Bashiru ni mamba mfa njaa kwenye mto, nyumbu wawe makini wasivuke mto huo

Bashiru ni mamba mfa njaa kwenye mto, nyumbu wawe makini wasivuke mto huo

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
16,950
Reaction score
13,527
Friends and Our Enemies,

Kuna msemo wa wanazuoni unaosema kwamba chochote kinamchomfaa mamba Kwa kuliwa either kiwe kimetumbukia mtoni au kimekaa kihasara hasara kwenye kingo za mto mamba hatafanya ajizi,atakifanya kuwa ni chakula tuh.

Nimebahatika kuwa ni miongoni ambao nimepata kumshuhudia BASHIRU akiwa mwanaharakati enzi zile Yuko Chuo Kikuu huku akisimama Kawa hoja za weledi pamoja na sisi walalahoi, Kisha akiwa ni kiongozi mwenye Mamlaka makubwa ndani ya Chama na Serikali enzi ya Magufuli, na kipindi hiki ambacho hana mamlaka yoyote zaidi tu ya huu ubunge wa kuteuliwa, Kwa hakika na pasipo na shaka yoyote naweza kusema ya kwamba BASHIRU halisi ni yule ambae alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Magufuli.

Kwa kifupi kabisa huyu ni mamba tuh mwenye njaa, haijalishi anasimama kueleza ukweli au kukemea uovu mtu huyu anakosa kabisa kabisa justification ya kusimama na kusema chochote labda kama ni kuomba radhi kwa matendo ambayo alishiriki ya kukandamiza demokrasia na uhuru wa habari kipindi hiko akiwa anaogelea kwenye mto wenye kila neema maishani mwake.

Anasimama Leo kutetea wakulima, na kuwaambia WAWE wakali ili waweze kusaidiwa sawa, yuko sahihi, alikuwa wapi kusimama na sisi kipindi korosho zetu zinachukuliwa na Serikali ambayo alikuwa anaisimamia huku wengine tukiambiwa hatulipwi pesa zetu hadi tuoneshe wapi yalipo mashamba ya hizo korosho?

Hivi anafahamu ni kwa kiasi gani amegharimu maisha na matumaini ya wakulima kipindi kile hadi kufikia kuwa watu omba omba had hivi Leo?

Kusimama Leo BASHIRU na kusema kwamba anachukizwa na kauli ya kusema kwamba Samia anaupiga mwingi ni dalili ya Mamba mwenye Njaa tuh, kipindi Magufuli yupo hai na watu tunalalamika vyuma vimekaza ni yeye na wenzake ndiyo walikuwa wanaimba hii nyimbo ya kwamba Magufuli anaupiga mwingi, kipi sasa kinachomshangaza?

BASHIRU alifikia hatua ya kusema kwamba wao ndiyo wenye Dola, kwa hiyo atatumia vyombo vya Dola kubakia kwenye Dola kwani siku akiacha kutumia vyombo vya Dola akatoka madarakani basi hawezi Tena kurudi kwenye Dola, na suala la Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi hataki kusikia.

Hakuna tofauti baina ya BASHIRU na Ndugai, ni wale wale Mamba waliotufikisha sehemu mbaya katika awamu Yao, kabla ya hawa kusimama na kukosoa wanatakiwa kwanza kusimama na kuomba radhi na wajutie matendo Yao, hadi tutapokubaliana kuwa tumewasamehe kisha wakae kando na waache watu wengine waendelee kufanya kazi na kutekeleza maono yao ya kiutawala na uongozi.
 
Bashiru ni kenge flani ila hoja zake zijibiwe kwa hoja.

THE BIG SHOW vipi safari hii gas inatoka au haitoki?

Ana hoja zipi??anachotakiwa kufaham ni kwamba Hiko kinachofanywa na hao wenzake chal kusema Samia anaupiga mwingi ndicho alichokawa anawafundisha wakifanye, either kiwe kibaya au kizur,sasa wanafanya kitu alichokuwa anawafundisha wakifanye iweje achukie?

Amefundisha mbwa kubekwa,na wanaendelea kubweka,anakasirika Kwa lipi??au Kwa kuwa wanabweka kumlinda tajir mwingine??atulie
 
Ana hoja zipi??anachotakiwa kufaham ni kwamba Hiko kinachofanywa na hao wenzake chal kusema Samia anaupiga mwingi ndicho...
Jana mmelishwa mavi, leo aliowalisha mavi anawaambia acheni kula mavi nyie mnaforce muendelee kula mavi.

