Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo aliyekamata mwizi atafedheheka sana na hasa akigundua kuwa amemkamata mwenye mali! CCM ina wenyewe na wenyewe ndiyo hao aliowakamata hivyo kitakachofuata ni kuomba msamaha!Hivi ukimkamata mwizi aliye Iba na akapelekwa mahakamani, kule mahakamani mwizi akatoa rushwa akaachiwa huru - je! Yule aliye mkamata, ataona aibu au itakuaje? Ni kweli ataona aibu! Hata huyo mhalifu akiwa bosi wa huyu aliye mkamata? Feeling ya aliye Kamata huyo mhalifu ni aibu?!
Mimi si fikiri ni aibu maana huyu bado ni mhalifu na mwingine bado ndiye aliubaini huo uhalifu!
Daima tuwe na akiba ya maneno, midomo michafu na kujiona wafalme watu kama hawa ndio kunawapoza;Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Any movement is subject to change of positions of the gearing tools, hakuna baiskeli au gari litatembea bila pedal au piston kupanda na kushuka kwa kupishanaHaya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Chochea chochea..!Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Sijajikita zaidi sema tu najuwa ukweli na ndiyo maana ninawafungua macho wenzangu wasiojuwa, inakuuma hii au?Mbona wewe hujaachana na siasa bali unazidi kujikita zaidi?
Mbona mimi nakuona ni zaidi ya kilaza!Sijajikita zaidi sema tu najuwa ukweli na ndiyo maana ninawafungua macho wenzangu wasiojuwa, inakuuma hii au?
Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Ni kwa sababu hujasoma, umeamini upuuzi uliolishwa toka utotoni. Pole sana lakini.Mbona mimi nakuona ni zaidi ya kilaza!
Wewe umesoma au umekariri!Ni kwa sababu hujasoma, umeamini upuuzi uliolishwa toka utotoni. Pole sana lakini.