BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.
Siyo sahihi kusema Bashiru aliigeuza CCM kuwa mali yake. Alikuwa anatimiza majukumu aliyokabidhiwa kufuatana na madaraka ya cheo chake; na hivyo ndivyo inavyotakiwa kwa kila mtu mwenye wadhifa wo wote ule. Kwa kuwa sasa hana wadhifa huo, hawezi kuendelea kuisemea CCM. Utakuwa utovu wa nidhamu.Alitamba sana enzi za Jiwe.
Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.
Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.
Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.
Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.
View attachment 2252898
Bashiru mbona aliondolewa CCM kabla hata jiwe hajafariki?
Laana za watanzania zinamtafunaSiyo sahihi kusema Bashiru aliigeuza CCM kuwa mali yake. Alikuwa anatimiza majukumu aliyokabidhiwa kufuatana na madaraka ya cheo chake; na hivyo ndivyo inavyotakiwa kwa kila mtu mwenye wadhifa wo wote ule. Kwa kuwa sasa hana wadhifa huo, hawezi kuendelea kuisemea CCM. Utakuwa utovu wa nidhamu.
Mtenda dhulma kwa watu kamwe hawezi kusahaulika dunianiJPM utafikiri yuko hai vile jinsi anavyopelekesha watu puta, daah, kweli pigania wananchi na hutasahaulika kamwe. Hao akina JK watakapoitwa mbele ya haki nadhani itakuwa kwisha habari yao, hata mbuzi hawezi kumkumbuka
Kama ile Ubungo flyover na Rufiji, au sio?Mtenda dhulma kwa watu kamwe hawezi kusahaulika duniani
Magufuli alisema cheo kimoja mtu mmoja, kwa hiyo angeondolewa tu muda si mrefuHapana hakuondolewa CCM, bali alipandishwa kuwa katibu mkuu kiongozi, nafasi aliyoitumikia kwa muda mfupi sana kabla ya kifo cha dhalimu. Hakiki taarifa zako.
Kweli kabisa wamepumzika akina Magamba,slow na Sasa ni zamu ya wengine 🚶Kuimba kupokezanaa ...
Magufuli alisema cheo kimoja mtu mmoja, kwa hiyo angeondolewa tu muda si mrefu
Either una hasira kwa vile hujafikishwa kileleni na mumeoAkili za kupumuliwa kisogoni bhana...kwako hao "watu" ni akina nani? unauhakika hao "watu" kwako (wahujumu uchumi, mashoga, vibaraka...) kwake pia ni "watu"? Pathetic.
kwa urais ndio kulikuwa na exception ila sehemu nyingine zote ilikuwa cheo kimoja mtu mmojaZile zilikuwa mbwembwe tu, yeye alikuwa anasema nafasi moja mtu mmoja, lakini yeye alikuwa rais na mwenyekiti wa CCM wakati huohuo. Ogopa matapeli Boss.
Sukuma gang lazima mjiandae kisaikolojia kwa awamu hii maana hamna popote mtapitia kwenda kuuza majungu yenu ikulu.Akili za kupumuliwa kisogoni bhana...kwako hao "watu" ni akina nani? unauhakika hao "watu" kwako (wahujumu uchumi, mashoga, vibaraka...) kwake pia ni "watu"? Pathetic.
kwa urais ndio kulikuwa na exception ila sehemu nyingine zote ilikuwa cheo kimoja mtu mmoja
Tukinunua vifaru na makombora unataka tutangaze, au sio?Kama vile watanzania walivyo pigwa 1.5trillion na viongozi wa upinzani kuwindwa.