Narudia tena, chama cha wakulima wa korosho hapo kwenu Mtwara sio umoja wa kina mama wa ccm, kazi yao sio kusifia bali ni kudai haki zao kwa nguvu zote.

NB:
Bashiru ni kenge ila hoja zake mzijibu kwa hoja.
 
Jana mmelishwa mavi, leo aliowalisha mavi anawaambia acheni kula mavi nyie mnaforce muendelee kula mav...

Hoja hizi zingekuwa na mantiki kama ungezisema ww.

Anaposimama na kuzisema yeye zinageuka kuwa ni viroja,Hana hoja.

Kwa kifupi anatuchora tuh na kutupandisha hasira,alipokawa kwenye mamlaka alikuwa anapiga nyundo hoja hizi badala ya kuzisikiliza,Leo mamlaka Hana,anageuka nyuma kuzikumbuka utamsikiliza vipi mtu huyo?
 
Hoja hizi zingekuwa na mantiki kama ungezisema ww,

Anaposimama na kuzisema yeye zinageuka kuwa ni viroja,Hana hoja...

Kwa kifupi anatuchora tuh na kutupandisha hasira,alipokawa kwenye mamlaka alikuwa anapiga nyundo hoja hizi badala ya kuzisikiliza,Leo mamlaka Hana,anageuka nyuma kuzikumbuka utamsikiliza vipi mtu huyo?
Mtu mwenye kibiongo akisimama na kusema 1 + 1 = 2 anakua yupo sahihi kabisa regardless ya kibiongo chake.

Narudia tena, Bashiru ni kenge mbinafsi ila hoja zake zijibiwe kwa hoja.
 
Friends and Our Enemies,

Kuna msemo wa wanazuoni unaosema kwamba chochote kinamchomfaa mamba Kwa kuliwa either kiwe kimetumbukia mtoni au kimekaa kihasara hasara kwenye kingo za mto mamba hatafanya ajizi,atakifanya kuwa ni chakula tuh...

Mkuu watu wanauliza gas inatoka au haitoki?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu mwenye kibiongo akisimama na kusema 1 + 1 = 2 anakua yupo sahihi kabisa regardless ya kibiongo chake.

Narudia tena, Bashiru ni kenge mbinafsi ila hoja zake zijibiwe kwa hoja.

Ngoja nikurahisishie ili tuweze kuelewana,

Mtu huyu BASHIRU alisimama almost two years ago na kusema kwamba kiongoz wetu au chama hakipaswi kukosolewa hadharani na mtu yyte, na kauli yetu wote Kwa pamoja ni kuwa anaupiga mwingi,sawa?ndiyoooo.

Leo hayupo kwenye position Ile,wale wale aliowafundisha wanaendelea na utaratibu ule ule wa praising,yeye anasimama na kusema anachukizwa na Hilo,anastahiki kusikilizwa? Yes or no.
 
Huna hoja wewe kimweri, Dk Bashiru alikuwa ni katibu mkuu wa chama cha mapinduzi kazi za katibu zinajulikana,miongozo na utendaji wake ni ndani ya chama chake.

Bashiru hakuwa waziri wa kilimo wala hakuwa waziri wa viwanda na biashara,wala hakuwa waziri mkuu na hakuwa naibu Rais, wala halikuwa haingii kwenye baraza la mawaziri kwa cheo chake cha ukatibu mkuu wa chama.

Dkt. Bashiru ameteuliwa kuwa balozi na kuwa kama kiongozi ambae anaingia kwenye baraza la mawaziri kama katibu wa baraza, hata miezi miwili hakumaliza na kwa nafasi zake zote mbili halizowahi kushika hakuwa na mamlaka yeyote zaidi ya kushauli tu!

Yote uliyoandika hapa kumlaumu Dkt. Bashiru ni upupu tu,maamuzi ya mambo yote ya nchi yanatoka kwenye baraza la mawaziri,kama kuna watu wa kulaumiwa kwa makosa yaliyotokea kwenye utawala wa JPM ni aliekuwa naibu Rais ambae kwa sasa ndio Rais mrithi wa awamu ya tano,waziri mkuu,na mawaziri wote waliohudumu kwenye utawala wa JPM.

