Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #81
Wanao mbeza mama SSH na Mbowe kwa kufikia makubaliano ni kundi la sukuma gang.SSH asifae kuwa rais kwa sababu gani? Sasa hv wapinzani na serikali wanaongea lugha moja ndio tunachotaka sio yale maisha ya kuishi kiuoga uoga kama tupo uhamishoni..