mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Baada ya mama afuatiye Bashiru!Ni kweli kabisa!! Magufuli alikuwa anamwandaa kuja kuwa mrithi wake!! Jamaa hana makuu, ni mzalendo wa ukweli!! CCm wanapaswa kumshukuru kwa kufuatilia mali za CCM zilizokuwa zinapigwa na wajanja!