Bashiru imebaki stori tu

Bashiru imebaki stori tu

Unateseka wewe unayeweza kumuona mtu ambaye yuko mafuvu tupu ana uwezo wa kutesa watu, maanake ni unajtambulisha kuwa wewe umeshageuzwa msukule wake
Tazama kwanza hiyo ID yake ndiyo utajua chimbuko lake na kwanini anatetea maovu.
 
Watoto wake walimwambia aache siasa hakusikia watanzania hawakuelewi hakutaka kuelewa
 
Alitamba sana enzi za Jiwe.

Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.

Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.

Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.

Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.

View attachment 2252898
Halafu ana kadi ya CUF
 
Hivi mnaamini kabisa CCM itabaki madarakani bila kutumia dola? Subiri 2025
 
Hivi mnaamini kabisa CCM itabaki madarakani bila kutumia dola? Subiri 2025
Itumie dola isitumie dola hayo tushayazoea sana ila furaha yetu ni kuangushwa kwa utawala wa SUKUMA GANG.
 
Hivi PREFIX ya "BALOZI" anaitumia au alinyang'anywa na hadhi ya ubalozi kama alivyofanyiwa KIDATA?
Hiyo Prefix, mwaka 2025, pale UDSM, atasomeka 'senior lecturer wa DS, Balozi Dr Bashiru, ameahirisha kipindi chake mpaka kesho saa 1 usiku"
 
Una uhakika??
Kwa sababu aliteuliwa Katibu mkuu kiongozi kabla haijatoka taarifa ya kutenguliwa kama Katibu mkuu wa CCM!
Jiwe hakufurahishwa na kauli ya mara kwa mara ya Bashiru, ya kusema, "Rais Magufuli hataongeza muda wa kukaa madarakani kipindi chake kikiisha"
 
Hiyo Prefix, mwaka 2025, pale UDSM, atasomeka 'senior lecturer wa DS, Balozi Dr Bashiru, ameahirisha kipindi chake mpaka kesho saa 1 usiku"
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kuwa na fedha bila kuheshimika katika jamii yako unayoishi ni sawa na kuwa na kitambi bila kuwa na uhakika wa fedha.
Bashiru bado anaheshimiwa sana na jamii, hasa jamii inayo penda maendeleo ya haraka na ile ambayo hataki kunyonywa na mafisadi.
 
Umesahau kuongeza: Katibu mkuu kiongozi mstaafu na katibu mkuu wa CCM mstaafu! Vyote vyeo vyake.
Jamaa alilamba nchi ndani ya muda mfupi saaana akamaliza ngazi zoote za uongozi za kiutendaji Serikalini na ndani ya chama alibakiza Uenyekiti tu
 
Bashiru bado anaheshimiwa sana na jamii, hasa jamii inayo penda maendeleo ya haraka na ile ambayo hataki kunyonywa na mafisadi.
Jamii gani hiyo hapa nchini zaidi ya sukuma gang?
 
Jiwe hakufurahishwa na kauli ya mara kwa mara ya Bashiru, ya kusema, "Rais Magufuli hataongeza muda wa kukaa madarakani kipindi chake kikiisha"
Jiwe alitaka kutawala kama ndugu na maswahiba zake kina m7
 
Back
Top Bottom