Bashiru anapaswa kupimwa kwa majukumu yake kama katibu wa chama,ambayo aliyatekeleza vyema,ikiwemo kurudisha mali zote za chama zilizokuwa zimeibiwa na wanaccm majambazi.

Kama Chanel ten, magic FM, majengo ya chama, shule za sekondari za wazazi,magari ya chama n.k

Pia Dkt. Bashiru alikifanya chama kijitegemee kimapato kupitia mali za chama bila kuomba matajiri na kukirudisha chama kwa wanachama wote.

Dk Bashiru alitimiza majukumu yake kwa weledi hayo mengine ni uongo na uzandiki wa majambazi ya ccm yenye uchungu baada ya kunyanganywa mali walizokuwa wamekiibia chama tawala.
 
Ngoja nikurahisishie ili tuweze kuelewana,

Mtu huyu BASHIRU alisimama almost two years ago na kusema kwamba kiongoz wetu au chama hakipaswi kukosolewa hadharani na mtu yyte...
Bashiru ni kenge aliposimama na kusema kuwa mshangilie kila kitu cha watawala alikosea sana na tulimpinga mnoo.

Leo Bashiru huyo ambaye bado ni kenge amesimama na kusema sio sawa kushangilia kila kitu cha watawala hoja yake ina mashiko kwa 200%, kwahiyo nyie ‘mama anaupiga mwingi moderm taarabu’ jibuni hii hoja yake regardless mtoa hoja ni kenge flani mbinafsi.

Hoja ijibiwe kwa hoja full stop.
 
Huna hoja wewe kimweri, Dk Bashiru alikuwa ni katibu mkuu wa chama cha mapinduzi kazi za katibu zinajulikana,miongozo na utendaji wake ni ndani ya chama chake...

Uzandiki kivip? Mbona ni vitu viko wazi hata ukitafuta YouTube unakutana nazo tuh kauli za hovyo na kulewa madaraka za BASHIRU akiwa katibu Mkuu wa CCM?

Suala la kusifia mamlaka bila kukosoa yeye ndie alikuwa muasisi wa Hilo,kuzorotesha demokrasia na uhuru wa habari yeye ndie alikuwa kinara enz zake,mbona Liko waz tuh.

Tunachosema hapa ni kwamba yeye ndie muasisi wa hayo mambo,anachukizwa kivip?
 
Bashiru ni kenge aliposimama na kusema kuwa mshangilie kila kitu cha watawala alikosea sana na tulimpinga mnoo.

Leo Bashiru huyo ambaye bado ni kenge amesimama na kusema sio sawa kushangilia kila kitu cha watawala hoja yake ina mashiko kwa 200%, kwahiyo nyie ‘mama anaupiga mwingi moderm taarabu’ jibuni hii hoja yake regardless mtoa hoja ni kenge flani mbinafsi.

Hoja ijibiwe kwa hoja full stop.

Hakuna hoja ya kujibiwa,

Kinachofanyika ni yeye mwenyew BASHIRU kula mavi yake kama unavyosema,

Suala la kiongoz kukosolewa ni jambo LA kawaida na ni kaz ya vyma vya upinzan au taasisi huru nje ya chama, hata vyma vingine kama chadema au cuf na kadhalika ukisimama hadharani kukosoa viongoz lazima wakushangae Kwa kuwa vikao vya chama vipo, huyo BASHIRU alikuwa katibu Mkuu wa CCM utaratibu anaujua.

Hiko anachokifanya ni kutapa tapa tuh na kula mavi yake mwenyew, huna la kumfanya muache ale tuh,umjibu kitu gan??kama kunya kanya mwenyew na ameamua kuyala muache ale,full stop
 
Kweli katikisa. Mpaka Mzee mzima The one and only one THE BIG SHOW , yaani Mzee wa Passive Resistance, a.k.a gesi ya Mtwara haitoki Hata kwa mrija wa peni, kaingia mzigoni. Hii si mchezo ! Sikutegemea watikisike hivi.
THE BIG SHOW utawala huu amekua mwepesi mnoo kwasasa gasi inatoka na yeye ndiyo atakuwa anachoma wote watakaojaribu kupinga.
Kobazi na haki havikai pamoja.
 
Back
Top Bottom