Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

Huyo aliyekamata mwizi atafedheheka sana na hasa akigundua kuwa amemkamata mwenye mali! CCM ina wenyewe na wenyewe ndiyo hao aliowakamata hivyo kitakachofuata ni kuomba msamaha!
 
Hata wao nao wamewapa maumivu makao sana Watanzania. Bashiru aliwanyang'anya wanyang'anyi mali za CCM walixokuwa wamejimilikisha. Hivyo alikuwa sahihi
Sasa atakula jeuri yake!
 
Daima tuwe na akiba ya maneno, midomo michafu na kujiona wafalme watu kama hawa ndio kunawapoza;
Bashiru
mropokaji polepole
'mhujumu maisha ya watu' Bashite
hayawani musiba
Jambazi sabaya
 
Any movement is subject to change of positions of the gearing tools, hakuna baiskeli au gari litatembea bila pedal au piston kupanda na kushuka kwa kupishana
 
Chochea chochea..!
 
Usiabudi miungu mingne
Sasa bashiri aliabudu miungu mingne akasahau kuna Mungu/Alah sasa wacha kazi iendelee
 
Mwenyezi Mungu tunayemuabudu si wa Kinana wala Bashiru.
Muda utaongea
 

Watanzania kwa kutunga Story za kutafuta Shida za lazima Hamjambo. Ungemjua kwanza dr Bashiru ndo ungeandika. Tunapenda sana kulazimisha Shida zetu ziwe za wengine kwa sababu zetu binafsi.
 
Cha muhimu ukiwa madarakani tenda haki kula keki yako tartiiiibu usiwasahau na wengine na usione uliowazd wote km wapumbavu. Maisha utakuwa umeyapatia sana
 
Watanzania kwa kutunga Story za kutafuta Shida za lazima Hamjambo. Ungemjua kwanza dr Bashiru ndo ungeandika. Tunapenda sana kulazimisha Shida zetu ziwe za wengine kwa sababu zetu binafsi.
Wewe umemjulia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…