Bashiru imebaki stori tu

Bashiru imebaki stori tu

JPM utafikiri yuko hai vile jinsi anavyopelekesha watu puta, daah, kweli pigania wananchi na hutasahaulika kamwe. Hao akina JK watakapoitwa mbele ya haki nadhani itakuwa kwisha habari yao, hata mbuzi hawezi kumkumbuka
 
Alitamba sana enzi za Jiwe.

Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.

Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.

Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.

Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.

View attachment 2252898
Siyo sahihi kusema Bashiru aliigeuza CCM kuwa mali yake. Alikuwa anatimiza majukumu aliyokabidhiwa kufuatana na madaraka ya cheo chake; na hivyo ndivyo inavyotakiwa kwa kila mtu mwenye wadhifa wo wote ule. Kwa kuwa sasa hana wadhifa huo, hawezi kuendelea kuisemea CCM. Utakuwa utovu wa nidhamu.
 
Bashiru mbona aliondolewa CCM kabla hata jiwe hajafariki?

Hapana hakuondolewa CCM, bali alipandishwa kuwa katibu mkuu kiongozi, nafasi aliyoitumikia kwa muda mfupi sana kabla ya kifo cha dhalimu. Hakiki taarifa zako.
 
Siyo sahihi kusema Bashiru aliigeuza CCM kuwa mali yake. Alikuwa anatimiza majukumu aliyokabidhiwa kufuatana na madaraka ya cheo chake; na hivyo ndivyo inavyotakiwa kwa kila mtu mwenye wadhifa wo wote ule. Kwa kuwa sasa hana wadhifa huo, hawezi kuendelea kuisemea CCM. Utakuwa utovu wa nidhamu.
Laana za watanzania zinamtafuna
 
JPM utafikiri yuko hai vile jinsi anavyopelekesha watu puta, daah, kweli pigania wananchi na hutasahaulika kamwe. Hao akina JK watakapoitwa mbele ya haki nadhani itakuwa kwisha habari yao, hata mbuzi hawezi kumkumbuka
Mtenda dhulma kwa watu kamwe hawezi kusahaulika duniani
 
Hapana hakuondolewa CCM, bali alipandishwa kuwa katibu mkuu kiongozi, nafasi aliyoitumikia kwa muda mfupi sana kabla ya kifo cha dhalimu. Hakiki taarifa zako.
Magufuli alisema cheo kimoja mtu mmoja, kwa hiyo angeondolewa tu muda si mrefu
 
Zile zilikuwa mbwembwe tu, yeye alikuwa anasema nafasi moja mtu mmoja, lakini yeye alikuwa rais na mwenyekiti wa CCM wakati huohuo. Ogopa matapeli Boss.
 
Akili za kupumuliwa kisogoni bhana...kwako hao "watu" ni akina nani? unauhakika hao "watu" kwako (wahujumu uchumi, mashoga, vibaraka...) kwake pia ni "watu"? Pathetic.
Either una hasira kwa vile hujafikishwa kileleni na mumeo
 
Zile zilikuwa mbwembwe tu, yeye alikuwa anasema nafasi moja mtu mmoja, lakini yeye alikuwa rais na mwenyekiti wa CCM wakati huohuo. Ogopa matapeli Boss.
kwa urais ndio kulikuwa na exception ila sehemu nyingine zote ilikuwa cheo kimoja mtu mmoja
 
Akili za kupumuliwa kisogoni bhana...kwako hao "watu" ni akina nani? unauhakika hao "watu" kwako (wahujumu uchumi, mashoga, vibaraka...) kwake pia ni "watu"? Pathetic.
Sukuma gang lazima mjiandae kisaikolojia kwa awamu hii maana hamna popote mtapitia kwenda kuuza majungu yenu ikulu.
 
Back
Top Bottom