BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Lakini alipiga mpunga mwingi ambao sisi wengine huenda tukazikwa hatujaupata . 🤣🤣🤣
Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.