waliosoma hata kufika form six tu ni asilimia 2.5 hao wooote ni ilmu ubwabwa na kuunga unga maisha kujenga hoja empty kabisa wakati huo huo katika hizo asilimia zilizobaki wamewekeza kwenye elimu dunia na elimu akhera
Na nyie wenye maisha ya kujenga hoja, mnatumwa na hao hao. kuna faida gani ya kujisifia kuwa unajenga hoja kisa tu dini yako ilhali unaabudu mtu?
 
Aliyeolewa ni mushtaq na nteze alibadili dini,mdogo wa kike mwingine ni kauthar,hajaolewa na mkristo, marehemu mzee bashe alikua sheikh mkuu nzega, hawezi ruhusu hilo,japo mushtaq waluwalu mapepe,mi mwenyewe nshapiga
Sawa,hiyo nzega unayoisema wewe mimi nimezaliwa hapo,huyo baba yake the shehe mohamed namjua vyema,pia asante kunikumbusha jina la nteze john,ukoo wa akina bashe haunanusini kabisa japo wao waislamu
 
Siku hizi kufanya kazi kuna vazi rasmi? Serikali itoe uniforms kwa wafanyakazi wake?
Umechemka.
 
mkuu vazi hilo halina shida mkuu. na kwa kusisitiza halihusiani na dini.

mwisho hapa kweli ni tit fo tat "" mahindi yao ..... kwa ajili ya njaa ... hatuta yapeleka"" --- hii sasa itakua balaa
 
Usikereke kwa vazi la Kiislamu, hivi ndivyo Masiha alivyokuwa anavaa na Wanawake kina Bikira Maria walivaa hijab na nikab!.

Wazungu ndio walibadili hizi nguo zinazovaliwa sasa, ili zisionekane ni za Kiislamu. Yesu amekulia Misri!.
P
Leo hii, hata mmasai akiingia na lubega ofisini atakuwa ameikosea dress code ya nchi.
 
SA it's OK ila kwa Malawi hii inaenda kuamsha Mgogoro upya wa Ziwa Nyasa ,then what next,

Roho mtakatifu ananiambia kwenda kwa ubabe nchi kwa nchi tena majirani sio sawa , Malawi sio chadema kwamba ni kutunisha misuli kwa kila kitu.

May be wataalam wamejiridhisha na hili ila kwangu Mungu wangu anagoma .

Lazima kiutu uzima jiuliza nini kimetokea katika hili ,na vipi SA ikiungana na Malawi na nchi zingine zilizotuzunguka kutukomesha kupitia kilicho nyuma ya pazia ambacho hatujui .

Je pamoja na Wazili wa Mambo endelea shughulikia hili ,Waziri wa kilimo wamekutana na waziri wa kilimo upande wa pili?

Je kama wameshindwa vipi last say Rais wa tz kukutana na last say Rais wa upande wa pili.

SA inayo uwezo wa kuexport popote pale Dunian sio lazima Tz.

Je sisi kiwango chetu cha kuwahitaji SA ni kidogo sana kuliko wao wanavyotuhitaji?

OK ya Ngoswe mwachie Ngoswe , ngoja twendelee fuatilia watu wetu waliokamatwa leo na hali zao mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…