Bashiru anaongea kama Nyerere

Bashiru anaongea kama Nyerere

Kama cheo tu alikua nacho,,, jipyà gani alofanya?
Halirudisha mali zote za chama zilizokuwa zimetekwa na mafisadi Channel 10 ,Magic,mashule,na viwanja vingi tu,alikuta CCM ikiwa ombaomba kwa mafisa mpaka anaondoka CCM account zake zote zilikuwa zimejaa mifedha, ndio Maana kundi kubwa linalomchukia Bashiru sio kwamba kuna kitu aliwakosea la hasha bali aliwanyanganya matonge yao.
 
Rais Ni zadi ya sauti ya mamlaka!.. kwa MTU anaependa democracy This guy is more than a venom!..Kama issue Ni sauti akafungua kabisa atumie vizri sauti yake ya mamlaka kukemea mapepo
Duh! Venom ya koboko ? !!
 
Habari wakuu,
Hivi ninyi hamjagundua Bashiru anaongea kama Nyerere.

Nilichogundua Bashiru angepewa cheo pale CCM 😃😃😃 hawa chawa wangetulia kimya.

Chawa bwana 😀😀inabidi kungefanyika majibizano ya hoja kati ya chawa na Bashiru. Wawekwe kwenye chumba kimoja 😋😋
Nasubiri huu mtifuano chawa wakiona Bashiru kashika mic😀😀.
Anaigiza kuongea kama Nyerere au ndivyo huwa anaongea?Acha utoto.Ujue unawasiliana na watu wazima hapa?
 
Rais Ni zadi ya sauti ya mamlaka!.. kwa MTU anaependa democracy This guy is more than a venom!..Kama issue Ni sauti akafungua kabisa atumie vizri sauti yake ya mamlaka kukemea mapepo
Haaah . Wacha wivu.. haha
 
Bashiru angekuwa msema ukweli, angemwambia marehemu Magufuli ukweli, alikuwa mwizi no.1 wa mali za umma, akifuatiliwa na Bashiru mwenyewe
 
Habari wakuu,
Hivi ninyi hamjagundua Bashiru anaongea kama Nyerere.

Nilichogundua Bashiru angepewa cheo pale CCM 😃😃😃 hawa chawa wangetulia kimya.

Chawa bwana 😀😀inabidi kungefanyika majibizano ya hoja kati ya chawa na Bashiru. Wawekwe kwenye chumba kimoja 😋😋
Nasubiri huu mtifuano chawa wakiona Bashiru kashika mic😀😀.
Bashiru sio kama Nyerere, hawezi kufikia...
 
Rais Ni zadi ya sauti ya mamlaka!.. kwa MTU anaependa democracy This guy is more than a venom!..Kama issue Ni sauti akafungua kanisa atumie vizri sauti yake ya mamlaka kukemea mapepo
Ila kwa kweli nikikumbuka biashara ya ununuzi wa ya wapinzani waliopewa jina la kuunga juhudi nasikia kichefu chefu sana.
 
Habari wakuu,
Hivi ninyi hamjagundua Bashiru anaongea kama Nyerere.

Nilichogundua Bashiru angepewa cheo pale CCM 😃😃😃 hawa chawa wangetulia kimya.

Chawa bwana 😀😀inabidi kungefanyika majibizano ya hoja kati ya chawa na Bashiru. Wawekwe kwenye chumba kimoja 😋😋
Nasubiri huu mtifuano chawa wakiona Bashiru kashika mic😀😀.
Acha ujinga. Nyerere hajawahi kuua Kama Bashiru.nyere hajawahi kuwa mnafuki kwa kuongea hili kesho lile ili kutafuta ugali
 
Rais Ni zadi ya sauti ya mamlaka!.. kwa MTU anaependa democracy This guy is more than a venom!..Kama issue Ni sauti akafungua kanisa atumie vizri sauti yake ya mamlaka kukemea mapepo
Demokrasia nayo inaweza kuwa debatable.

Tukiangalia kwa vinara wanaoshinikiza demokrasia kila kona ya dunia, mama Clinton mwaka 2016 alimzidi Trump kwa kura zaidi ya milioni mbili na laki nane, lakini urais akapewa Trump kinyume na matakwa ya wapigakura.

Uingereza leo wana mkuu wa nchi na mkuu wa serikali ambao wote hawajapatikana kwa kuchaguliwa.

Tuna lipi la kujifunza toka kwa vinara hawa duniani?
 
Sasa hivi kuna uhuru wa kuzungumza, ingekuwa enzi zile Bashiru angeshapotea kitambo sana
 
Habari wakuu,
Hivi ninyi hamjagundua Bashiru anaongea kama Nyerere.

Nilichogundua Bashiru angepewa cheo pale CCM 😃😃😃 hawa chawa wangetulia kimya.

Chawa bwana 😀😀inabidi kungefanyika majibizano ya hoja kati ya chawa na Bashiru. Wawekwe kwenye chumba kimoja 😋😋
Nasubiri huu mtifuano chawa wakiona Bashiru kashika mic😀😀.
Sasa Nyerere si akikua sawa tuu na debe tupu haliachi kutika..

Maneno meeengi ya kufarijiana ujinga ila impacts zero..
 
Halirudisha mali zote za chama zilizokuwa zimetekwa na mafisadi Channel 10 ,Magic,mashule,na viwanja vingi tu,alikuta CCM ikiwa ombaomba kwa mafisa mpaka anaondoka CCM account zake zote zilikuwa zimejaa mifedha, ndio Maana kundi kubwa linalomchukia Bashiru sio kwamba kuna kitu aliwakosea la hasha bali aliwanyanganya matonge yao.
Huyu mtu ni mtu na nusu na ndio maana kila kona unasikia makerere ya chawa
 
Back
Top Bottom