chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
John Paul Wanga, ni sehemu ya ukoo wa magufuli, amelalamikiwa sana na Mbunge Musukuma kwa ufisadi katika halmashauri yake, lakini alipokuwa Ilemela, kilikuwa na mradi wa Buswelu East wa viwanja, walitapeli kwamba watapeleka barabara,maji, umeme, vyote havipo, na tunaambiwa Hela nyingi ilishalipwa.
Nashauri halmashauri ya Ilemela pia ikaguliwe kwa kipindi alichoongoza, najua ana tabia ya kuhonga madiwani ili wasimbane.
Bashungwa, hebu muondoe huyu,anachafua serikali, ni bilionea kwa sasa
Nashauri halmashauri ya Ilemela pia ikaguliwe kwa kipindi alichoongoza, najua ana tabia ya kuhonga madiwani ili wasimbane.
Bashungwa, hebu muondoe huyu,anachafua serikali, ni bilionea kwa sasa