Bashiru anaongea kama Nyerere

Bashiru anaongea kama Nyerere

Ila kwa kweli nikikumbuka biashara ya ununuzi wa ya wapinzani waliopewa jina la kuunga juhudi nasikia kichefu chefu sana.
Hebu lete mtu mmoja tu hapa aliye nunuliwa na bei yake sh. ngapi? Naona na nyie mnaupiga mwingi kama mother hapa
 
Demokrasia nayo inaweza kuwa debatable.

Tukiangalia kwa vinara wanaoshinikiza demokrasia kila kona ya dunia, mama Clinton mwaka 2016 alimzidi Trump kwa kura zaidi ya milioni mbili na laki nane, lakini urais akapewa Trump kinyume na matakwa ya wapigakura.

Uingereza leo wana mkuu wa nchi na mkuu wa serikali ambao wote hawajapatikana kwa kuchaguliwa.

Tuna lipi la kujifunza toka kwa vinara hawa duniani?
Hakupewa Kama Zawadi ni taratibu zilizopo huko walopitisha wao na wanaziheshimu ndo maana hukuwahi kusikia CLINTON AKILALAMA kwamba haki yake imepokwa
 
Hebu lete mtu mmoja tu hapa aliye nunuliwa na bei yake sh. ngapi? Naona na nyie mnaupiga mwingi kama mother hapa
1.JOSHUA NASARI kutoka CDM
2.PATRIBAS KATAMBI kutoka CDM
3. AHMED KATANI kutoka CUF
4. JULIUS MTATIRO CUF
wengine wataweka Bei,,,
 
Hakupewa Kama Zawadi ni taratibu zilizopo huko walopitisha wao na wanaziheshimu ndo maana hukuwahi kusikia CLINTON AKILALAMA kwamba haki yake imepokwa
Kulalama kunaweza kuwa kwa njia tofauti na uzijuazo wewe. Si lazima mtu apande majukwaa au kuandamana.

New York(CNN)Hillary Clinton told CNN on Wednesday that it is time to abolish the Electoral College, part of a sweeping interview where the former Democratic nominee sought to explain why she lost the 2016 election.

Clinton, in the interview with CNN's Anderson Cooper, displayed her animus for fired FBI Director James Comey, reflected on her love for the people -- namely former President Bill Clinton -- who helped her get through the crushing loss and blasted the arcane election body that she believes helped Donald Trump win the presidency.

"I think it needs to be eliminated," Clinton said of the Electoral College. "I'd like to see us move beyond it, yes."

Hayo yalisemwa na mama Clinton Septemba 2017. Pima mwenyewe kama ni kulalama au la.
 
Habari wakuu,
Hivi ninyi hamjagundua Bashiru anaongea kama Nyerere.

Nilichogundua Bashiru angepewa cheo pale CCM [emoji2][emoji2][emoji2] hawa chawa wangetulia kimya.

Chawa bwana [emoji3][emoji3]inabidi kungefanyika majibizano ya hoja kati ya chawa na Bashiru. Wawekwe kwenye chumba kimoja [emoji39][emoji39]
Nasubiri huu mtifuano chawa wakiona Bashiru kashika mic[emoji3][emoji3].

Akae na Steve Nyerere na Oscar Nyerere wakaanzisha umoja wa wanaoutumia sauti ya Nyerere.
 
Halirudisha mali zote za chama zilizokuwa zimetekwa na mafisadi Channel 10 ,Magic,mashule,na viwanja vingi tu,alikuta CCM ikiwa ombaomba kwa mafisa mpaka anaondoka CCM account zake zote zilikuwa zimejaa mifedha, ndio Maana kundi kubwa linalomchukia Bashiru sio kwamba kuna kitu aliwakosea la hasha bali aliwanyanganya matonge yao.
Chanel ten ilikuwa ya ccm tangu lini?,, Hiyo walipewa tu na mwekezaji kama namna ya kuonyesha wako pamoja😆
 
Tuweni tu wakweli hapa bila kupata chama imara ccm itaendelea kufanya kila itacho jiskia kufanya coz hakuna mtetemo wowote unao watisha na kuwafanya kuwa macho
 
Maandalizi ya chama kipya yananukia KABISA!

Maneno haya siyo ya mtu mwenye malengo ya kuendelea kuwa Chama Tawala!

TUSUBIRI!
 
Rais Ni zadi ya sauti ya mamlaka!.. kwa MTU anaependa democracy This guy is more than a venom!..Kama issue Ni sauti akafungua kanisa atumie vizri sauti yake ya mamlaka kukemea mapepo
Democracy ndio nini
 
Habari wakuu,
Hivi ninyi hamjagundua Bashiru anaongea kama Nyerere.

Nilichogundua Bashiru angepewa cheo pale CCM 😃😃😃 hawa chawa wangetulia kimya.

Chawa bwana 😀😀inabidi kungefanyika majibizano ya hoja kati ya chawa na Bashiru. Wawekwe kwenye chumba kimoja 😋😋
Nasubiri huu mtifuano chawa wakiona Bashiru kashika mic😀😀.
Alitengeneza mfumo wa malipo ya mabanda ya ccm kwa nidham,hawataki
 
Anafaa kuwa Rais wetu
Ni kweli kabisa!! Magufuli alikuwa anamwandaa kuja kuwa mrithi wake!! Jamaa hana makuu, ni mzalendo wa ukweli!! CCm wanapaswa kumshukuru kwa kufuatilia mali za CCM zilizokuwa zinapigwa na wajanja!
 
Ni kweli kabisa!! Magufuli alikuwa anamwandaa kuja kuwa mrithi wake!! Jamaa hana makuu, ni mzalendo wa ukweli!! CCm wanapaswa kumshukuru kwa kufuatilia mali za CCM zilizokuwa zinapigwa na wajanja!
Tupo nyuma yake tunamuunga mkono
 
Back
Top Bottom