Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

Ccm inajiandaa na uchaguzi kamili usio na topetopez masalia yoote yanatolewa
 
Kwamba JPM alikuwa boss wa JK? Sijui tunatafuta justification gani! Dr Bashiru kwa vyeo alivyopitia hana hasara! Zaidi amejenga CV ambayo wewe na mimi na ukoo wetu tunaweza tusifikie! Let us discuss issues na sio watu!
Watu ndiyo wanajenga issues hivyo ku -discuss watu ni kutafuta utofauti wa mawazo yao?
 
Umetapika pumba!
 
Ukiwa mnyoofu kwa maadili ya uongozi kitu walichokafanya Kinana, Makamba Sir, Makamba son na Nape hawakupaswa kurudi kuwa viongozi kabisa! Sema tu kwakuwa Mamanae ndiyo timu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinana kuna jambo anataka kulilinda lisije likampasukia!
 
Magufuli alikuwa jambazi, muuaji na fisadi hakuna cha kukumbuka kutoka kwake zaidi ya maumivu!
 
in your immature mind unadhani makamba anapenda Sana kuchezea switch za Umeme?[emoji16]
 
bashiru Yuko ki strategy zaidi,haropoki,Yuko kimya,,,,huyo lazima atarudi. juu
 
in your immature mind unadhani makamba anapenda Sana kuchezea switch za Umeme?[emoji16]
Sera zake ni very immature ku run ishu nyeti kama za nishati ya taifa. Hence the guy has proved failure. Na chance ya yeye kuendelea kuwepo hapo ni kwasababu ya backup aliyonayo na wala sio utendaji kazi uliotukuka. Yasiwe mengi muda utaongea
 
vyama Vya kijamaa havifagi Mzee,,,[emoji44]cheki Cuba,china,Venezuela etc,,mizizi yake imejichimbia chini sana
 
Sera zake ni very immature ku run ishu nyeti kama za nishati ya taifa. Hence the guy has proved failure. Na chance ya yeye kuendelea kuwepo hapo ni kwasababu ya backup aliyonayo na wala sio utendaji kazi uliotukuka. Yasiwe mengi muda utaongea
how,,explain, anakosea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…